NIKUFURU UTAJIRI WA NABII KAIRUKI,ATUMA UJUMBE KWA MARTHA MWAIPAJA NATAKA TUKAPIME DNA YA MTOTO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 750

  • @kiswahilitv
    @kiswahilitv  11 วันที่ผ่านมา +2

    Follow the Kiswahilitvonline channel on WhatsApp: whatsapp.com/channel/0029Va8vvFmDOQIguahdWK2Z

  • @Marryjohn-t2s
    @Marryjohn-t2s 10 วันที่ผ่านมา +2

    Martha Mungu wa mbinguni akupe moyo mkuu ya kuyashinda Aya da pole sana Martha 😊

  • @abdulrazakimkulyuta4568
    @abdulrazakimkulyuta4568 16 วันที่ผ่านมา +29

    Naibii kairuku yeye mda wote Hana mengi ya kusema ila Ana mengiii y kuongea 🙌🙌😂😂😂😂

    • @BonfacesifunaWabwile-z3q
      @BonfacesifunaWabwile-z3q 16 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 Hana mengi ya kusema lkn anasema sana

    • @LoveAron
      @LoveAron 16 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂😂 kiki tu hizo

    • @prpphetguardianangel
      @prpphetguardianangel 16 วันที่ผ่านมา

      mhhhh

    • @RehemaSalamba
      @RehemaSalamba 16 วันที่ผ่านมา

      We ni shoga kabisa chàma kimoja na marha na Joan wasagaji

    • @Roi-SaidiIdi-rp4tx
      @Roi-SaidiIdi-rp4tx 16 วันที่ผ่านมา

      🤣🤣

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 2 วันที่ผ่านมา

    Martha mwapadja na kupenda njipe moyo wewe ni mama shunjaaaaa oyyyy nakupenda kumbe ulilea mtoto mwenyewe barikiwa sana ❤️ kipenzi mwimbaji wetu mnzu mungu ata washingu likiya itapita 😊😊❤❤❤

  • @josephmusagasa
    @josephmusagasa 14 วันที่ผ่านมา +5

    Tutasikia mengi,wazinzi pigeni likes hapa. Nabii kawa wazi anataka mwanaye. Sasa huyo John Said mwanao anataka kuchukuliwa. Kumbe humo kwenye huduma kuna uzinzi sana. Mnakulana mdogo mdogo. Na kumbe Martha ana watoto watatu. Ndo nimejua.

    • @Star77748
      @Star77748 6 วันที่ผ่านมา +1

      Lkn uyu angekuwa bwana wa nani na hii mdomo mingi kma kimama hapa aka ni mlevi tu

    • @Cecyscola
      @Cecyscola 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@Star77748😂😂😂😂

    • @sabinaboyani7790
      @sabinaboyani7790 4 วันที่ผ่านมา

      Wee hata mie nilifikiri ana mtoto moja wa kiume

  • @evaristachami9190
    @evaristachami9190 12 วันที่ผ่านมา +2

    Safi sana kaka mungu akubariki

  • @SarahShija-d2l
    @SarahShija-d2l 15 วันที่ผ่านมา +6

    We listen,we get shocked,but we dont judge🙌

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 2 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen barikiwa sana ❤️

  • @frickchristina6175
    @frickchristina6175 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mwenyezi mungu amfanyie martha wepesi apite huuu mtihani

  • @saidatowainda525
    @saidatowainda525 17 วันที่ผ่านมา +25

    Sio kweli msimchafue Martha wa watu jamani Martha Mungu akupe moyo mkuu dada.

    • @OdiloMwemezi
      @OdiloMwemezi 16 วันที่ผ่านมา +3

      Wanamchafuaje,Hawa single mother unafikri waliachana na waume zao ili kwenda kuishije na ni mabinti wadogo?wanashinda kwenye uzinzi tu huku wakitufunika vitambaa usoni.

    • @danielwwahai8664
      @danielwwahai8664 16 วันที่ผ่านมา +1

      Martha anajehuri sana

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati 14 วันที่ผ่านมา +2

      Wewe nabii unashindwaje kumjua kama sio mwanao mpaka dna

    • @RehemaKirwey
      @RehemaKirwey 13 วันที่ผ่านมา +1

      Ndugu wew unakaa mbali na mama ako mzazi kama mart?????

