1. MBIO ZA BAISKELI KUWANIA GARI YA NOAH NINDO WILAYA ISELAMAGAZI SHINYANGA + DRONE SHOTS..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 มิ.ย. 2022
  • Mashindano ya mbio za baiskeli kushindania gari mpya aina ya NOAH yanayofanyikia mjini Nindo halmashauri ya wilaya ya Iselamagazi mdhamini wa mashindano akiwa Mazoya, video za chini na juu (drone) zimetumika, ikiwa ni siku ya pili mashindano ni ya siku saba ndani ya wilaya hiyo baadae kuhamishiwa eneo lingine. Jumla ya maeneo matatu yatafanyika na mshindi kupatikana. Video zote zimechukuliwa na kuandaliwa na Ayubu Drones, karibuni.

ความคิดเห็น • 6