ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
NAKUKARIBISHA KUTAZAMA SEHEMU YA 04 YA MR MACHALE USISAHAU KUSUBSCRIBE, LIKE NA COMMENT 🙏🙏
Ah zee baba mbn simu yako anayo shemej kule afu huku ww hii umepata wp na hujafik home..?
oooh!!! kuna umande😂😂😂😂
❤❤ nawapenda sana
Et likija lipambane namizimu ya marehem 😂😂😂
Tupo pamoja kaka
Naipenda saaaaaana Tangu RD Congo 🇨🇩🇨🇩❤️❤️
Congrats Mr machale😂 utapata tabu sana mwenzko hku yuafa😂😂😂 A.K.A Ndaro much love from kenya❤
Ila Steven jaman utacheka hatakam utaki 😂😂😂😂❤❤ nakubali Kaka zangu Steve na ndaro
Mr machale nakubali Sana na Steve mweusi 🙌🏼😂😂😂😂. Salute sanaaa
😂😂😂😂😂😂😂😂 naipenda hiyo combination ya Steve na Ndaro.Humu Kenya hatuachi kucheka😅😅😅😅😅
NDAROO umechezesha STEVE cha moto 😂kabeba msalaba yako❤🇰🇪
Mtu Wangu wa karibu sana ❤❤❤ Tjr Jack Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Ndaro wew ninoma sana kijana washoka. ❤❤❤❤
Ndarooo mwananguu unaua saana kaka I appreciate that
Ndaro mkishikana na Steve nyi wakali sana...fan no.1 from Kenya
Steve wewe ni chef kweli ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sema ndaro unazingua, mwenzio watakuja kumuua ujue!! mhurumie basii
Kwenye choo Cha mbele hamjasoma mzomeee😂😂😂😂😂😜🙌 mwenyew umelisi sura Kwa mama olewa😂😂😂
Good job ndaro you are the best comedian i like so much 🎉🎉🎉
Mr machale naifata kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 ndaro wewe kuya kutembeleya Congo 🇨🇩 jamani
😂😂sie mpaka mwsho,sema usiirefushe xana ikaboa mwanangu huo ndo ushauri wangu
Walai ndaro na Steve mtanisotesha baba Kila siku bundle ya ku watch but mnatoa vitu safi sana ❤❤
Nice mr Kigoma wataleta tu simu😂😂😂😢
Love this channel dromedary kenya❤️❤️
Nzuri sana ndaro ft stive nipo mkoan napenda sana kuigiza stive naomba nafas ya kazi
naona episode 5 ntafaa sana bas bwan ndaro na steve naomb mfanye ifanikiwe hyo🙏💯💯
😂😂😂Steve kazi nzuri jamani❤❤❤
ONE LOVE FROM KENYA 🇰🇪.
From Kenya nawapenda sana steve na ndaro
Mandla ma's ya Peso ma's aqui Mocambique 🇲🇿🇲🇿
Hahaha kazi zuri san brother mwenyezi mungu akutangulie san 🙏🙏
Nous sommes toujours debout ici en RDC 🎉 nous vous souhaitons une meilleure évaluation NDARO et STEVEN mweusi 😂😂😂😂😂😂😂
Vraiment ndaro et stive courage j'aime votre vidéo ❤❤❤❤❤ from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kama mmekuja kwa mguu sipandii😂😂
MUNGU KWANZA 🙏🙏🙏Seen by Mr walimwengu.
Steev utanikata mbavu kwa kweli😂😂😂😂
😂 hicho kitambaa kinavaa machura mtaan sio
Oyaaa ndaroooo🎉🎉🎉
Nakubalii mjeshi 👍👍🙏
We ndaro na na sisi tunaede leya na ww kbx ww na Steve mweusi fatuma ww 😘utaolewa ww🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
😮kali sana champee nipo turned hapa meru kenya
Huna baya Ndaro nawa pongeza sana kazi yenu n salimie kina Hajira....
