Kwanza hizo klvitambulisho havina msaada wowote ukiwa nje ya Tanzania maana hata kusajili laini ya inchi nyingine huwezi kusajili nayo, wakati inchi zingine kitambulisho ukiwa nayo tayari unaweza kusajili laini, ila shinda kubwa ya Vitambulisho vyetu za Taifa 🇹🇿 Havina scan yaani sijui hata Vitambulisho hivi ni vya aina gani
Kuna wengne wamevitapata kwa kutoa pesa, ukwel skupenda na staoenda, mwananchi anae hangaika kutafuta riziki ake ili alishe family na wengine ni vjana walio maliza vyuo, ikifka wakati wakutuma maombi ya Ajira kigezo Cha kwanza ni awe na NIDA, inapelekea kushindwa ku apply na kukuosa ajira ukwel inauma, Nashaur wanao husika na kutoa vitambulisho tufanye Kaz kwa uadilifu na s Kuomba rushwa, huku mkikumbuka Mungu yupo,,
Vitambulisho hivyo,vina kasoro,watu wengi wamepoteza vitambulisho hivyo,havina namba za simu,vingekuwa na namba za simu,watu waliopoteza wangepigiwa simu na kupata vitambulisho vyao
2014 mpk Leo sijapata lkn unashangaa nch za wenzetu km uku urabun unafika nakupata lkn kwetu ni shida na wizara husika Haina majib yaan ni ajab ugenini unapata kwa urahis lkn nchi yangu upat kwa wakat duh
tz yetu rushwa ndio imetawara sana me ninanombar tu na niriobwa pesa iri nipate kwakuwa nirikuwa naitaji passiporti haikuwa na jinsi lkn tz ni shida haupanti kitu kwa harari kwa haki ni hunyanyasaji tu kira reo ukitaka kitu ukipate kwa haki yako basi hutasubri sana tena unajibiwa hunamkono wa birika we kaha hapo kwa benchi subri ndio imeisha iyo
Huyu mbunge yuko sahihi kbs vitambulisho vya Nida vimekua tatizo kwetu sisi watanzania yaan hata ukienda kujiandikisha wanakuzungusha balaa mpk unachok mimi naona ni bora wangevichapisha kwa mfumo wa vile vya kupiga kura ili kuepusha usumbufu
Nchi Ina use.... Mwing Zaid ya miaka 5 mtu unasubir kitambulisho hakuna haja ya kua na NIDA,Lakin pia Sina Iman km vtambulisho vtadumu vmetengenezwa Kwa material dunii sana
NIDA ni changamoto 😥 🤔
Upo sahihi sana bunge mm sijawahi kupata hio vitambulisho bado ukifuata hupati hii ni unyanyasaji
Watu wanahonga pesa ndo unapata namba
Kwanza hizo klvitambulisho havina msaada wowote ukiwa nje ya Tanzania maana hata kusajili laini ya inchi nyingine huwezi kusajili nayo, wakati inchi zingine kitambulisho ukiwa nayo tayari unaweza kusajili laini, ila shinda kubwa ya Vitambulisho vyetu za Taifa 🇹🇿 Havina scan yaani sijui hata Vitambulisho hivi ni vya aina gani
Mimi ninayo number tu kitambulisho nambiwa hakina haja kikubwa number siwaelewi kabisa
Kuna wengne wamevitapata kwa kutoa pesa, ukwel skupenda na staoenda, mwananchi anae hangaika kutafuta riziki ake ili alishe family na wengine ni vjana walio maliza vyuo, ikifka wakati wakutuma maombi ya Ajira kigezo Cha kwanza ni awe na NIDA, inapelekea kushindwa ku apply na kukuosa ajira ukwel inauma, Nashaur wanao husika na kutoa vitambulisho tufanye Kaz kwa uadilifu na s Kuomba rushwa, huku mkikumbuka Mungu yupo,,
Nida wasumbufu sijui hawaamini kama tumezaliwa
Hiyo NONDO safi sanaa
Vitambulisho hivyo,vina kasoro,watu wengi wamepoteza vitambulisho hivyo,havina namba za simu,vingekuwa na namba za simu,watu waliopoteza wangepigiwa simu na kupata vitambulisho vyao
Umeongea vizuri sasa
I thanks God nilipata changu miaka mitatu iliyopita😊
2014 mpk Leo sijapata lkn unashangaa nch za wenzetu km uku urabun unafika nakupata lkn kwetu ni shida na wizara husika Haina majib yaan ni ajab ugenini unapata kwa urahis lkn nchi yangu upat kwa wakat duh
Mm Sina kitanbulisho kwa Nini hatujapewa?
Mie niliandikisha mwanzo kabisa Sina hata namba
Mwinguru we unaonaje mimi naona hii inchi mtaalam wa uchumi ni mimi tu kisha hii inchi ni yetu sote unasemaje wewe.
Vitambilisho kiukweli tatizo ulienda kuandikisha wanataka cheti Cha kuzaliwa wengine vyeti vya kuzaliwa hatuna
Kwetu Kagera wanasema sisi ni waganda na wanyarwanda na warundi je waganda ni watanzania na wanyarwanda na warundi
Lakini wamasai hawaambiw kama niwakenya niatar mim nipo kigoma Yan kupata nishida
Kuwe na bei elekezi sio kutuambia vitu haviwezi kushuka,
YUHU NAE PUMBA KABISA MFUMUKO WA BEI LINGANISHA NA KIPATO CHA MTANZANIA USILINGANISHE KATI YA NCHI NA NCHI
Vitambulisho mmesha kula pesa yetu mbwa nyie
Yaani hata hiyo namba kuipata ni kipengele. Bila hela. Hata hiyo namba utaiskia tu.
Duu Mimi mwenyewe sija pata tangu 2019
Mimi tangu 2015
tz yetu rushwa ndio imetawara sana me ninanombar tu na niriobwa pesa iri nipate kwakuwa nirikuwa naitaji passiporti haikuwa na jinsi lkn tz ni shida haupanti kitu kwa harari kwa haki ni hunyanyasaji tu kira reo ukitaka kitu ukipate kwa haki yako basi hutasubri sana tena unajibiwa hunamkono wa birika we kaha hapo kwa benchi subri ndio imeisha iyo
Taiga hili maneno mengi utekelezaji ziro
AU TUAMBIE GHARAMA YA KITAMBULISHO ILI TULIPIE!!
Kabisaaa waseme tuinunue kuliko kujizungusha
Bora waseme mbwa hao
Huyu mbunge yuko sahihi kbs vitambulisho vya Nida vimekua tatizo kwetu sisi watanzania yaan hata ukienda kujiandikisha wanakuzungusha balaa mpk unachok mimi naona ni bora wangevichapisha kwa mfumo wa vile vya kupiga kura ili kuepusha usumbufu
Nchi Ina use.... Mwing Zaid ya miaka 5 mtu unasubir kitambulisho hakuna haja ya kua na NIDA,Lakin pia Sina Iman km vtambulisho vtadumu vmetengenezwa Kwa material dunii sana
Yani nichangamoto
Maisha Ni magumu jmn mlo mmoja sikuhiz
serikali imechoka bungee halina challenge
Rushwa himetawala kwenye hiiillii
Nimeambulia number tuu. Wamenilamba jiwe moja. Bongo hamna kitu sirudi
NIDA NI SHIDA TUPU
KITAMBULISHO SIJAPATA NATUMIA NAMBA TU!!