Hii fridge iko na Facebook, google, hadi tiktok!!.haijafika kenya!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 131

  • @Godhana254
    @Godhana254 3 หลายเดือนก่อน +3

    It's Godhana here watching from ireland..good video

  • @EliudiJastini
    @EliudiJastini 3 หลายเดือนก่อน +2

    Amazing brother from Tanzania 🇹🇿nakukubali sana

  • @Amaizingeric
    @Amaizingeric 6 หลายเดือนก่อน +15

    Oñami bro Hume rudi youtube Leo nita lala fiti sana thank you Lord.

  • @abdallahismael3993
    @abdallahismael3993 6 หลายเดือนก่อน +12

    Chapa Vida juu you educate case .Acha story za madem na Kama wife ako akue chini ya maji kama wife ya juacali.

  • @kyopis434
    @kyopis434 6 หลายเดือนก่อน +7

    Hata huyu mnyanye😂😂

  • @Koolkid254
    @Koolkid254 6 หลายเดือนก่อน +3

    Am your biggest fun from kenya.I love your videos.keep it up😊

  • @lzmitch1388
    @lzmitch1388 4 หลายเดือนก่อน

    Morio unafanya kazi fiti ..mkuu..endelea kukutembeza mkuu..tuko nyuma😊

  • @margaretmargaret5744
    @margaretmargaret5744 6 หลายเดือนก่อน +4

    Nakuona mkuu Tuoneshe

  • @empressderich2994
    @empressderich2994 6 หลายเดือนก่อน +33

    I just bought a new house😂😂😂. Wasikubebe ufala😂

    • @HukuYues172
      @HukuYues172  6 หลายเดือนก่อน +5

      😂😂yes

    • @kenndungu2926
      @kenndungu2926 6 หลายเดือนก่อน +2

      @@HukuYues172 unachachisha🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @joeray2336
      @joeray2336 5 หลายเดือนก่อน +1

      Vile inafaa😎

    • @christianremnantsda5304
      @christianremnantsda5304 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @KK-ygh
      @KK-ygh 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@HukuYues172uaneza nunulia mtu merchandise tufanye deal bro?

  • @obrienmboya8604
    @obrienmboya8604 6 หลายเดือนก่อน

    I miss your content broo, welcome back,,

  • @josephkuria1429
    @josephkuria1429 6 หลายเดือนก่อน

    Welcome back sir import the fridge

  • @johnwanjau8038
    @johnwanjau8038 6 หลายเดือนก่อน +9

    Ngai Mwathani

    • @KK-ygh
      @KK-ygh 4 หลายเดือนก่อน

      Ngai mwathani😂😂

  • @henrymmene4470
    @henrymmene4470 6 หลายเดือนก่อน +6

    Shida ya vitu kama hizo ikikuja kwa mambo ya repair unalazimishwa kuita watu wa hio company kama vile farmers wanatumia John Deere tractors.

  • @collinscotienoh2517
    @collinscotienoh2517 6 หลายเดือนก่อน +2

    2:22 😂 Ibra bwana hio hesabu haipigwi hivo,hivyo unashtua raia

  • @MrDumplings7
    @MrDumplings7 6 หลายเดือนก่อน +2

    Chapa ma vida ww ndo master uciambiwe

  • @jvocalistkenya4785
    @jvocalistkenya4785 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ngai Mwathani 🤣🔥✅

  • @louis001
    @louis001 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ibra ukienda break tena juu ya ma hayterz tutakucharaza....hii channel ndio tunatambua

  • @johnnaingi-vw1dm
    @johnnaingi-vw1dm 6 หลายเดือนก่อน +1

    bado hii inakaa kufika 2027 huko. Mambo ni digital kweli😊 hapa content ni safi and hoping for more

    • @fredorido2520
      @fredorido2520 6 หลายเดือนก่อน

      Kwani unaishi Kenya gani myfriend?

  • @richardmakau-mp2zs
    @richardmakau-mp2zs 4 หลายเดือนก่อน

    HUKU YUES🎉❤Asante sana mtu wangu😅Tunakuunga mkono sana

  • @brightonokoth3754
    @brightonokoth3754 6 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂huyu jamaa hunimaliza

  • @margaretmargaret5744
    @margaretmargaret5744 6 หลายเดือนก่อน +4

    Greetings sir maboringo

  • @ryanhotrod5416
    @ryanhotrod5416 6 หลายเดือนก่อน

    Greatest country in the world 🇺🇲🇺🇲🇺🇲.