😂😂😂😂😂😂😂noma sana. NDAROO NA STEVE HAMJAWAI FELI
Stive achana n'a ndaro atakuuwa huyoo kkkkkkkkk 😂😂😂
Sana bulaza nakubali tuko pamoja
Your respect my bro ndaro with your clue actors naitwa Nickson npo kahama naisubil hyo part 5
Good job Steve and Ndaro you are the best comedian i like so much👏👏👏👏👏
More fire 🔥 ❤❤❤
Ndaro the best comedian from Tz wapi like ya ndarooo🎉🎉
Good job ❤
Are u my clear to my head 😅😅😅😅
J' aime ça vraiment natokelea Drc 🇨🇩🇨🇩 congo kwa mtaa wanauita BENI 🇨🇩🇨🇩🙏🙏🙏
Oya ndaro mwenzio watamuua kule nende mwanangu stive anatia huruma kinomaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
ewachu kola ikazi ndagushima chane.Wew ni noma ndaro and steve
Uyo Mr machale 🔥
Me nataka like ya ndaro tu wengine piteni hivi😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ndaro wataka kulia alafu wasema hawakujui umetokea wapi😂😂😂😂😂
Kwa jina la yesu anaeishi mpaka sasa mi nitarudi nyumbani
Steve kitu seriouse anajukulia mzaha nawapenda Sana from kenya❤
Good job guys ❤❤
We ndaro handsome 😂much love from kenya❤
Hahahahhahaha.... Fatuma wew mwaaaaah
Ndoro Mimi mdogo wako Kaz nzuli sana kaka
Jamani ndaro analia kaibiwa simu❤❤❤ from 🇰🇪
Chukua maua yenu Ndaro+Steve🎉🎉🎉🎉🎉
Steve leo umeongea kiinglza au cyoo nakukubli xn .... ndaro na stevu nawakubli sana
tuko pamoja 👍👍
AF mnatukata styem kak jaribu kuongeza dakik ata 20 hiv itakuwa bomba sana mzee wang wengine mb mwez ad mwez
Yaaaaan kuigza mnajua mnafany kazi nzuri
Oyawe Steven nakubalixana kazizako nixapoti baba ndaro nixapoti baba naomba
MWANANGU SANA 😂😂😂😂 Mr Machale Darooo😂
Daaah Ndaro Ndaro siku ukibabwa utajuta😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
😂😂😂 uyo hapa wame muibiya Sim kicha😂😂 ...Iyi sasa Ni Ngoma Ivi stive Ni Nini Kitakacho muokoa😅😅😅
Mr machale daaah kaibiwa jmn pole san😂😂😂😂😂
Steve ametusha kweli 😂😂🇰🇪🔥😘💕
Ndaro njo congo bwane unaweza wa congo tuna Ku subiri❤❤❤❤❤
Hhhhh ndato kimeumana Dunia imekuangukia wewe pekeako from Burundi
Inakuw bila kumwagiw 😂😂😂 unyam mwing 😊😊
Wallah 🎉❤ 0:52 🇹🇿🇹🇿🇿🇦🇿🇦
Good job appreciate❤❤ ila ndaro acha kumuuza steve bwana kila siku ye anauzwa hadi kwa dogo sele 😂😂😂😂😂😂
Nibora uendetu msibani maana Steve kidogo avunjwe singo ulowako 😅😅😅😂 kitakuramba😅
Nice one safi kabisa
Nyie ni hatar sana ndaro na Steve
😂😂aaaah Mr machale noma😂😂😂
💯💯💯💯 good luck
Mnafurahisha hadi mnakeraa😂😂😂 sooo Uwe unatoa kila Siku ndari 🙏🙏❤🥰🥰
Good kaka ndalo na Steve 👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏
😂😂😂😂😂Zuu zuu zuu mazuzu🤣🤣🤣🤣🤣🤣matano
Natazama kutoka ,Kenya,Ubunifu mzuri huo,Nmeipenda episodi hii,,
Jeshi kikofia nakukubali sana bro
Big up xana.Nawakubal xna
Brooo umetisha sana Yani we Steve nimekubali ndaro nae jamani helewek nimewapenda bule
M nawa penda ndoro Steve wote mkifanyakaz yenu naipenda kwer duuuu 😂😂😂😂😂😂 sasa stevu 💗💗💗💗💗😂😂😂😂💯💯💯😂💗💯💯💯 love you 💕 mond 🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟💕💕💕💕😂😂😂😂😂😂🤣 Yani mnatisha kabisa duuuu hatar mta michale huyu
Hhahahaha ndaro fara kwel unamupgia kamuchape watakuchapa mwenyewe apo watu uku kigoma asaaiv tunashimia unachza na kamuchapee
Ni safi xana kaka zetu
Kila nikiwaangalia hawa jamaa namkumbuka Charming Charle,pumzika kwa aman Charmning Charle.
