KISUGU: ACHARUKA NA MAMRUKI WANAOBEZA MUKWALA HAMNA KITU| AZAM WAJIPANGA | VITAL'O WANAWAJUA WAKUBWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 6

  • @samwelsanyura-iw9nr
    @samwelsanyura-iw9nr 2 หลายเดือนก่อน

    Nimegundua kisugu hajui kusoma

  • @blackwarrior-animations593
    @blackwarrior-animations593 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahiyo Simba wote akili zenu ndio kama Kisugu au ?😂

  • @bakanga1410
    @bakanga1410 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi ninyi hamna kaz za kufanya..mpira wa kibongo umekuwa kama siasa chafu,mahaba mavi,hamjui mpira labda uchawi..hata uchawi kuujua nna mashaka na ninyi..yaan mpo mpo tu

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi 2 หลายเดือนก่อน

    Hao wanao mbeza mukwala sio watu wa mpira,kwasababu huwezi kumhukum mchezaji kwanza ndio ligi imeanza

  • @johncharles2633
    @johncharles2633 2 หลายเดือนก่อน

    Mwaka jana simba ilianza ligi kwa kushinda dhidi ya Mtibwa sugar 2-4 simba sc 4

  • @YusuphBupamba
    @YusuphBupamba 2 หลายเดือนก่อน

    Shida kerere nyingi utapasua maiki Kaka afu uwe unaongea vitu vya msingi sio unalopoka2 hivyo hovyo