Jukumu la kutoa uhai ni la muumba pekee akifanya binaadamu ni KOSA...haijalishi iwe justice Au vip HUPASWI KUUWA ATA KUKU Huna mamlaka ...nasema leo hii waziri alietoa uhai wa hawa vijana hataishi akiona uzee wake save hii comment if possible...KARMA
Anaemlaumu huyo waziri hajui maisha ya congo watu wanavyoteseka na hao watoto acha Sheria ifuate mkondo wake labda congo kutatulia,jamani congo ni shida hao watoto😢😢😢
Mheshimiwa waziri narudia apewe ulinzi mkubwa sana, yasije kumkuta Ya Patrick Lumumba,maana Congo haisomeki eti,wasije kumdhuru aidha wananchi au viongozi wenzie wa Serikali, zaid ya yote Mheshimiwa apewe mauwa yake🎉 na Congole nyingi🇹🇿
Mimi Nampa Pongezi Wazili Asimame Vema Wauliwe Wanawake Zao Wakileta Midomo Wauliwe Wazazi Waliowazaa Pia Wakiweka Midomo Wauliwe Watoto Zao Pia Wakilia Wauliwe Mwananchi Mwenye Mdomo Akishikwa Auliwe Kutokomeza Kizazi Cha Waasi Congo Serikali Iwe Imara
Lengo ni kukomesha wahamiaji tu hakuna lolote na pia lengo ni ku deal na wanyarwanda na sio kingine hlf hauwezi kumezesha sumu waafrika wachukie waafrika wenzao...nini nyie wakati mmejaa hapa tz na hata vbali hatuwasumbui tunawapa support kubwa
Wapuuzi nyie, kwahiyo MUNGU alileta tulipize visasi? Hakuna anayejua kesho yake...wewe unayesapot mauaji basi MUNGU kashakuandikia adhabu maana kuna waliokamatwa kwa bahat mbaya na kuhukumiwa na pia kuna waliobambikiwa kesi je utawajuaje huoni kama wanaonewa? mwisho hakuna ruhusa ya kuua mtu
@@neziajoseph9726 wewe ndo mpuhuzi usiyejua maisha ni Nini.. Unamuongelea bila kujua Mungu anaitaji Nini. Mungu ajakuumba ili uje kumfurahisha yeye apa Duniani... Amri kaziweka zikusaidie wewe sio yeye... Ao leo wameukumiwa kwa kuwa wameshindwa kuishi kwenye amri za Mungu... Ukiuwa kwa upanga utakufa kwa Upanga. No mercy in life...
Wazir safi sana excellent ua yote maasi ayo
Wazir safii sana Kwa uamuz huo baba alieuwa kwa upanga auwawe na yeye pia
Wazili wa CONGO Chukua Mauwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 YAKO
Mana Upolaji ulizidi Mno FRM 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Huyu waziri nampenda sanaaaa
Jukumu la kutoa uhai ni la muumba pekee akifanya binaadamu ni KOSA...haijalishi iwe justice Au vip HUPASWI KUUWA ATA KUKU Huna mamlaka ...nasema leo hii waziri alietoa uhai wa hawa vijana hataishi akiona uzee wake save hii comment if possible...KARMA
Sheria ya uislam inasema ukiuwa na wewe uuwawe
Acha zako hawa walizid unataka mauaji yazid ili iweje
Kagame kazi anayo...
I like this ministere
Hiii Dunia mwenye mamulaka nimungu je atujuaje kama hao walio uwawa nihusika au wame singiziwa
Kweny kuua lazima roho iume ila ukirudi nyuma wazri yupo sawa ,maana tabia itaendelea wtu watakaa Hawan amni
Huyu waziri awekewe ulinzi mkubwa sana maana Congo haieleweki wanaweza kumuwinda eidha wananchi au viongozi wenzie wa Serikali
Sahihi kabisa walichofanyiwa. Maana walifanya mambo ya kuwahuzunisha watu. Acha na wao sasa familia zao zihuzunike.
Tshekedi give this man protection.
