MASHARO, MATOZI WA INSTA NA MASLAY QUEEN
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
- Dr.GeorDavie amewaasa vijana kuacha tabia ya kuishi maisha yasiyo yao na kuiga mambo ya mitandaoni #geordaviemaarifa #madiniyamaisha #arushatanzania
NIFUATILIE
☞ Facebook: / geordaviemaarifa
☞ Instagram: / geordavie_maarifa
Tuzidi kujifunza
Maarifa yaliyonona
Ni kweli kabisa
Asante sana Baba kwa maarifa yako kutufuta ujinga.
🔥
kaaaaaa..!!!!! baba unatuchana ukweli ile mbaya
Shalom yaani mtu ambae aja subscribe kwenye hii☝️channel namuonea huruma wanakosa kujifunza kutoka kwa Baba yetu.Hapa Hekima imetumika kweli nimependa❤️Mume wangu katulia ananiangalia nikichati hata hana wasiwasi kwakweli kwa Yesu ni raha 😍💕Hellow from 👋🇫🇮kwa
Hakika nimejifunza kitu
Najifunza kitu kikubwa Sán inagusa Sánaaaaa