  • @savageznn
    @savageznn 6 หลายเดือนก่อน +1

    Welcome back king

  • @vedelisStancie-eq6gh
    @vedelisStancie-eq6gh 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huku yues!!!ni kufreeze maboringo 😂

  • @dannmtuku
    @dannmtuku 6 หลายเดือนก่อน +1

    This guy is funny low key😂

  • @AllandeEmpire
    @AllandeEmpire 6 หลายเดือนก่อน

    Yooh niaje bro

  • @GURUVISUALZ
    @GURUVISUALZ 6 หลายเดือนก่อน +3

    Nunua Banaa Albo ufanye content safi kaa Albo Kaka.Maisha states ni Mzito.

  • @geofreyomusamia2078
    @geofreyomusamia2078 6 หลายเดือนก่อน

    Noma sana

  • @Dr_Elvis
    @Dr_Elvis 5 หลายเดือนก่อน +1

    Iko na gugulu 😂😂😂😂

  • @خسنموس
    @خسنموس 6 หลายเดือนก่อน +6

    Kitu unibamba ni ushamba wako kila kitu unaona uko ni km nchi zngine hakuna 😂😂

  • @BusinessGuidesKenya
    @BusinessGuidesKenya 5 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣 mkenya ni mkenya tu

  • @jvocalistkenya4785
    @jvocalistkenya4785 6 หลายเดือนก่อน +1

    #HukuYues🔥🔥✅✅🇰🇪

  • @mutuarashid
    @mutuarashid 6 หลายเดือนก่อน

    Ngai mwathani😂😂

  • @mohammedabu2161
    @mohammedabu2161 3 หลายเดือนก่อน

    They think you're going to steal 😅😅

  • @kelvinkibuthu7060
    @kelvinkibuthu7060 5 หลายเดือนก่อน +1

    Content iko poa, but tuonyeshe prices pia za kila kitu especially kama hizo TV, msee anaweza dai kuimport

  • @vonelias7743
    @vonelias7743 6 หลายเดือนก่อน +2

    Unaeza angalia movie za kupepetana

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 5 หลายเดือนก่อน

    Kizungu ni kizungumkuti 😂

  • @Makaveli-1960
    @Makaveli-1960 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kufreez maboringo niaje

  • @franklasker5135
    @franklasker5135 หลายเดือนก่อน +1

    broo rudi u tube bana tumekuhata why the on and off? since upost hii video bado ni hii tu

  • @calvinwanjiru6191
    @calvinwanjiru6191 หลายเดือนก่อน

    Ibrahim ulienda wapi broo. Tumemiss content. Ninakuja February, Illinois, nichanue vile nitavaa nisipate ni winter nifreez maboringo

  • @theafricantape
    @theafricantape 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hizi vitu zote ziko kenya bro 😂😂😂

  • @PGcreative287
    @PGcreative287 6 หลายเดือนก่อน +2

    Umesema 'Guglu'?

  • @moseskiplagat5940
    @moseskiplagat5940 6 หลายเดือนก่อน +7

    Hizi fridge ziko Kenya pia 😂. Like LG instaview

    • @HukuYues172
      @HukuYues172  6 หลายเดือนก่อน

      😅😂😂bado hajiza fika

    • @carolndungu9307
      @carolndungu9307 6 หลายเดือนก่อน

      How much is the fridge ​@@HukuYues172

    • @scapegoatmedia33
      @scapegoatmedia33 6 หลายเดือนก่อน

      @@HukuYues172 Ziko wacha hizo

    • @samirhumud7408
      @samirhumud7408 6 หลายเดือนก่อน

      Zanzibar zipo but ni used

  • @Haustine3507
    @Haustine3507 6 หลายเดือนก่อน +1

    "Mnyanye asifikiri nataka kumi b😮ia

  • @ClinchyClin
    @ClinchyClin 6 หลายเดือนก่อน +1

    Niaje IBRA

  • @TerryMuhia-ie6of
    @TerryMuhia-ie6of 5 หลายเดือนก่อน

    Kenya tuko nayo Hannah Benta huree

  • @LamechBironga-ik9ey
    @LamechBironga-ik9ey 3 หลายเดือนก่อน +1

    I want to buy something expensive 😂

  • @mosesochieng9949
    @mosesochieng9949 4 หลายเดือนก่อน

    Ibrah tupeleke Chicago tuone
    Hadi Chicago Police 😂😂

  • @KIM-xl6zs
    @KIM-xl6zs 6 หลายเดือนก่อน +1

    Bro my aunt gave me a similar fridge, shida ya fridge ziko na standard ya US, consume alot of electricity plus are not efficient as my european recommended efficiency A fridge, plus niko na hiyo oled ya 73 inch lakini imagine natumia simu ya 2013 Alcatel (maajabu) sina simu, nimevunja zote na sinunui ama ku repair any of them, plus vitu kama alexa nilikuwa nayo 2018, ibra bado naona uko na kaushamba hakajawai kutoka, cheers lakini, napenda contect yako