😢😢😢
Wow nice nawapenda sana
Steve bhana unajua comedy sio poa, duu ni hatarii,, eti nyie huko ndani msiwe na wasiwasi me nawamudu hawa hahahahaaaa
Fatuma ww utahorewa 😂
Twoa ingine from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Ahahahah, wapigie KAMCHAPE wawanyooshe hao waliokuibia sim
Ndaro mr machale we n noma sana like kwang nqmba one
Mmmh yani hapo bado ujasema
I Like it 👍👍👍👍💯💯
NAKUKARIBISHA KUTAZAMA SEHEMU YA 04 YA MR MACHALE USISAHAU KUSUBSCRIBE, LIKE NA COMMENT 🙏🙏
Ah zee baba mbn simu yako anayo shemej kule afu huku ww hii umepata wp na hujafik home..?
oooh!!! kuna umande😂😂😂😂
❤❤ nawapenda sana
Et likija lipambane namizimu ya marehem 😂😂😂
Tupo pamoja kaka
Naipenda saaaaaana Tangu RD Congo 🇨🇩🇨🇩❤️❤️
Congrats Mr machale😂 utapata tabu sana mwenzko hku yuafa😂😂😂 A.K.A Ndaro much love from kenya❤
Ila Steven jaman utacheka hatakam utaki 😂😂😂😂❤❤ nakubali Kaka zangu Steve na ndaro
Mr machale nakubali Sana na Steve mweusi 🙌🏼😂😂😂😂. Salute sanaaa
😂😂😂😂😂😂😂😂 naipenda hiyo combination ya Steve na Ndaro.
Humu Kenya hatuachi kucheka😅😅😅😅😅
NDAROO umechezesha STEVE cha moto 😂kabeba msalaba yako❤🇰🇪
Mtu Wangu wa karibu sana ❤❤❤ Tjr Jack Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Ndaro wew ninoma sana kijana washoka. ❤❤❤❤
Ndarooo mwananguu unaua saana kaka I appreciate that
Ndaro mkishikana na Steve nyi wakali sana...fan no.1 from Kenya
Steve wewe ni chef kweli ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sema ndaro unazingua, mwenzio watakuja kumuua ujue!! mhurumie basii
Kwenye choo Cha mbele hamjasoma mzomeee😂😂😂😂😂😜🙌 mwenyew umelisi sura Kwa mama olewa😂😂😂
Good job ndaro you are the best comedian i like so much 🎉🎉🎉
Mr machale naifata kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 ndaro wewe kuya kutembeleya Congo 🇨🇩 jamani
😂😂sie mpaka mwsho,sema usiirefushe xana ikaboa mwanangu huo ndo ushauri wangu
Walai ndaro na Steve mtanisotesha baba Kila siku bundle ya ku watch but mnatoa vitu safi sana ❤❤
Nice mr Kigoma wataleta tu simu😂😂😂😢
Love this channel dromedary kenya❤️❤️
Nzuri sana ndaro ft stive nipo mkoan napenda sana kuigiza stive naomba nafas ya kazi
naona episode 5 ntafaa sana bas bwan ndaro na steve naomb mfanye ifanikiwe hyo🙏💯💯
😂😂😂Steve kazi nzuri jamani❤❤❤
ONE LOVE FROM KENYA 🇰🇪.
From Kenya nawapenda sana steve na ndaro
Mandla ma's ya Peso ma's aqui Mocambique 🇲🇿🇲🇿
Hahaha kazi zuri san brother mwenyezi mungu akutangulie san 🙏🙏
Nous sommes toujours debout ici en RDC 🎉 nous vous souhaitons une meilleure évaluation NDARO et STEVEN mweusi 😂😂😂😂😂😂😂
Vraiment ndaro et stive courage j'aime votre vidéo ❤❤❤❤❤ from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kama mmekuja kwa mguu sipandii😂😂
MUNGU KWANZA 🙏🙏🙏
Seen by Mr walimwengu.
