ความคิดเห็น •

  • @wilsonm.7376
    @wilsonm.7376 2 ปีที่แล้ว +3

    @Dnyota, Kaka hizo kazi za delivery ni lazima utumie baiskeli? au inaruhusiwa kutumia hata gari ndogo, uki drive?

    • @dnyotausa6154
      @dnyotausa6154 2 ปีที่แล้ว +3

      Yes unaweza kutumia gari, ila gari foleni nyingi alafu kupigwa faini rahisi ukipaki vibaya, ndio mana watu wengi wanapenda baiskeli aina stress

    • @ibrackibrahim6909
      @ibrackibrahim6909 ปีที่แล้ว

      @@dnyotausa6154 una akili Nyingi Sana bro

  • @sharifukilongo2565
    @sharifukilongo2565 ปีที่แล้ว

    Appreciate bro

  • @why1056
    @why1056 2 ปีที่แล้ว +2

    Indeed bro Marekani ndo ya kwanza kabisa kupata mafanikio

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    👍👊

  • @newindiatelecom6829
    @newindiatelecom6829 2 ปีที่แล้ว

    Am very impressed kaka nimekuha mwaka wa 5 hapa India cha maana mpaka saivi sijapata, na uyo kaka wa bike kanishawishi dolla 1000 Kwa week , waow mm nimwanamke Ila iyo baiskeli nitajitahidi tu

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 ปีที่แล้ว

    Huyo itakuwa Mnajuana kabla

  • @wilsonlorry6948
    @wilsonlorry6948 ปีที่แล้ว

    Dnyota hakuna mawasiliano mengine kama nikitaka mawasiliano ya private like namba za sm au email yako make nataka kuogea na wewe ila si TH-cam au whatsaap pls

  • @shailabushiri4578
    @shailabushiri4578 2 ปีที่แล้ว +1

    Ila Kuna watu Wana roho nzuri maskin ad kasimama daaah

  • @lameckdohe6547
    @lameckdohe6547 2 ปีที่แล้ว +3

    Kaka unafanya kazi nzur utusaidie hata kwnye bei ili tuje wengi zaidi

  • @aishiharoub1185
    @aishiharoub1185 2 ปีที่แล้ว

    Nakubali broo

  • @jonathansolomon456
    @jonathansolomon456 ปีที่แล้ว

    Dnyotanimekufuatiria reoilibaadayamda mchancheutakuwa juuu sana kwahabariya mtandaon

  • @denischarles8864
    @denischarles8864 ปีที่แล้ว

    Tunapenda tatizo lugha sasa ulivyo zungumza nae hata sikuelewa

  • @FoxFx360
    @FoxFx360 2 ปีที่แล้ว

    Unatuinspire sana kaka 🔥🔥🔥🙏

  • @elishaobadia8829
    @elishaobadia8829 ปีที่แล้ว

    Oy sio poa Bob yan najihisig ka nmefika chocho za new York

  • @mrishomakenya2876
    @mrishomakenya2876 ปีที่แล้ว

    mamba mbona hazikutimia

  • @shazirynambombe7735
    @shazirynambombe7735 ปีที่แล้ว

    Napataje namba zako za whatsap tufanye process

  • @cecilykimani4400
    @cecilykimani4400 ปีที่แล้ว

    Land of milk and honey 🍯 tuoyeshe njia bro

  • @jacksonjohn779
    @jacksonjohn779 2 ปีที่แล้ว

    Hadi nataman nipae nije ya kukosa hera hku jaman😅😅

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 2 ปีที่แล้ว

    Mi nikija huko ntakuwa dereva uber, ntafanya kazi kama kichaaa hakuna kulala

  • @samwelhamimu6360
    @samwelhamimu6360 2 ปีที่แล้ว

    Una hela ya kwenda au anakuinspire n nn