  • @RenathaTimbeganya-cr2fk
    @RenathaTimbeganya-cr2fk 17 วันที่ผ่านมา +5

    Mungu museidie martha kwakipindi iki kigumu duhuu inauma

  • @francinenahimana7289
    @francinenahimana7289 17 วันที่ผ่านมา +17

    Kama kweli huo mtoto niwako pambana umuokow mtoto anafugwa kama ubwa wamesha mhalibu aiki sababu yakumutesa vibaya watamuwa nanja nakumupiga sana😢😢😢

    • @emmymutama2394
      @emmymutama2394 17 วันที่ผ่านมา +4

      Huyu ni baba Gani ambaye hajui jina la mwanae 2. Hajui mwanae ana miaka mingapi? Hajamwona? Wewe unaaibisha waume wakenya. Wewe ni ni nabii wa kula kondoo ama kueneza injili?

    • @AnaSwai-ho2vi
      @AnaSwai-ho2vi 15 วันที่ผ่านมา

      ila jamani yamungu mengi Dunia inamambo

    • @Cecyscola
      @Cecyscola 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@emmymutama2394 sio wakenya

  • @JosephinaMsagala-m1l
    @JosephinaMsagala-m1l 16 วันที่ผ่านมา +5

    Duuuh,Martha ,Martha ,Martha jamani murudie mama ako ,ndo mungu wa pili

  • @PendoNeemia
    @PendoNeemia 7 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki mcngaji kairuki kwa uwaz

  • @gilbertburasixbert2569
    @gilbertburasixbert2569 6 วันที่ผ่านมา

    Very smart person....I like that'

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 2 วันที่ผ่านมา

    Pole sana njamani ungeli sema mapema

  • @RehemaKirwey
    @RehemaKirwey 13 วันที่ผ่านมา +2

    Dada mart mrudie mama ako na umrudie mungu wa kweli

  • @AnnaJoseph-e6d
    @AnnaJoseph-e6d 16 วันที่ผ่านมา

    Jmanii kairukii naomba mungu akurudishe salama uje utupe mrejesho viroho vyetu vitulieeeee

  • @lydiabenjaminmgalula6189
    @lydiabenjaminmgalula6189 4 วันที่ผ่านมา +1

    🤣🙌Hana mengi jmn ana haraka....💃

  • @EstherCharo-lc3md
    @EstherCharo-lc3md 17 วันที่ผ่านมา +9

    Martha anaendelea kuabika ulimwengu mzima hii niaibu sana hebu martha mrudie Mungu

  • @mercymuturi8129
    @mercymuturi8129 17 วันที่ผ่านมา +6

    Karibu nabii kariuki Kenya . Kweli naikumbuka harusi yako nilikuwa mmoja wa wasimamizi .

    • @roselinasandi6509
      @roselinasandi6509 16 วันที่ผ่านมา

      Harusi na Martha? Samahani kwa hili swali ndo naanza kusikia leo

    • @Shishinaya1554
      @Shishinaya1554 16 วันที่ผ่านมา

      Uhiki wao na muini ucio?

    • @rachelmsekena603
      @rachelmsekena603 14 วันที่ผ่านมา

      Watu wanajua kubwabwaja😂😂😂

  • @SaSdeb
    @SaSdeb 4 วันที่ผ่านมา

    Jamani hana mengi n wa kuondoka uyu Pastor😍

  • @BeatriceImbalafu
    @BeatriceImbalafu 17 วันที่ผ่านมา +1

    Hapo sasa pa kuweka imani kwa mungu alieniumba 🙌 amin🙏

  • @agnestesha7835
    @agnestesha7835 15 วันที่ผ่านมา

    Martha pole sana Mungu akufanyie wepesi.

  • @SaraMchila
    @SaraMchila 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu tusaidie! Tusadie Mugu wangu dunia hii!!!! Tuokoe Baba!!

