Bi Sandra, kuna tofauti kati ya maneno Tegemezi na Tegemeo. Naona movie zenu nyingi mnasema "wewe ndio tegemezi langu." Kakako ni TEGEMEO lako, sio tegemezi lako. Tegemezi ni mtu asiyejiweza, ambaye anahitaji kusaidiwa na wengine. Tegemeo ni mtu mwenye nguvu flani au mamlaka, ambaye anatazamwa na wengine kama mtu anayewasaidia kwenye mambo yao. Sawa Bi Sandra? Olo ini olo, kazi nzuri. Keep it up.
heheheee 😂hamna mwanangu, mi naenjoi kucheza na ww 😅mwache mdogo wako naye apumzike 😂😂😂hii nukta imenigusa sana.... yaani huyu mama anavyo chekacheka aki... mara ya kwanza alichukuwa mchanga wa kuoshea vyombo, leo ni Steel wire 😂
Jamani mi huyu mdada mwenye macho makubwa nampenda kweli yani sichoki kumtazama❤❤❤ from Moz 🇲🇿🇲🇿
Hongereni sana sandra na kipara movie tamu sana❤🎉
Huyu msichana anaitwa sandra kwa kweli nampenda bure tu ❤
Sandra wewe ni mzuli kabisa nakupenda toka Congo 🇨🇩🥰🥰🥰
🥰🥰🥰
❤❤❤
Bravo sandra but hio Maza hausi sijaelewa ❤🇰🇪
Eeeh Huu mama Kama mchawi kweli 🤣😀 mii mwenye kanishitua
Bi migomba anauwezea uchaw utasem n mchaw kwel😂😂
Bi Sandra, kuna tofauti kati ya maneno Tegemezi na Tegemeo. Naona movie zenu nyingi mnasema "wewe ndio tegemezi langu." Kakako ni TEGEMEO lako, sio tegemezi lako. Tegemezi ni mtu asiyejiweza, ambaye anahitaji kusaidiwa na wengine. Tegemeo ni mtu mwenye nguvu flani au mamlaka, ambaye anatazamwa na wengine kama mtu anayewasaidia kwenye mambo yao. Sawa Bi Sandra? Olo ini olo, kazi nzuri. Keep it up.
Mwalim
😂@@YucraKanyesu
Picha limekutana nawaigizaji mashuhuri likaigizika hasa mama migomba. Harafu Hao warembo wawili tutafutane❤❤❤
Wallah uyu bi mgomba iyi movie katisha apewee mauwaa yake🎉🎉🎉
Nakukubali kipara wanaman.niko DRC congo
Daa huyu mama kauwa aisee kaweza sanaaaaa
Sandra nakupenda kutoka Mozambique❤
Huyu mama anaweza sana nakuombea upate tunzo kaza buti❤❤❤
Unamuombea apate tuzo ya uchawi!!!!
Huyu mama anayaweza Sana utazani mwanga kweli vileeee😅😅😅😂😂😂
Nimemisi kuangalia muvi ya kutisha hadi naona kama naguswa bega😅 Emu tieni na mautisho basii
Bi migomba napend tu unavyocheka😆😆😆🙌🙌🙌
Mhh yani huyu bi migomba...ninyamaze mie nisije nikajikuta nimelala nje na mie😂😂
Au ume maind bi migomba😅
Eti mama mwenye nyumba wenu ni kibokooo🤣🤣🤣🤣😀🤩
Ila mama mwenye nyumba anakera sna
Anavocheka xaxa
Kazi zako SANDRA uwa ni nzuri🎉🎉🎉❤❤
Huyo muganga ananipa burudani eti😅😅😅wachaaa
Ni nzuri sana bs mngeweka part two mngetisha sana hii movie ya kutisha Tanzania cjawwah kuona nzr km hii
Wewe utaendelea ku itwa bonge mpka una kufa 😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
😂😂
Hongera kwa CLAM VEVO GROUP kwakukuza vipaji nafurah kuona kila member wa group ana channel yake.
Sandra na kipara mnaendana
Bravo Bravo Bravo.
