"Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
Mzee nakupenda bado
Tutakukumbuka daima baba
Polepole zama zako izo maskini.
Endelea kupumzika kwa Amani Mzalendo wa kweli.
Mmeharibu hilo song , komba mwenyewe akifufuka Atalia sana akisikia mmeharibu song lake
"Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
Amalize miaka mitano sio adumu milele
Copy to Right na Mabutu 🐔👎🏼🐔👎🏼🐔👎🏼🐔👎🏼🐔👎🏼🐔👎🏼🐔👎🏼🐔👎🏼🐔👎🏼🐔👎🏼🐔
Safi
Nani kama maguful mengine machafua hali ya hewatu