  • @123uyoleUyole
    @123uyoleUyole 15 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂 Sijui nacheka nn dah Mungu nisamehe

  • @stellahwilfred5762
    @stellahwilfred5762 17 วันที่ผ่านมา +3

    This Is Too Much....Hebu MUACHENI MATHA...
    WE UNATAFUTA KIKI MBWA WEWE

  • @yasminMtambo
    @yasminMtambo 16 วันที่ผ่านมา +5

    Subhana Allah! nabii anachepuka na yuko proud kabisa na mchepuko

    • @RehemaMahamudu-x4g
      @RehemaMahamudu-x4g 14 วันที่ผ่านมา

      Ukiristo ni mwepes sana kwakwer utumii akili nyingi kujua km akuna dini😂😂😂

    • @servantofgod4340
      @servantofgod4340 14 วันที่ผ่านมา

      ​​@@RehemaMahamudu-x4gila uislam ambao mmeambiwa peponi mtatombana kila mwanaume atagonga mabikra 72, sasa sijui na nyie vibibi mtagongwa na nani janah, maana wanaume ndo watapewa maharurain. kiongozi wenu aliebaka kitoto cha miaka 9 ni sawa, na jiwe jeusi mnaloabudu khaaba eti mkilibusu linawaondolea dhambi. na mwezi mnaouabudu! sijui mna miungu mingapi! pia usisahau mna msikiti wa mashoga bangladesh na afrika kusini, tena msikiti wa Africa kusini wanaswalisha wanawake wamevaa skintight. mmekalisha matako tandale mnadanganywa na mazinge uislam umenyooka. nahisi hao manabii mnawatuma nyie wachafue UKRISTO. uzinzi ni wenu mwanaume mmoja analala uchi na wanawake wanne kitandani eti wake zake. ndio maana mnafundishwa jinsi ya kunya na kushika mavi chooni kwa jinsi hayana akili. et ukiingia chooni tanguliza mguu wa kushoto😂 kale futari ya maharage ujambe ulale

    • @AnjellaWilliam
      @AnjellaWilliam 14 วันที่ผ่านมา

      ​@@RehemaMahamudu-x4g mtume wenu sasa alimla mpaka mkamwana wake😂

    • @annabyekwaso-wt7oi
      @annabyekwaso-wt7oi 7 วันที่ผ่านมา

      Wee mwogope Mungu eti mhaya wahaya sio
      Waongo,mara ujiseme ulikuwa freemason mara kuzaa na Martha ,ila kwakweliii

  • @JescarMwakipesile
    @JescarMwakipesile 15 วันที่ผ่านมา +1

    Msemakweli ni mpenzi wa Mungu. Mfalme Daudi alijua kutengeneza na MUNGU.

  • @IsabelaMwenda
    @IsabelaMwenda 13 วันที่ผ่านมา

    Hongera baba Asante

  • @YueniWilingtonnsyukwe
    @YueniWilingtonnsyukwe 17 วันที่ผ่านมา +6

    Kwani umeambiwa uchukue mtoto.huna hakili mchungaji

  • @EvalineEmanuel-n8i
    @EvalineEmanuel-n8i 17 วันที่ผ่านมา +1

    Jmn mungu atusaidie sku xa mwsho xjuh nan ataenda mbnguni

  • @herijaphet
    @herijaphet 12 วันที่ผ่านมา

    Mwamba unatumia nguvu nyng kupiga kelele. Unaemzungumzia ana maisha yake. Umejigeuza Mungu kwake. Ww fanya maisha yako

  • @YorandaBonephas
    @YorandaBonephas 16 วันที่ผ่านมา +2

    Mwenyezi mungu akubaliki m chungaji umeongea ukweli

    • @angeljoseph8103
      @angeljoseph8103 15 วันที่ผ่านมา

      Kweli imeongea ukweli kwakuwa wewe binadamu akuna aliekamilika

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 17 วันที่ผ่านมา +14

    kumbe huko kwenye mikutano Huwa mnachepuka kihu i

    • @emmymutama2394
      @emmymutama2394 17 วันที่ผ่านมา

      Makubwa 😅😅😅

    • @NicholousViper28
      @NicholousViper28 15 วันที่ผ่านมา

      Labda matha alimdanganya kuwa amempa ujauzito,

    • @nicholaswaemmanuel7221
      @nicholaswaemmanuel7221 15 วันที่ผ่านมา

      KUMBE WANA HUDUMA MPYA YA KUJAZA MAKANISA KWA KUPARAMIANA ..