Lkn tunataka WHO AM I S2
Huyu mama Ni komesha❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kazi Nzuri sn kipenzi ❤️❤️🇰🇪
Nampenda bi migomba mno, mama anajua ❤
Sinaneno😀
Mama mwenye nyumba safii
Sister Sandra pata maua kotoka kwangu 🎉
From Moz 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Umetisha sana Sandra🎉
Ila Bi migomba ndo kuchk Gani huko unanifany n mm nacheka 🤣🤣
😂😂😂😂yaani Iko kicheko Cha bi gomba khaaa
Aliyesoma maandishi ya kwenye shati la KIPARA..MWAKA WA KUFOSI Atie like👍
Bi migombaa ni fundiii ❤❤
Wew na mndog wako nimchezee naniii😂😂😂😂😂😂
Bi migomba balaa anatisha anajua sana bimkubwa kwa ss hv hakuna
Bi mgombaaa katishaaaa🎉❤
na huyu Sandra ni mrembo jamani...natumai hajaolewa
Hili kwapa jeusi la kaka ake sandra naliona peke yng au😂
Kipara nawakubali sana mkiwanasantra
ila nawapenda san bule sandra na kipara
❤vipi au ume mind😂
😂😂😂😂jmn kiukwel bi migomba na kipara wananifuraishag sn😂😂😂
Kipara mmepisha nawakubali
❤
😂 mama migomba kiboko
Utafinywa nawachawi wahimaya hii😅😅😅😅😂😂😂
Nampenda sandra🥰🥰
Mother mjego ana mbwembwe nyie 😂😂😂😂
Zumba: hapa ninapokupeleka, nisipate umepeleka mtu mwingine
Kipara: siwezi... I am promise my Friend 😂😂😂
Uyu mama kiboko
Kipara Wacha pozi za vivo😂😂😂😂😂
I'm promise my brother😂😂😂😂😂❤
Kwenye hii movie kpara umeweza
Nyiye nae simhame
Bii mgomba noma sana
Umetisha sana
Unyama kabisa 😂😂😂
Jamani kuna sehemu sijaelewa Kwa bi migomba pale alipo rudisha mchanga wa kipara hakuna tusi lolote pale kweli au maskio yangu 😅
Mwanangu au umemaindi😂😂😂😂😂😂
Bi migomba😂😂 au umemind? ehe ehe😅😂
Mmejua kuigiza jaman 😂😂 ongereni
namkubali sana bibi migomba
Huyu mchawi nani kamwambia lazma achehe cheke ndio movie ikue nzuri , walai ywanibore huyu mama mwenye nyumba
Leo nimewah,mbona Kama wameirudia
izi nyumba zaku panga izi
Hiy Nyumb Kipara ameigizia Mbon km Nyumb ya Tanu kweny snek boy
Huyu bi migomba anakuja Kwa Kasi sana❤❤❤
DAAH HII MOVI SI MCHEZO MMETISHA
Nampenda sana huyo mama b migomba anaonekana ana kuma tamu
Mmmh
Nakupenda Sandra ❤️❤️💓
Leo nimewahi nipeni like zangu
Ukigusa comment yangu nakutongoza
Mmmh ili bibi noma jamanii 😅😅
Nakuona unafanya jogging ya subuhi 😂😂😂😂😂😂
😂🤣mbavu zangu sasa kukimbia hivo ndo nini
Napenda sandra na movies zako
Hapo nilichojifunza umaskin mbaya sana
Kazi nzur ila huyo bibi katisha sana
sandr nimekupenda bule sijuw nimnyany'anye huy kipalaaaaaaaaaaaaa
Eti mimi siitwi bonge naitwa big😂😂😂
Bi migomba anajua uyo axee ila wte mi nawakubali mpo vzri movie zenu
Wachawi tujuane apa😂😂
Nigaie namba zake porfavor 🙏🙏
Zamwizi niarubain🎉🎉
Ila kipara na Sandra waoanee tuu wanaendana
Mimi huyu mama nauwa kesi baadaye nyonga mzima mzima
Kama nampenda sandra
BB mgomba amekutananacho
Bi migomba ni hatari 😂😂
Mwisho wa ubaya ni ahibu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 kanzi djema kwenu
nibonge la movie
Nampongeza mm mwenye nyumba
Izo location zimenikumbusha snake boy da.....
Bi migomba😅🙌🙌🙌
Natamani nipate mwenye nyumba wa hivi
YAn bi mgomba na hl jich anachekesh
Kongole kwenu
Sandra umetisha san
heheheee 😂hamna mwanangu, mi naenjoi kucheza na ww 😅mwache mdogo wako naye apumzike 😂😂😂hii nukta imenigusa sana.... yaani huyu mama anavyo chekacheka aki... mara ya kwanza alichukuwa mchanga wa kuoshea vyombo, leo ni Steel wire 😂
Ila Mama Migomba ni kibokooo.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Halafu hawajui tu mchawi hutakiwi kumwogopa😂😂😂kata mkono mmoja atakuogopa 😂😂😂