A-Z JENERALI MKUNDA AKIWAVISHA NISHANI MAAFISA NA ASKARI WA JWTZ

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • #ikulumawasiliano #ikuluzanzibar #ccm #samiasuluhuhassan #habarimaelezo #ktnnews #wizarayahabari #wizarayakilimo#tanzania
    Mkuu wa majeshi ya ulinzi jenerali JACOB MKUNDA kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na amir jeshi mkuu Dk. Samia Suluh Hassan amewavisha nishani maafisa na askari wa jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania JWTZ vikosi vya Dodoma.
    Zoezi hilo liliongozwa na gwaride la mapokezi kwa Mkuu wa Majeshi limefanyika viwanja vya Ihumwa jijini Dodoma nishani zilizovishwa na mkuu wa majeshi kwa maafisa na askari hao ni pamoja na nishani ya kumbukumbu ya miaka 60 ya muungano wa Tanzania, nishani ya utumishi mrefu na tabia njema na nishani ya operesheni Samim.
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: ....
    SpotiLeo: ....
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: Ha...

ความคิดเห็น • 4

  • @emmanuelmponji4553
    @emmanuelmponji4553 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ihumwaa nyumban kikosi kilicho nilea 946jk nawapenda sana makamandaa Mungu awape Mafanikio mema zaid🇹🇿❤️

  • @mjukuuwadiamond6409
    @mjukuuwadiamond6409 3 หลายเดือนก่อน

    🇹🇿mungu ibariki tanzania

  • @ibrahimrajabu8722
    @ibrahimrajabu8722 3 หลายเดือนก่อน

    Kudos

  • @user-tn3gw5qv9e
    @user-tn3gw5qv9e 3 หลายเดือนก่อน

    Waziii Afande