MATENDO MADOGO (Official video) - KWAYA YA MOYO MTAKATIFU WA YESU (SHJC - UDSM)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 64

  • @DianaKazikulima
    @DianaKazikulima 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuriii mwenyezi mungu awabariki 🙏🙏🙏

  • @leoniajohn8676
    @leoniajohn8676 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni sana wana moyo mtakatifu wa Yesu❤

  • @PhidesterMlingi-c6n
    @PhidesterMlingi-c6n 11 วันที่ผ่านมา +1

    hakika Mungu ananipenda ❤❤❤❤

  • @dorothyxavery6178
    @dorothyxavery6178 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa matend madogo tubadili dunia 🙏

  • @emmanueldkulwa1824
    @emmanueldkulwa1824 2 ปีที่แล้ว +2

    Amina
    Upendo pekee ndo unaweza kubadili dunia, asante braza Mukasa, asante waimbaji mmenibariki sana na huu wimbo.

  • @peterotieno.o
    @peterotieno.o ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa matendo ya upendo unatosha Dunia .Bila kujali kiasi ,madogo madogo yanatosha kuigeuza iwe njema.
    Mbarikiwe sana wanakwaya 🙏🙏

  • @shayobeatuscasmiri2981
    @shayobeatuscasmiri2981 2 ปีที่แล้ว +3

    Good music. Mbarikiwe

  • @mkapakalikene9042
    @mkapakalikene9042 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongereni Sana

  • @geofreymwanahanja3930
    @geofreymwanahanja3930 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongereni. Video vizuri na wimbo mzuri. Mmeutendea haki.

  • @despinamdende9810
    @despinamdende9810 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kwamatendo madogo tubadili dunia. Hakika wimbo mzuri hongeran sana kwa uimbaji mzuri.

  • @brysonqambaita
    @brysonqambaita 2 ปีที่แล้ว +4

    Kazi nzuri sana. Mungu awabariki mno 😊🙏🏾

  • @judithbirungi9650
    @judithbirungi9650 2 ปีที่แล้ว +4

    Hongereni sana ujumbe mzuri mno dah🙌🙌🙌 hongera sana kaka Mukasa you are such a blessing to the world

  • @markuscharles9472
    @markuscharles9472 2 ปีที่แล้ว +4

    Wimbo mzuri sana
    "Asante kwa zawadi hii"

  • @boniphacejoseph5026
    @boniphacejoseph5026 2 ปีที่แล้ว +4

    Hongereni sana kwa utume na zawadi nzuri kwa mwaka 2022❤️🙏

  • @kwekalucasferan
    @kwekalucasferan 2 ปีที่แล้ว +3

    Wow. Asante kwa ujumbe na uimbaji mzuri.

  • @prof.verdianagracemasanja7041
    @prof.verdianagracemasanja7041 2 ปีที่แล้ว +4

    Hongera mtumzi Bernard Mukasa wimbo mzuri mno. Hongera organist Swai na hongereni waimbaji mmeutendea haki wimbo

  • @StudioiRisPro
    @StudioiRisPro 2 ปีที่แล้ว +2

    Nice one From My Guys

  • @judithbirungi9650
    @judithbirungi9650 2 ปีที่แล้ว +5

    Wow hongera San kaka you're such a blessing to the catholic church and the world at large be blessed ujumbe mzuri mno na wish kila parokia ikaimbe huuwimbo kila Misa ikawe sala ya kila muamin

  • @fadhilimarwa1928
    @fadhilimarwa1928 2 ปีที่แล้ว +4

    Very fantastic song mmefana Sana katika Bwana

  • @overover6820
    @overover6820 2 ปีที่แล้ว +2

    Sawa kabsa inapendeza hongereni sana

  • @richardchakupewa5248
    @richardchakupewa5248 2 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri xna. Plus na Ile ya "AMUENI" . Kiboko xana jaman.
    Mungu ni Mwema! 🎶🙏

  • @sijaonamagumba418
    @sijaonamagumba418 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni sana wimbo mzuri sana. @Dorothea nakuona mtumishi ndani ya wajibu mwema

    • @dorothyxavery6178
      @dorothyxavery6178 2 ปีที่แล้ว

      🙏🙏🙏.. Asante sana kk..Sifa na utukufu vimrudie yy Mungu wetu..Na Mungu akubariki sana kwa kuwa nawe ni mshiriki mkubwa katika hili🙏

  • @edwinmsakandeo1908
    @edwinmsakandeo1908 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana kaz nzur mbarikiwe ninyi nyoote

    • @rachelsteven6386
      @rachelsteven6386 2 ปีที่แล้ว

      Hongereni sana wanakwaya wote na hongera pia kwa kaka Bernard hakika MUNGU anawatumia ipasavyo kutuhubiria kupitia nyimbo nzuri mtoazo

  • @reginaldkalisti8813
    @reginaldkalisti8813 2 ปีที่แล้ว +2

    Nzur sana, hongereni sana wapendwa.

