MAZITO! DIAMOND AMDHALILISHA ZUCHU? MAJIBU YAKE YAIBUA MAZITO "siwezi acha kushika wanawake" ZUCHU😭

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 13

  • @agbordorothy4901
    @agbordorothy4901 8 วันที่ผ่านมา

    Cloud chaser 😢😢😢😢Fake fake fake.

  • @OlgaAmboulou
    @OlgaAmboulou 9 วันที่ผ่านมา +2

    FAKE NEWS 😂, FAKE BLOGUEURS 😂

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 9 วันที่ผ่านมา +1

      This girl is forever speaking bad things about ZUCHU

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 9 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu dada Sasa amekuwa muongo sana, story ya zamani ata si wakati wa zuchu, kwani mnaona watu wajinga ama hawajui kusona, piga kelele zuu na Dai wako zao south Africa

  • @qamaryasalim9531
    @qamaryasalim9531 9 วันที่ผ่านมา +1

    Msg sio ya zuchu hiyo ni ya zamani 2018 dada tizama hiyo profile pictute una haribu habari zako ulikuwa unaongea uzuri tu habari za uongo zitakuharibia

  • @pyraxme
    @pyraxme 9 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani mbona mna habari za uwongo

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 8 วันที่ผ่านมา

    Nani kima zaidi yake huyo Diamond mjinga asiyekuwa na heshima kwa wanaadam wala kwa Mungu? Itafika wakati hataweza hata kuwaona hao wanawake anaowadhalilisha kiasi hicho. Anajidharau yeye mwenyewe mshamba wa maisha huyo.

  • @pyraxme
    @pyraxme 9 วันที่ผ่านมา

    Watu wako SA wanajiachia wewe unahabari za mwaka 47

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 9 วันที่ผ่านมา

    Wacha uongo!!! Huna content!!! Hiyo msg niyakitambo Sana.....hiloooooooooo😂😂😂

    • @joyhylton7901
      @joyhylton7901 9 วันที่ผ่านมา +2

      Thank you that’s what I’ve been saying

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 8 วันที่ผ่านมา

      @@joyhylton7901 Hana content huyu! Tu strike hii account

    • @joyhylton7901
      @joyhylton7901 8 วันที่ผ่านมา

      @@BarbaraPatience-qt9cc English Please