    • @AnethJoseph-wj4bo
      @AnethJoseph-wj4bo 14 วันที่ผ่านมา

      Sio kila anaenda kanisani anamfata Mungu wengine wanaenda na mipango maarum

    • @MesharkDaud
      @MesharkDaud 13 วันที่ผ่านมา

      Mnatuaibisha Sana. Huyu Martha mbna ana wanaume wengi

  • @ReginaWangui-u9g
    @ReginaWangui-u9g 17 วันที่ผ่านมา +3

    Lakini umeongea lamuhimu.ety waamini watumainie MUNGU wasimtumainie Kariuki kabisaaa Asantaaa pastor ❤❤❤

  • @dohiminzer
    @dohiminzer 17 วันที่ผ่านมา +2

    Upo sahihi kabisaa kk

  • @pulikisia7963
    @pulikisia7963 17 วันที่ผ่านมา +9

    Sasa naanza kuwaelewa wale wanaosemaga," Dunia simama nishuke"😂

    • @LLl-p4r3l
      @LLl-p4r3l 17 วันที่ผ่านมา

      Hahaha 🤣🤣🤣

    • @AminaKazumari
      @AminaKazumari 15 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @ROSEJORAM
      @ROSEJORAM 15 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @yvonnerichard2936
      @yvonnerichard2936 12 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

  • @manoramatv858
    @manoramatv858 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu ibariki Tanzania wabariki watumishi wote wasizini

  • @josephmusagasa
    @josephmusagasa 14 วันที่ผ่านมา +3

    Hakuna mahali katika Biblia ambapo pameandikwa wazazi ni Mungu wa pili. Acheni kupotosha maandiko. Mungu ni mmoja aliye Baba Yehova. Badili usemi huo.

    • @syliviamurondoro4690
      @syliviamurondoro4690 11 วันที่ผ่านมา

      Katika amri kumi zamungu zinasema waheshimu baba na mama Yako.

    • @josephmusagasa
      @josephmusagasa 6 วันที่ผ่านมา

      @@syliviamurondoro4690 wapi pametajwa kuwa wazazi ni Mungu wa pili?

    • @allankeya5651
      @allankeya5651 5 วันที่ผ่านมา +1

      Hata nami nlikuwa najiuliza hiloo😢

    • @allankeya5651
      @allankeya5651 5 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@syliviamurondoro4690Tunaambiwa tuwaheshimu lakini tusiwalinganishe na Mungu MANAKE wao ni wanadamu tu na Wana madhaifu mengi tena sana

  • @Melisacr1147
    @Melisacr1147 17 วันที่ผ่านมา +10

    Kiki hizi 😢😢😢mwak huu ata panya yatafufuka ..tusubiri mwingine aseme na nguo ya ndani aliyoivaa

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 8 วันที่ผ่านมา

    hahahahahahahhaha alisema mzee Mrema inchi hii hahahah ni shida

  • @rachelchebii7764
    @rachelchebii7764 17 วันที่ผ่านมา +1

    Wonders never cease.😮 May God help and forgive Martha and rescue her from the works of evil.

  • @NoelaTembe-x5i
    @NoelaTembe-x5i 17 วันที่ผ่านมา

    Hekima ya Mungu aliyeumba mbingu na dunia ihusike,Mungu aingilie kati jambo hili mtumishi wa Mungu anayemtumikia Mungu kwa roho na kweli hawezi kuruhusu mwanae aaibike atamlinda daima

  • @fionafavourofficial509
    @fionafavourofficial509 13 วันที่ผ่านมา +1

    Kama nabiii huongei mengi,nashindwa ukiongea mengi unaongea aje😂😂😂😂😂😅😅😅

  • @RomanaCyprian-l8o
    @RomanaCyprian-l8o วันที่ผ่านมา

    😂ila nyege Mungu anakuona😂😂😂

  • @Lusia-dv6yn
    @Lusia-dv6yn 17 วันที่ผ่านมา +3

    Ni kairuki au kariuki, mr you are contradicting yourself, have you listened to yourself, may God help and protect martha at this trying moments

  • @abinuelmhidze-v6r
    @abinuelmhidze-v6r 15 วันที่ผ่านมา +1

    Heeee kumbe ,michepuko IPO huko kwa mikutano uwiiiii, tumrudie Mungu kiukweli

  • @Gaudensiamuganga
    @Gaudensiamuganga 12 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭😭😭dunia dunia eeeeeeee tunaenda wapi.
    Mungu turehemu

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 16 วันที่ผ่านมา +2

    Tutafika mbinguni kwa neema Tukiwa tumechoka sanaa..Martha mbona unamajanga! Ndani ya huduma.mnateda dhambi?

