HATIA FULL MOVIE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 มิ.ย. 2022
  • unawezaje kumuhukumu mumeo?

ความคิดเห็น • 41

  • @doublehenterprise2906
    @doublehenterprise2906 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nasra popote ulipo 😊 One Power Media hongereni Sana Sana Kwa kazi zenu: Kama hamto jali mna group la whatsp Nina omba kuwa mwana family 😊😊 WATU WA AKILI MINGI

  • @janetkatungwa2402
    @janetkatungwa2402 ปีที่แล้ว +1

    Mimi napenda sana vipindi zenu
    Mungu awabariki sana tanzania🌹🌹

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 2 ปีที่แล้ว +4

    Kizuri kipewe kipao mbele kwa kazi nzuri sana, pongezi kwenu nyote wausika.

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 2 ปีที่แล้ว +4

    Hanita,kama nakuona vile katika kitengo chako,kwa kweli filamu iko vizuri sana nimeipenda. Watching from mombasa kenya.

  • @fatimafatuma4848
    @fatimafatuma4848 5 หลายเดือนก่อน

    Namisi sana video zenu ❤❤

  • @dorcasmueni2290
    @dorcasmueni2290 11 หลายเดือนก่อน

    Nzuri sana

  • @charokazungu7756
    @charokazungu7756 ปีที่แล้ว

    Pongezi sanakwakaziyenu nzurisana,munguawape hekima mueendelee mbele

  • @marynzioka1898
    @marynzioka1898 ปีที่แล้ว

    Asanteni sana kwa mafunzo yenu mazuri sana kwetu wote wanawake tuwe naroho z akuelewa waume zetu, wanaume muwe mahaminifu,

  • @halima7255
    @halima7255 2 ปีที่แล้ว +1

    Ongereni sana wapenz kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤️❤️❤️❤️

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 2 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana Mungu awabariki filamu nzuri sana

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzr kweli🥰🥰🥰🥰

  • @rahmamamy4034
    @rahmamamy4034 2 ปีที่แล้ว

    Jaman mubarikiwe kwa kaz yenu nzur,,ingekuwa na part ingependeza zaid

  • @mariamnjama3963
    @mariamnjama3963 2 ปีที่แล้ว +2

    Game of love 😁😁😁ashura nenda kwa kibenten chako 😁😁😁

  • @gagalinodenatrick1652
    @gagalinodenatrick1652 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa nae n chiz Sana kujielezea mpk uombe ridhaa ww bwatuka tu

  • @rehemakazungu6945
    @rehemakazungu6945 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Kwa ushauri wenu mzuri sana 🥰🥰🥰

  • @sorrymngale6360
    @sorrymngale6360 ปีที่แล้ว

    Axanteni xana kazi nzuri

  • @boscopozz1250
    @boscopozz1250 2 ปีที่แล้ว

    Nawakubalkli vijana kutoka nyakanazi

  • @timothywanjalawedili7360
    @timothywanjalawedili7360 ปีที่แล้ว +1

    I like this is one in a million

  • @warishdafalah7065
    @warishdafalah7065 2 ปีที่แล้ว

    Aki filamu nzuri Sana mngetupa mwendelezo

  • @douglaskibiwot5420
    @douglaskibiwot5420 11 หลายเดือนก่อน

    Bongo tamu ili

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 2 ปีที่แล้ว +1

    Ashura kumbe unamchipuko wako usije ukajuta

  • @user-jp8fr5jm4d
    @user-jp8fr5jm4d 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzr❤❤ lkn tu punguzeni saut ya mzik yaan saut ya mzik iko juu kuliko zenu hapo tu mnaferi😥😥

  • @user-yj2qc6cw3q
    @user-yj2qc6cw3q 2 ปีที่แล้ว

    mtoto mzuri sana natamani niwangu mpole

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 2 ปีที่แล้ว

    Ashura unaroho mbaya sana sikupendi

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 2 ปีที่แล้ว

    Jirani yupo vizuri sana🥰🥰🥰🥰

  • @furahishajerry7832
    @furahishajerry7832 2 ปีที่แล้ว +3

    😘😘😘😘😘😘💕💕💕💕💕💕

  • @MRJ1308
    @MRJ1308 2 ปีที่แล้ว +1

    Jirani huo mhereni kwenye pua uondoe unakuharibia uzuri

  • @dorcasmueni2290
    @dorcasmueni2290 11 หลายเดือนก่อน

    Kweli mwanamke mfumbavu

  • @musaiddi4562
    @musaiddi4562 ปีที่แล้ว

    Liashura lina roho mbaya kama sura yake

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 2 ปีที่แล้ว

    Ashura na kaka ako hamumpi haya nafasi yakujieleza

  • @annamwaka2326
    @annamwaka2326 2 ปีที่แล้ว +1

    Shida yenu kwenye sauti

  • @halima7255
    @halima7255 2 ปีที่แล้ว

    Muendelezi jamani maan kazi zuri sana naina mafuzo mazuri sana

  • @annamwaka2326
    @annamwaka2326 2 ปีที่แล้ว +1

    🥰🥰

  • @MRJ1308
    @MRJ1308 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Anita wa Matonya au?

  • @sumailiamisi2889
    @sumailiamisi2889 ปีที่แล้ว

    P

  • @selmesaid7405
    @selmesaid7405 2 ปีที่แล้ว

    🤣

  • @gagalinodenatrick1652
    @gagalinodenatrick1652 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa nae n chiz Sana kujielezea mpk uombe ridhaa ww bwatuka tu