Steev utanikata mbavu kwa kweli😂😂😂😂
😂 hicho kitambaa kinavaa machura mtaan sio
Oyaaa ndaroooo🎉🎉🎉
Nakubalii mjeshi 👍👍🙏
We ndaro na na sisi tunaede leya na ww kbx ww na Steve mweusi fatuma ww 😘utaolewa ww🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
😮kali sana champee nipo turned hapa meru kenya
Huna baya Ndaro nawa pongeza sana kazi yenu n salimie kina Hajira....
😂😂😂😂😂😂😂noma sana. NDAROO NA STEVE HAMJAWAI FELI
Stive achana n'a ndaro atakuuwa huyoo kkkkkkkkk 😂😂😂
Sana bulaza nakubali tuko pamoja
Your respect my bro ndaro with your clue actors naitwa Nickson npo kahama naisubil hyo part 5
Good job Steve and Ndaro you are the best comedian i like so much👏👏👏👏👏
More fire 🔥 ❤❤❤
Ndaro the best comedian from Tz wapi like ya ndarooo🎉🎉
Good job ❤
Are u my clear to my head 😅😅😅😅
J' aime ça vraiment natokelea Drc 🇨🇩🇨🇩 congo kwa mtaa wanauita BENI 🇨🇩🇨🇩🙏🙏🙏
Oya ndaro mwenzio watamuua kule nende mwanangu stive anatia huruma kinomaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
ewachu kola ikazi ndagushima chane.Wew ni noma ndaro and steve
Uyo Mr machale 🔥
Me nataka like ya ndaro tu wengine piteni hivi😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ndaro wataka kulia alafu wasema hawakujui umetokea wapi😂😂😂😂😂
Kwa jina la yesu anaeishi mpaka sasa mi nitarudi nyumbani
Steve kitu seriouse anajukulia mzaha nawapenda Sana from kenya❤
Good job guys ❤❤
We ndaro handsome 😂much love from kenya❤
Hahahahhahaha.... Fatuma wew mwaaaaah
Ndoro Mimi mdogo wako Kaz nzuli sana kaka
Jamani ndaro analia kaibiwa simu❤❤❤ from 🇰🇪
Chukua maua yenu Ndaro+Steve🎉🎉🎉🎉🎉
Steve leo umeongea kiinglza au cyoo nakukubli xn .... ndaro na stevu nawakubli sana
tuko pamoja 👍👍
AF mnatukata styem kak jaribu kuongeza dakik ata 20 hiv itakuwa bomba sana mzee wang wengine mb mwez ad mwez
Yaaaaan kuigza mnajua mnafany kazi nzuri
Oyawe Steven nakubalixana kazizako nixapoti baba ndaro nixapoti baba naomba
MWANANGU SANA 😂😂😂😂 Mr Machale Darooo😂
Daaah Ndaro Ndaro siku ukibabwa utajuta😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
😂😂😂 uyo hapa wame muibiya Sim kicha😂😂 ...
Iyi sasa Ni Ngoma
Ivi stive Ni Nini Kitakacho muokoa😅😅😅
Mr machale daaah kaibiwa jmn pole san😂😂😂😂😂
Steve ametusha kweli 😂😂🇰🇪🔥😘💕
Ndaro njo congo bwane unaweza wa congo tuna Ku subiri❤❤❤❤❤
Hhhhh ndato kimeumana Dunia imekuangukia wewe pekeako from Burundi
Inakuw bila kumwagiw 😂😂😂 unyam mwing 😊😊
Wallah 🎉❤ 0:52 🇹🇿🇹🇿🇿🇦🇿🇦
Good job appreciate❤❤ ila ndaro acha kumuuza steve bwana kila siku ye anauzwa hadi kwa dogo sele 😂😂😂😂😂😂
Nibora uendetu msibani maana Steve kidogo avunjwe singo ulowako 😅😅😅😂 kitakuramba😅
Nice one safi kabisa
Nyie ni hatar sana ndaro na Steve
😂😂aaaah Mr machale noma😂😂😂
💯💯💯💯 good luck
Mnafurahisha hadi mnakeraa😂😂😂 sooo Uwe unatoa kila Siku ndari 🙏🙏❤🥰🥰
Good kaka ndalo na Steve 👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏
😂😂😂😂😂Zuu zuu zuu mazuzu🤣🤣🤣🤣🤣🤣matano
Natazama kutoka ,Kenya,Ubunifu mzuri huo,Nmeipenda episodi hii,,
Jeshi kikofia nakukubali sana bro
Big up xana.
Nawakubal xna