  • @devothahaule6665
    @devothahaule6665 14 วันที่ผ่านมา

    😂😂😅😅 huuuuuu hoi tutafika mninguni tumechoka sana Mungu atupe wepesi jamani

  • @AzizaMadinda
    @AzizaMadinda 16 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 aya mambo jamani yanazidi kuchangamka,kumbe mnachepukaga duh 😂😂😂 kazi kazi.

  • @ThomasNditi-x2z
    @ThomasNditi-x2z 16 วันที่ผ่านมา +4

    Hahaha Yani nimecheka Sana omba usikutane na mchungaj siku hiyo uchungaj utaisha

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 17 วันที่ผ่านมา

    Kairuki hongera sana.Nitakuja kanisani kwako❤🎉

    • @emmymutama2394
      @emmymutama2394 17 วันที่ผ่านมา +2

      Grace wewe enda kanisani kwake upewe mtoto. Maana huyu ni nabii mla kondoo. Kisha akuaibishe mtandaoni😅😅😅

  • @FaithmsonieMsonie
    @FaithmsonieMsonie 6 วันที่ผ่านมา

    Mlikuwa mnafanya sherati mkwa kwa hunduma God have mercy

  • @albertinenkunzimana8364
    @albertinenkunzimana8364 14 วันที่ผ่านมา +1

    Kirahisi rahisi tu eti nimecepuka e Mungu tusamehe

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 17 วันที่ผ่านมา +3

    duh huu mzigo wa martha ni mzito sana kuubeba😢😢😢😢 jmn kama kuna mengine plzzzz hebu mcyafufudoe co vzr mtamfanya apate uwendawazimu..achen kwanza tumalize na hili la mamake😢😢😢😢😢

    • @Athuman-r2j
      @Athuman-r2j 16 วันที่ผ่านมา

      Yoyote anae mdharau mamake mzazi hatopata amani duniani mpaka akhera,msimdangaye Martha,akaangukie mamake miguuni aombae msamaha

    • @LilianBitwale
      @LilianBitwale 16 วันที่ผ่านมา

      Haya yoooote kayasababisha yeye 😂😂😂angekuwa vzr na mama Yake haya mapigo yote yasingemkuta

  • @MwajumaMpili-k1z
    @MwajumaMpili-k1z 5 วันที่ผ่านมา

    Nabii kachepuka jamani mm Nani nisichepuke 😂😂😂😂 Johan jiandae kukandwa na kailuki

  • @annasolomon9855
    @annasolomon9855 17 วันที่ผ่านมา +5

    Nahisi ana visa vya zamani

  • @rahabulukelo8738
    @rahabulukelo8738 16 วันที่ผ่านมา

    Tz,nakupenda kwa moyo wote❤

  • @sifaortence
    @sifaortence 17 วันที่ผ่านมา

    Haya nimashambulizi.Mungu amsaidie Martha kweli

  • @GcgcGcgxf
    @GcgcGcgxf 16 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂we kariuki hunamengi yakusema kila mara

  • @GraceOtieno-vo3sj
    @GraceOtieno-vo3sj 17 วันที่ผ่านมา +1

    Tanzania mna vitimbi jameni😢 maneno huzaa maneno

  • @sifaortence
    @sifaortence 17 วันที่ผ่านมา +5

    Mchungaji amenyoa kijogooo😂😂😂Ana blich na nywele😂😂😂😂

    • @Millie45-l7j
      @Millie45-l7j 16 วันที่ผ่านมา

      Eti amenyoa kivipi?😂😂😂😂

    • @truphenaawinja
      @truphenaawinja 15 วันที่ผ่านมา

      😅😅😂comment section mtaniua kwa kweli

  • @anethjohnson4147
    @anethjohnson4147 16 วันที่ผ่านมา +2

    Hahahaha 😂😂😂😂 MUNGU nisamehe Mimi jamani khaaaa!!! Mchepuko jamani mchepuko!!! Khaaaaa🙆🙆🙆🙆

  • @careenpatrick2759
    @careenpatrick2759 16 วันที่ผ่านมา +1

    Matha nakupenda sana hizi ni nyakati tu nazo zitapita😢

  • @MaulaEnefridy
    @MaulaEnefridy 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu atusaidie tu hivi vichwa tunavyozaanavyo utafikilia vililelewa na bangi

  • @patrickkatana8823
    @patrickkatana8823 16 วันที่ผ่านมา +1

    GOD have mercy on us....
    Tunachepuka katika huduma😢

  • @peterjohnbahhi1565
    @peterjohnbahhi1565 17 วันที่ผ่านมา +4

    Shetani anazidi kuwaumbua.