Wakiwaachia watazidi kuwa wahalifu zaidii😢😢
Anaemlaumu huyo waziri hajui maisha ya congo watu wanavyoteseka na hao watoto acha Sheria ifuate mkondo wake labda congo kutatulia,jamani congo ni shida hao watoto😢😢😢
Mheshimiwa waziri narudia apewe ulinzi mkubwa sana, yasije kumkuta Ya Patrick Lumumba,maana Congo haisomeki eti,wasije kumdhuru aidha wananchi au viongozi wenzie wa Serikali, zaid ya yote Mheshimiwa apewe mauwa yake🎉 na Congole nyingi🇹🇿
Wafe manaake ni waarifu.
Nice unaonamudada amekatwakichwa
Mimi Nampa Pongezi Wazili Asimame Vema Wauliwe Wanawake Zao Wakileta Midomo Wauliwe Wazazi Waliowazaa Pia Wakiweka Midomo Wauliwe Watoto Zao Pia Wakilia Wauliwe Mwananchi Mwenye Mdomo Akishikwa Auliwe Kutokomeza Kizazi Cha Waasi Congo Serikali Iwe Imara
Hukumu ya kuuwa ni kuuliwa, sio kuwapa maisha jela
Kweli bwana dah walikua hatali sana
Wauwawe name nyewe
UNAKWENDA KULA NINI😂WAZIRI KAZI MZURI UPANGA KWA UPANGA😂😂😂
Ni kweli
Endeleeni kutupa update
Oooooh jameni ...
UKIUWA KWA UPANGA NA WEWE UTAKUFA KWA UPANGA.....ANAYE UWA NAYE AUWAWE
Safi
Waziri nampa pongezi...
Wakat anaongea walijua anatania sasa baada ya hapo
Wauwawe tu ukiuwa kwa upanga lazima nawe ufe kwa upanga
Warudishwe ,,mtaani wamalizne nao wenyew wanach ,ili kuepuka lawam
Wauliwe hao wote
Hahahah kumbe malipo ni hapa hapa duniani siyo.auae kwa panga atauliwa kwa panga pia
Duh niatari
Lengo ni kukomesha wahamiaji tu hakuna lolote na pia lengo ni ku deal na wanyarwanda na sio kingine hlf hauwezi kumezesha sumu waafrika wachukie waafrika wenzao...nini nyie wakati mmejaa hapa tz na hata vbali hatuwasumbui tunawapa support kubwa
Hapo wameuliwa wakongo wenzao unalalamika ivo, vp ndio watanzania wenzako ndo wangeuliwa si ungekesha kbsa. Alieua kwa upanga na yeye afe kwa upanga😂😂
Umeongea nn sasa
Yaaani kama kunandugu yako umo mtu utataman kujiuwa
Sawa. Lakini kumbuka walipoua familia zilihuzunika kwa watu wao. Bas sasa zamu yao familia zao kuhuzunika.
Wapuuzi nyie, kwahiyo MUNGU alileta tulipize visasi? Hakuna anayejua kesho yake...wewe unayesapot mauaji basi MUNGU kashakuandikia adhabu maana kuna waliokamatwa kwa bahat mbaya na kuhukumiwa na pia kuna waliobambikiwa kesi je utawajuaje huoni kama wanaonewa? mwisho hakuna ruhusa ya kuua mtu
Kwaiyo ulitaka wahachwe... Ata Mungu aliiteketeza Sodoma na Gomola
Twambie wew nani umemuona hapo kaonewa au unaongea tu au wew ndo unawafadhili na wapi mungu kasema muuwaji asiuliwe
@@neziajoseph9726 wewe ndo mpuhuzi usiyejua maisha ni Nini.. Unamuongelea bila kujua Mungu anaitaji Nini. Mungu ajakuumba ili uje kumfurahisha yeye apa Duniani... Amri kaziweka zikusaidie wewe sio yeye... Ao leo wameukumiwa kwa kuwa wameshindwa kuishi kwenye amri za Mungu... Ukiuwa kwa upanga utakufa kwa Upanga. No mercy in life...
Wew nae una akili