  • @c.a.sindanotano3242
    @c.a.sindanotano3242 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni sana kwa kazi nzuri

  • @barnabasmajige5413
    @barnabasmajige5413 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni sana moyo mtakatifu

  • @emdazzo5482
    @emdazzo5482 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU ni mwema ,mbarikiwe sana

  • @ediphoncendakidemi265
    @ediphoncendakidemi265 2 ปีที่แล้ว

    Nice song🙏😊☺️ Safi Sana SHJC - UDSM👏👏

  • @danielbarngetuny3152
    @danielbarngetuny3152 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Kwa Wimbo huu nzuri..na heri njema 2022

  • @bahatimashalo4335
    @bahatimashalo4335 2 ปีที่แล้ว +2

    Waooh hongereni sana kazi nzuri mno

  • @dorothyxavery6178
    @dorothyxavery6178 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu aibariki sana kazi ya mikono yenu...🙏💐

  • @soiyoikileli8748
    @soiyoikileli8748 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongeren Sana Kwa Kazi nzur waimbaji Mungu awabarik 🥰🙏

  • @Meeknego
    @Meeknego 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni sana watunzi na waimbaji wa wimbo huu. Ama hakika tumebarikiwa na kazi hii. Mungu awabariki sana🙏

  • @arbogastemiykimario2721
    @arbogastemiykimario2721 2 ปีที่แล้ว

    Hongera dada angu mery

  • @theodorivicent7645
    @theodorivicent7645 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki

  • @laurenciafeya4283
    @laurenciafeya4283 2 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri🥰🥰🥰hongereni sana

  • @christianngeleshi5921
    @christianngeleshi5921 2 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri sana🔥🔥🔥 mbarikiwe mno💯💯

  • @dazookman6417
    @dazookman6417 2 ปีที่แล้ว

    kwa Matendo madogo tubadili dunia

  • @jamesnyamwaya1841
    @jamesnyamwaya1841 2 ปีที่แล้ว

    Mubarikiwe sana

  • @georgenyaumba3925
    @georgenyaumba3925 2 ปีที่แล้ว +1

    Uinjilishaji mzuri 👏👏

  • @fabianmelkiades
    @fabianmelkiades 2 ปีที่แล้ว +1

    Awesome indeed

  • @pendomwacha8765
    @pendomwacha8765 2 ปีที่แล้ว +1

    love is enough to make a world a better place,, en that totally truth congrats,,,,,,to all of u God bless u

  • @msokasgallery8323
    @msokasgallery8323 2 ปีที่แล้ว +5

    Ni kweli kabisa Dunia ni ngumu sana kutufanya itutii, lakini ni laini sana penye upendo!! Congrats bro Mukasa for such a beautiful composition! Congrats too SHJC for good singing and Holy Trinity Studios for brilliant production. Happy New Year 2022

    • @dazookman6417
      @dazookman6417 2 ปีที่แล้ว

      ubarikiwe sana Baba Msoka

    • @andreayohane5800
      @andreayohane5800 ปีที่แล้ว +2

      Naomb ule wimbo wew umecheza kinanda na ule unacheza step kweny video ya mukasa akitoa sifa zako majina

    • @andreayohane5800
      @andreayohane5800 ปีที่แล้ว +1

      Hellow

    • @msokasgallery8323
      @msokasgallery8323 ปีที่แล้ว

      @@andreayohane5800 hello

  • @dokextra
    @dokextra 2 ปีที่แล้ว

    Great song

  • @st.gregorythegreatchoir843
    @st.gregorythegreatchoir843 2 ปีที่แล้ว +2

    well done

  • @annawilliam5612
    @annawilliam5612 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameeen

  • @idajaribu126
    @idajaribu126 2 ปีที่แล้ว +2

    🤲🏾🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @bonaventuretesha1039
    @bonaventuretesha1039 2 ปีที่แล้ว +2

  • @PhidesterMlingi-c6n
    @PhidesterMlingi-c6n 11 วันที่ผ่านมา

    Thank