    • @charity365
      @charity365 6 หลายเดือนก่อน

      Noticed so too

    • @254shorttrendystories4
      @254shorttrendystories4 6 หลายเดือนก่อน

      😢😂😂

    • @rankyrank5391
      @rankyrank5391 6 หลายเดือนก่อน

      Its not even ushamba the guy always try to cheer people up

  • @straightkonect1613
    @straightkonect1613 6 หลายเดือนก่อน

    Vitu ni kali but pia hiyo camera unatumia crystal iko juu ukibuy ingine nirushie hiyo

  • @kyopis434
    @kyopis434 6 หลายเดือนก่อน +1

    Iko kenya

  • @margaretmargaret5744
    @margaretmargaret5744 6 หลายเดือนก่อน +3

    Members mwabolakho

  • @woodworkingaspirations1720
    @woodworkingaspirations1720 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ungechukua Maisha States akusaidie mambo ya camera

  • @cleartzboy
    @cleartzboy 3 หลายเดือนก่อน

    Huku yues from 255 me naskia wew n mwiz kunadada umemtapeli hela inasemekana we n tapel

  • @ChrisOmboto-ly1qd
    @ChrisOmboto-ly1qd 6 หลายเดือนก่อน

    Ziko Kenya bana😂😂

  • @hollanddutch-day
    @hollanddutch-day 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mkali wa TH-cam amerudi

  • @MOZZBIZZTVKENYA
    @MOZZBIZZTVKENYA 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ati mnyanyì

  • @megadun2610
    @megadun2610 6 หลายเดือนก่อน

    Those canon cameras sio za action,unless wewe sasa ukue tu photographer,but if you are doing it for Action & adventure videos especially content creation, Dji & GoPro are built for that,
    So ,whether utakua na pesa mingi in future or not,dont make that mistake

  • @EdgarLeyian
    @EdgarLeyian 6 หลายเดือนก่อน

    Keani leo kamnyweso imeenda juu kiasi

  • @Rasheedah68647
    @Rasheedah68647 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ķali

  • @Blesseddota
    @Blesseddota 5 หลายเดือนก่อน

    Ninaweza kopa hiyo tv ya 1m 😂

  • @fredorido2520
    @fredorido2520 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ziko Kenya mingi zilingia kitambo

    • @theafricantape
      @theafricantape 6 หลายเดือนก่อน

      Huyu anatuonyesha vitu zilifika Kenya 2020 😂

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 6 หลายเดือนก่อน

    Mr. Ibrahim Onami kwanini usifungua duka la vifaa tv, simu, redio, but also unaweza fungua duka la nguo na viatu itakuwa poa

  • @BrantonOkinda
    @BrantonOkinda 6 หลายเดือนก่อน

    Hey Ibra unapiga contents poa poa unafanya nå feel kukuja yues

  • @coconutmoon2695
    @coconutmoon2695 3 หลายเดือนก่อน

    Hizo fridge ziko Kenya msee

  • @kyopis434
    @kyopis434 6 หลายเดือนก่อน

    Missed his videos

  • @samuelnjuguna477
    @samuelnjuguna477 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ibra bado zile email za job ziko man..Sam kutoka Kenya..

  • @woodworkingaspirations1720
    @woodworkingaspirations1720 2 หลายเดือนก่อน +1

    Onami alienda wapi?

  • @samalingure
    @samalingure 5 หลายเดือนก่อน

    bro na watchingi video zako sana c uni connect uko ata kama ni job ya kuosha madogi

  • @bossej1212
    @bossej1212 6 หลายเดือนก่อน

    Ni sawa ziko U.S pekee yake lakini ziko stage za mwisho ziingie Kenya

    • @sliceoflife485
      @sliceoflife485 6 หลายเดือนก่อน

      Ziko from kitambo enda utembee Sarit center Westlands 😅

  • @bizimanadia6377
    @bizimanadia6377 6 หลายเดือนก่อน

    I'm your fun brother but hauna choice 😂😂😂 huja nunu why

  • @KiyodaMalima
    @KiyodaMalima 6 หลายเดือนก่อน

    Bro Ulipotea Sana

  • @GURUVISUALZ
    @GURUVISUALZ 6 หลายเดือนก่อน

    Ask expert baana bout camera Kaka.

