SHAIRI LENYE UJUMBE MZITO |TIZAMA JUHUDI ZA MASHEIKH ZETU KATIKA KUIENEZA HII DA'AWAH
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024
- Sheikh Abuu Ayman Al-Maghribiy
Pata faida kwa kuskiliza Durous Mbalimbali kupitia chanel yetu @wajawemaonlineTv
ili kuwa wakwanza kufaidika Usisahau ku subscribe ku like ku share pamoja na kutia maoni yako chini ya Video hii Ahsant
____
Assalaam alaykum warahmatuLLAAHI wabarakaatuh
Darsa za balaaghah na Qawaid Al muthlaaa twazipataje?
الحَمْدُ ِلله رب العٰلمین
وجزی الله مشایخنا سلفيِّین خیرا الجزاء
Baraka llahuu fiika shekh wanguu
Allah akulipee kher mwalm abuu ayman al magharib
Baarakanllah fiykum wajazakumnllah khairay ❤
Mashaallah ❤❤❤, shairi tamu saana!
allah akulip khye ndg yang fadhali
Ukweli usemwe, mashaayikh nikweli wamefanya juhudi kubwa ya da'wa, lkn kuna mambo muhimu ktk Da'wah wame yaharibu, na kuitia doa kubwa sana da'wah.
Na ndiomana ime kosa barka, ilivyo anza sivyo ilivyo sasahivi.
Mukitaka niwatajie mambo walio haribu masalafi nita watajia.......
Kule kutaja kwako ktk makosa ya watu huenda kukazidi kuharibu zaidi daa'wa
Baarakallahu fiyk
Yataje? Kama ni kweli yarekebishwe...
Na kusubiri akhi tutajie hayo makosa.
Allah akubariki ili watu wajirekebishe
@omarAlly
Yataje kama ni ya kweli yarekebishwe, yataje ni mambo gani wameharibu mashekhe katika daawa.
Msomaji shairi ni nani AL-AKHY .
Anaitwa Abuu Ayman Almaghriby
ALLAH amuhifadh nahuyu ni shekh au @@saydsultan9499
Abuu Ayman Almaghriby ndiyo namsikia leo
Tulifaidi sana kwenye dawra
@@farajichilumba5114 wallah walohudhuria ALLAH awalipeni khery nyingi