  • @ImaniMwakipesile-r9k
    @ImaniMwakipesile-r9k 13 วันที่ผ่านมา

    Umeona kumbe anatembea nawame zawatu laanainakutafuna martha laana yamamaako achana nakakahaba kanako kudanganya mludie mungu na mama mzazi

  • @JulietMukhwana-y9e
    @JulietMukhwana-y9e 15 วันที่ผ่านมา

    Sii vizuri kunyoshea mtumishi wa mungu kidole but waah hiyo nywele banae kwa mtumishi haifai 😂😂

    • @teyllalugazia
      @teyllalugazia 15 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

  • @julianakim1202
    @julianakim1202 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mama joshua was just chilling
    ....and ops haya sasa uliyajua????

  • @elshadaiuniforms1196
    @elshadaiuniforms1196 17 วันที่ผ่านมา +1

    You are very right......
    I love your truth.

    • @bintalmasi2393
      @bintalmasi2393 17 วันที่ผ่านมา

      Huyu ni mgonjwa wa akili, usiamini his habari ni hawa wenye hii channel wanatafuta views

  • @vascombembela3632
    @vascombembela3632 17 วันที่ผ่านมา +2

    Wahuni kama hawa ndio wanao tukanisha Jina la Yesu, yaani hawa wameona Tanzania ni jalala la kuja kufanyia uchafu wao. Mungu hadhihakiwi kuna siku hawa watalipwa sawa na matendo yao.

  • @LucyHussein-u3d
    @LucyHussein-u3d 12 วันที่ผ่านมา

    Mmmh huyu mchungaj ila mungu kakusamehe mlee mtoto

  • @kimwemwendilaliha
    @kimwemwendilaliha 17 วันที่ผ่านมา +4

    Hamna kazi mchungaji huy😂😂😂 katumwa.

    • @emmymutama2394
      @emmymutama2394 17 วันที่ผ่านมา

      Mchungaji for hire

  • @mukanyataki5120
    @mukanyataki5120 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mchungaji KAIRUKI, baba tumia hekima baba, huwezi tiya uchungaji pembeni,
    Kachukuwe mtoto wako, ila kwa hekima , pia usitumiye hasira, ao shari

  • @TerezaHenry
    @TerezaHenry 17 วันที่ผ่านมา +2

    Nakufatilia kwaumakini sana unadai kwamba ukumuowa martha kwa sababu anakiburi sana tena ukasema ukumuowa martha sababu ulikuwa umesha owa kwaiyo tukubali vya wapi?

  • @PhanisOdeke
    @PhanisOdeke 11 วันที่ผ่านมา

    Mchepuko tena nabii wa mungu, walai dunia imeisha

  • @juslinekavugho
    @juslinekavugho 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mchepuko mchepuko !! Mungu awasamehe

    • @lucywairimu2330
      @lucywairimu2330 15 วันที่ผ่านมา +1

      Mm mkristo ila nacheka sasa mungu nisamehe

  • @sifaortence
    @sifaortence 17 วันที่ผ่านมา +1

    Martha hana bahati kweli.😂😂😂

  • @alisembungua704
    @alisembungua704 14 วันที่ผ่านมา

    Mungu amtie martha nguvu wee hichi kikombe ni kizito

  • @JohariMwanda
    @JohariMwanda 16 วันที่ผ่านมา +2

    Nashukuru Mungu ulikaa huko mbinguni wanadamu wasikuone.ungekuwa hapa duniani tunaonana ungechoka baba.ukae tu huko maana akili zako hazichunguziki.wanadamu shikamoo kubwa🙋

