NGÈNA Episode 1 (Official Ebondo Movie)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Ngena ni filamu inayo hongelewa rugha ya EBEMBE
    maana ya HURUMA kwenye rugha ya kiswahili
    hivyo fatilia mkasa huu hadi mwisho wake
    imechezwa kwa namna ya tafsilia hivyo fwatilia kipande kimoja bahada yakingine ili kupata ujumbe uliomo ndani ya filamu iyo
    NB:Maoni yako ndio ubora wa kazi yetu
    ubarikiwe saana

ความคิดเห็น • 41

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 2 ปีที่แล้ว +1

    Wallah watu tunatoka mbali 🤦‍♀️ ubarikiwe wajina lababayangu Radjabu 🤝🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @chanjamabilo3963
    @chanjamabilo3963 3 ปีที่แล้ว +5

    Nice kiukweli hiyi ni moja ya movie Kali kutoka Nyarugusu camp inatia uruma kabisa na kila mtu anatendea sehemu yake haki. Endeleeni vijana watching from Australia 🔥

  • @chancejoanna4884
    @chancejoanna4884 3 ปีที่แล้ว +9

    Kaka and number 2 wow it is little funny

  • @apolinadeborah8193
    @apolinadeborah8193 3 ปีที่แล้ว +10

    Brother hongera sana kwa hili 🥰✊

  • @lovelyfamilytz649
    @lovelyfamilytz649 3 ปีที่แล้ว +6

    Yaani movie nzuri sana kabisa
    Mungu awabariki

  • @mwangazawangu1631
    @mwangazawangu1631 3 ปีที่แล้ว +2

    Aisee, movie hii inatiya huruma sana 😭😭

  • @christophermlubose8748
    @christophermlubose8748 3 ปีที่แล้ว +6

    Nice

  • @nicolasthegreat8331
    @nicolasthegreat8331 3 ปีที่แล้ว +9

    Nikikumbuka nilivyoihandaa iyo movie nililia sana huku nikiwa naandika ile scene ya kaka kuondoka na kuniacha mimi na mdogo wangu tukiwa na maisha magumu tena bila wazazi .........mmmm inauma by Nicolas the great

  • @apolinadeborah8193
    @apolinadeborah8193 3 ปีที่แล้ว +8

    Ina huma yani 🥰✊

  • @espoirshabashaba2254
    @espoirshabashaba2254 3 ปีที่แล้ว

    Waliyoigiza movie hii, kusema kweli ni waigizaji wazuri sana, Wanaigiza kihalisia(kama kwenye maisha ya kawaida).

  • @vumiliahussein1122
    @vumiliahussein1122 3 ปีที่แล้ว

    Nalavula mama juma nimimi mutoto wakaka yake munisaidiye

  • @Byaunda-zi7ue
    @Byaunda-zi7ue 2 หลายเดือนก่อน

    Movie senu nizuri nizuri beautiful 🧡❤️💚💙🩵🩷🖤🤎💖

  • @directortia9502
    @directortia9502 3 ปีที่แล้ว

    It's fire good job boys and girls your videos are amazing 😆😆💚

  • @esombommambelwa6809
    @esombommambelwa6809 3 ปีที่แล้ว +2

    Congratulations guys and more blessed

  • @hawarajabu7473
    @hawarajabu7473 3 ปีที่แล้ว +3

    👍🔥🔥🔥🔥

  • @isayarivis8289
    @isayarivis8289 3 ปีที่แล้ว

    Nzuri sana

  • @FanesKalumbwa
    @FanesKalumbwa 3 ปีที่แล้ว +1

    Party two please

  • @mwajeyasumanidv4322
    @mwajeyasumanidv4322 3 ปีที่แล้ว +1

    Part 2 plz

  • @zabibuqueen4741
    @zabibuqueen4741 3 ปีที่แล้ว +3

    Good jobs✅👏✅

  • @anaclet2411
    @anaclet2411 3 ปีที่แล้ว +3

    Great story and amazing image keep it up kazi nzuri sana kaka ⚘❤.

    • @africanqueen960
      @africanqueen960 3 ปีที่แล้ว +1

      C🤣😌😂🤣😂😂🤣😂🤣😀

  • @bitualibaruanimysonthebest8960
    @bitualibaruanimysonthebest8960 3 ปีที่แล้ว

    Sehem ya pili

  • @vumiliamatchu370
    @vumiliamatchu370 3 ปีที่แล้ว

    Mmm 😭jmn mm nahaza kutokwa na machozi na bado sijaimalizia Mungu akupe nguvu kaka yangu Part 2 please 😭😭

  • @tatulukole6273
    @tatulukole6273 3 ปีที่แล้ว

    Wow. I like it

  • @magicGenius23
    @magicGenius23 3 ปีที่แล้ว

    Keep ya head up vijana

  • @derickclever6844
    @derickclever6844 3 ปีที่แล้ว +1

    Yess

  • @etomere3716
    @etomere3716 3 ปีที่แล้ว

    👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

  • @derickclever6844
    @derickclever6844 3 ปีที่แล้ว

    I can’t wait to see number 2

  • @noelaalimasi8110
    @noelaalimasi8110 3 ปีที่แล้ว

    💯💯💎💎😘🌹❣️