Jinsi ya kuandaa business plan bora |
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- jifunze jinsi ya kuandaa business plan ambayo unaweza kuitumia katika kuomba mkopo kwenye mabenki, na kupata udhamini katika wazo lako la biashara.
business plan hutumika zaidi katika kutoa picha na muelekeo wa biashara fulani pale itakapoanza kufanyika.
Ubarikiwe umezifungua sana Fahamu zangu.
Thanks Bro .... Toka niitazame hii video na kuongeza akili niliyokuwa nayo
bas niliandika Business plan moja nzur tu
nikampa boss wang na ameielewa sana mpaka dk hii keshatoa nusu ya pesa niliyohitaji
so nipo kwenye harakati za kuanza kazi. Nataman kila mtu ajue umuhim wa mitandao ya
kijamii sio mibaya bali ubaya unakuja pale ww unpotumia sivyo. kifupi huku kuna elimu zaid ya darasani
+Boniphace Joseph ni furaha kwetu kusikia kwamba umeweza kujifunza hapa, kufanyia kazi na kuanza kuona mafanikio.
Ahsante sana kwa feedback uliyotoa maana itatufanya tuendelee kuleta elimu zaidi
Hongera
Unaweza kunionesha mfano wa ulivyoandika nami nahitaji kujua kwa mfani ili iwe rahisi kuandika wangu wa biashara
Kiukweli simu sio mbaya ila matumizi yako ndio yataifanya ionekane kuwa mbaya au nzuri.
Na kuhitaji watu wakufollow post tu logical things faster tu followers kama wote@mimi
Big up brother 💪
Big up
Umetisha sana mkuu, upo vizuri
Ahsante sana broo sas samahani naomba unisaidie kunionyesha hata sample moja tulivoandika nijifunze,kwa maan sielewi chochote na nimepata deal la kumuandkia mt business proposal
Umenifunua macho pakubwa sana sikuwa na akili za kuandaa katika mfumo huo UBARIKIWE MNOOOO
Aisee uko vizuri
Nitafute nikupe tender
Great kaka ni balaa🙌🙌🙌🙌
Hongera sana 👏👏👏👏👏
Natamani ningejifunza mapema zaid!! Thank you!
Thank so much you son
safi sanaaa
Good 👍
Ipo vizuri,
Karibu tena sule
Safi
great👏👏👏👏👏
instablaster
Be blessed
Nimerudia mala tatu kwa umakini mkubwa na kuuelewa brother.
Tunataka mfano ambayo tayari imeshaandaliwa sio maelezo mfano ulioandikwa kabisa
Kweli kama upo uoneshwe
Umeshaelekezwa jinsi ya kupika unataka chakula ndio uamini kuwa kweli kupika kunawezekana??
Za kuambiwa changanya na za kwako
Asante sana kaka
tunashukuru pia na ni furaha kwetu kuona umeweza kujifunza kupitia chaneli hii, hakikisha umesubscribe ili kuweza kupata masomo zaidi
👊👊👊
🙏🙏🙏
tunashukuru kwa kuwa karibu nasi na ni furaha kwetu kuona umeweza kujifunza kupitia chaneli hii, hakikisha umesubscribe ili kuweza kupata masomo zaidi
Kiufupi nilichokipata nilikuwa nacho ila mwongozo wa jinsi ya kukigawanya ndio ulinichanganya. Japo kuna baadhi ya miradi haitatimiza katua zote 8
Kaka . Weza kunioatia no. Yako
Kaka mawasiliano yako plz
Thanks a lot kaka
Asante kaka
Gooood
Asante sana kaka umenifumbua
Nc but I would like to communicate with u
Mei ERICK wasonga Ni Fanya biashara Gabi nina sht50000
Cha kwanza uwe na wazo binafsi. Yeye hakuchagulii biashara ya kufanyà
Saf kk