  • @kleykisoma1489
    @kleykisoma1489 12 วันที่ผ่านมา +1

    Mke wa ndoa anaposikia haya maneno anajisikiaje jamani?.....😮

  • @juliusakello3421
    @juliusakello3421 13 วันที่ผ่านมา

    Mbona haukutekwa ulivyo lala na kondooo
    .....kaumwaaaaaa😂😂😂😂

  • @NasraAbdallah-e9p
    @NasraAbdallah-e9p วันที่ผ่านมา

    We mchungaji jiangalie na jitafakari sana

  • @MarthaIrene-b2v
    @MarthaIrene-b2v 10 วันที่ผ่านมา

    Mungu aonee waimbaji na ma pasta huruma ,kumbe wana chipuka wao kwa wao?

  • @SmilingFreshwaterLake-tg5qp
    @SmilingFreshwaterLake-tg5qp 17 วันที่ผ่านมา +14

    Ona nywele zake 😂😂😂😂

    • @DinaKyahe
      @DinaKyahe 17 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂zimefanyaje

    • @emmymutama2394
      @emmymutama2394 17 วันที่ผ่านมา

      Vichana haviko huko kwa mchungaji. Hata Yuko tayari kuweka Mwenye Enzi MUNGU a deal na Joan waah😅😅😅

    • @salomeandrew4148
      @salomeandrew4148 16 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

    • @modestajamada3496
      @modestajamada3496 16 วันที่ผ่านมา

      Noma😅

    • @fridamwenda5728
      @fridamwenda5728 14 วันที่ผ่านมา

      Hahaha hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unga umewekwa maji

  • @modestbartholomew1731
    @modestbartholomew1731 13 วันที่ผ่านมา

    Kumbe watumishi madhabahuni mnakuwepo kigelesha du! Ni mwendo wakula michepuko.Ndo kazi zenu huko kwenye makongamano.

  • @SmilingFreshwaterLake-tg5qp
    @SmilingFreshwaterLake-tg5qp 17 วันที่ผ่านมา +1

    Maratha unapatikana 😅😅😅

  • @mckingu4004
    @mckingu4004 12 วันที่ผ่านมา

    MUNGU anchafuliwa sana Mchungaji unakuwa na mchepuko😢😅

  • @RehemaCharo-ir6vs
    @RehemaCharo-ir6vs 17 วันที่ผ่านมา +1

    Martha alikua mchepuko wa nabii😂😂😂

  • @phaniceayieno8739
    @phaniceayieno8739 15 วันที่ผ่านมา

    Kariuki kwa yotee hayo bado mm binafsi nampenda martha,muhukumu wa kweli ni mungu tu.

  • @neemasanga5333
    @neemasanga5333 17 วันที่ผ่านมา +1

    UNGEMCHUKUAJE WAKATI ULIKUWA NA MKE, MATHA ALIKUWA MKE WA SHETANI
    KAMA WEWE MWACHE MATHA
    AMTUMIKIYE MUNGU MNAJIDHALILISHA, KAMA
    Malaki 3:18.

  • @LucresiaMsale
    @LucresiaMsale 17 วันที่ผ่านมา +2

    Kupatwa kwa Familia ya mwaipaja

  • @willz1017
    @willz1017 14 วันที่ผ่านมา

    Mara alikuwa nae kwa mahusiano bfore hajaolewa!! Mara alikutana na martha martha akamwambia nna watoto wa kiume wawili mara alikuwa mchepuko, mara kilichosababisha asimuoe ni kiburi anajichanganya sana

  • @UpendoMichael-p1z
    @UpendoMichael-p1z 16 วันที่ผ่านมา

    Mtu wa mungu Huwa hana majivuno nabkufuru namna hiyo.

  • @RealGiftLydia
    @RealGiftLydia 14 วันที่ผ่านมา

    Mkristo ana chepuka,😂😂alafu utegemee mwanaume mtaifa tena mlevi awe Fidel aaaa wapi😂😂 Yesu tusaidie sana.

  • @Pstliberatuspantareo
    @Pstliberatuspantareo 17 วันที่ผ่านมา +1

    Watumishi tunapigwa vita sana...!!

  • @braybray1514
    @braybray1514 17 วันที่ผ่านมา

    Yaani hawa wachungaji wengine wanataka kutufanya wakristo ni wendawazimu yaani Mungu kwa haya tunayoyafanya duniani