Zaburi 130:5-7 5 Namngoja Bwana, nafsi yangu inamngoja, Na katika neno lake naweka tumaini langu. 6 Nafsi yangu imemngoja Bwana Kuliko walinzi wanavyoiangalia asubuhi, Naam, kuliko walinzi waionavyo asubuhi. 7 Ee Israeli, umtumaini Bwana, Kwa maana kwa Bwana kuna fadhili, Naye ana ukombozi mwingi
Wow that's great 👍 song 👏👏👏👏 God bless you brother
Amen brother
Zaburi 130:5-7
5 Namngoja Bwana, nafsi yangu inamngoja, Na katika neno lake naweka tumaini langu.
6 Nafsi yangu imemngoja Bwana Kuliko walinzi wanavyoiangalia asubuhi, Naam, kuliko walinzi waionavyo asubuhi.
7 Ee Israeli, umtumaini Bwana, Kwa maana kwa Bwana kuna fadhili, Naye ana ukombozi mwingi