Dalili za mtu mwenye rohani hizi hapo(

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 41

  • @allyamoor7283
    @allyamoor7283 หลายเดือนก่อน +1

    Karibu vitu vyote ulicyosema ninavyo lkn kunamuda napitia wakati mgumu sana kuvuelewa na kukubalina navyo naona kma mawenge tu

  • @allyamoor7283
    @allyamoor7283 หลายเดือนก่อน +1

    Mm huwa najfungia mwenyewe mara nyingi na napenda kuvaa sana nguo nyeupe na napenda sna usafi na kuchoma udi sanaa ndani kwangu lkn kwakaribuni ndoyamezidi hayo mambo huko awali hayakuwepo nafanyaje ili niweze kuyatumia vizuri

  • @Nailafussy-kg7qz
    @Nailafussy-kg7qz 3 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba Namba yako

  • @maryammohammed1991
    @maryammohammed1991 ปีที่แล้ว +2

    mimi napenda sana vitu hivo manukato

  • @hemedmustafa6528
    @hemedmustafa6528 ปีที่แล้ว +1

    Salaam alykum masalaam den shekh lamada just yamtu mwenyetabia za kiruhan I'll call Hana ruhan

  • @rehemasalim1440
    @rehemasalim1440 ปีที่แล้ว +1

    A.a ukihisi mlango unafunguliwa n ukiamk kweli umefungulia, je nn maana yke? N sio mm pia mwenzangu amesikia

  • @mwajumawangari7093
    @mwajumawangari7093 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dalili za ruhani ni ipi .mimi nisikia uzito sana Kwan meili yanai kifua akihito sana please nijibu

  • @fatiyananzeyima
    @fatiyananzeyima ปีที่แล้ว +2

    shurkani kaka

  • @zainabuomary7010
    @zainabuomary7010 ปีที่แล้ว +1

    Mimi manukato napenda sana, lakini huwa nawapiga sana wanga usiku. Lakini pia mtu akiniudhi nikakasirika lazima apate baraa kubwaa hadi namuonea huruma hata mama yangu hadi ananiogopa kuniudhi je ni marohani pia

    • @lhabibysheikhyahya
      @lhabibysheikhyahya  ปีที่แล้ว

      Yeah

    • @abdulabdulathumani5992
      @abdulabdulathumani5992 ปีที่แล้ว

      Hao majini sio marohan majini ni washenzi wanajipa majina matukufu waongo sana majin nikama watu wapo wema na waovu kam unamwona mtu anaigiza wema kumbe nao nao niivoivo ruhani ni malaika wema najini ni dhambi kumuingia mtu

    • @hassychilly9375
      @hassychilly9375 11 หลายเดือนก่อน

      @@lhabibysheikhyahya swala la mungu kuidhinisha jini rohani kukalia mtu dalili ipo wapi kwenye sunnah. Na Quran? Asalam aleikum

    • @lhabibysheikhyahya
      @lhabibysheikhyahya  11 หลายเดือนก่อน

      @@hassychilly9375 hadithi yamtume aliposema Kila MTU ana kalini wake alie mkalia pamoja na athari za wema walio tanguliza akiwemo Al imaam ghazar mutafakun alayh asalamu alaykum

    • @RahmaRujaina-qq3cd
      @RahmaRujaina-qq3cd 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@abdulabdulathumani5992.😢😢😢

  • @awaahassan936
    @awaahassan936 ปีที่แล้ว

    Mimi napenda kuota bahari mito dhahabu fedha

  • @hamisaadamu8099
    @hamisaadamu8099 ปีที่แล้ว +1

    Dalili zote ninazo 🙊

  • @sophianyange3655
    @sophianyange3655 ปีที่แล้ว

    Asante naomba umalizie siku nyingine

  • @awaahassan936
    @awaahassan936 ปีที่แล้ว

    Izo Dalili zote ninazo Mungu anistiri

  • @angle3600
    @angle3600 ปีที่แล้ว +1

    Mimi niko hivyo kabisa

  • @awaahassan936
    @awaahassan936 ปีที่แล้ว +1

    Yaani kuota ni kila siku si mchana si usiku

    • @abdulabdulathumani5992
      @abdulabdulathumani5992 ปีที่แล้ว

      ALLAH ANATUAMBIA MAJINI MAADUI ZENU CHAAJABU MTU ATATESWA NA MAJINI AFU AWAITE WEMA

  • @hafsahamza9864
    @hafsahamza9864 ปีที่แล้ว +1

    Mm Niko hivyo ,lkn inatokezea naumwa Sana Hadi nabadilika sura je hasa Ni haohao ama Kuna shida nyengine??

  • @maryammohammed1991
    @maryammohammed1991 ปีที่แล้ว

    naomba namba yk shekhe

  • @omarysuru100
    @omarysuru100 ปีที่แล้ว

    anzisha group weka namba ya whatsap tutakutumia namba zetu utuunganishe inshaallah

    • @lhabibysheikhyahya
      @lhabibysheikhyahya  ปีที่แล้ว

      Wazo lako zur mashallah Mimi napenda kualikwa kuliko kualika