ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Toka mara ya kwanza nakuona TikTok nakupenda sana dada. Napenda unavoelekeza😅😅 asante sana
Imetubu😂😂😂
Jaman mimi chapati tu ndo hazitubu 😢😢
Hhhhhh polesana fata maaelekezo utawezatu
Tatizo iyo kimbo ndugu sipo tanzania
Tumia hatamafuta yakawaida nakama unasamli canganganya kama hauna mafuta yakawida chapati zitatubu😅😅@@HawaOmary-gw2oo
@@nshimirimanabora180 aaaaaa mafuta ya kawaida peke yke hapanaa achanganye na samli hapo ndio umepatia best yngu🥰🥰
Upo nchi gani?@@HawaOmary-gw2oo
Ahsante
nimekuona kwa mbaali nkasema kwann nisiingie darasani😅😅
Hoho😂😂😂
Na imetubu haswaaaa😂😂😂asante sana dear. Love you sana ❤
Tanx u my dia🥰🥰🥰🥰