  • @isaacknewton2909
    @isaacknewton2909 6 หลายเดือนก่อน

    mdau smart fridge ziko kenya...

  • @jacksonfungo9613
    @jacksonfungo9613 5 หลายเดือนก่อน

    Ibrahim mbona nimekuona kweny clip uku kenya upo unaandamana

  • @Haustine3507
    @Haustine3507 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂,"am looking for something expensive..I have just bought aa new house 😅😅

  • @randabrenda4815
    @randabrenda4815 6 หลายเดือนก่อน

    Ibra imagine niko na hiyo fridge, shida ni nitoa hiyo tv nikaiweka sitting room, sasa fridge imekataa kufanya

  • @sliceoflife485
    @sliceoflife485 6 หลายเดือนก่อน

    Ati hizi vitu ziko tu US pekee yake 😂😂😂😂😂

  • @fredrickmanyasa834
    @fredrickmanyasa834 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mulembe

  • @Amaizingeric
    @Amaizingeric 4 หลายเดือนก่อน

    Bro leta content

  • @BabuNL
    @BabuNL 6 หลายเดือนก่อน

    uki buy tupe link

  • @kariukidennis1197
    @kariukidennis1197 6 หลายเดือนก่อน

    Hehehe😂😂😂. I just bought a new house. 😅😅😅. Marketing strategy.

  • @ngangarich4164
    @ngangarich4164 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @scapegoatmedia33
    @scapegoatmedia33 6 หลายเดือนก่อน

    Ziko...

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 6 หลายเดือนก่อน

    Piga contents Ibra 🇹🇿

  • @jomo2483
    @jomo2483 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hii iko Kenya. Lakini lazima uende hizo malls za mababi ndio utaziona. kuna hadi TV za nusu millioni zinauzwa kwa hizo malls. Ukiingia hizo malls kwanza unajipata uko katikati ya wazungu tupu, hadi unashindwa kama uko Kenya ama majuu.

    • @fredorido2520
      @fredorido2520 6 หลายเดือนก่อน

      Hata online zinacoast 300k

  • @saidijuma9386
    @saidijuma9386 6 หลายเดือนก่อน

    Huku yues

  • @felixomondi77
    @felixomondi77 6 หลายเดือนก่อน

    Mambo live😅

  • @richardmakau-mp2zs
    @richardmakau-mp2zs 4 หลายเดือนก่อน

    Hio fridge inaitwaje? Content s zako ni fiti bro😮

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 6 หลายเดือนก่อน

    Ukinunua camera utuoneshe uwezo wake na cost of it .

  • @Random_love
    @Random_love 6 หลายเดือนก่อน

    Hizi Fridge ziko Carrefour Junction Kenya actually.

  • @Lanny-p8s
    @Lanny-p8s 4 หลายเดือนก่อน

    Hio ni Samsung fridge niko nayo kwa nyumba acha jaba

  • @AlfredMuthomi-fv9tu
    @AlfredMuthomi-fv9tu 6 หลายเดือนก่อน

    Store ya guns

  • @juniorkellytv6811
    @juniorkellytv6811 6 หลายเดือนก่อน

    Hizo Vitu Zote Ziko Kenya.

  • @Elizabethdora333
    @Elizabethdora333 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @dannmtuku
    @dannmtuku 6 หลายเดือนก่อน

    Did he just say guglu??😂

  • @megadun2610
    @megadun2610 6 หลายเดือนก่อน

    funny enough hizo fridge kulingana na bei yao considering na those features inaonekana in US ziko cheap,coz nimeona hapo ya 1000$ with a screen ,
    In Kenya hio ingekua around 500K ,
    Thats what buffles me,

  • @kelviatv
    @kelviatv 5 หลายเดือนก่อน

    Naona ukinitumia drone ikuje kenya maana uko ni cheap but ntakutumia pesa

  • @artherchege9110
    @artherchege9110 6 หลายเดือนก่อน

    Huwa unanibaba

  • @254shorttrendystories4
    @254shorttrendystories4 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mwaf alikuchanua about Oled tvs 😂😂😂your videos hunibamba because you act like mshamba but good strategy 😂😂