MUME WA DUNIA (OFFICIAL MOVIE)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 431

  • @beatriceamina1337
    @beatriceamina1337 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyo dada kapata bwana mzuri sana akumbuke ndoa niyawatu wawili tu akiingia wa tatu hpo hakuna ndoa mwisho itakua mbaya

  • @mustafasharif4761
    @mustafasharif4761 3 ปีที่แล้ว +3

    Aiseee.move kali sana yani bonge la fundisho

  • @allysaid6742
    @allysaid6742 4 ปีที่แล้ว +7

    Masha Allah kwakweli ndio Kwanza niwaone Leo kwenye movie ILa hongereni Sana mpo vizuri Sana na mumeonesha ustadi wa Hali yajuu katika hii filam, Allah awazidishie Zaid ya hapo mlipo na mfike mnapotarajia.
    From: DOHA QATAR.

  • @saudahamad7481
    @saudahamad7481 3 ปีที่แล้ว +5

    ASANTE JIRANIIII😍😍😍😍😍😍NAKUPENDAJE..... ALAFU MAMA ASMA UMEFANANA SANA NA MAMAANGU MDOGO............!!!!!!!!!

  • @saidali2707
    @saidali2707 4 ปีที่แล้ว +9

    Assalam alaykum muvi ninZur Sana funzo Kwa dada zetu juwa kwamba ukiwachwa taeaka Tatu hauruhuaiwi kulegelewa lamda uwolewe namume mwengine akuwache ndio mtalaka wako wa Kwanza aweze kukuwoa tena napiya vilevile ukimdai mume taeaka bila sababu zamsingi hutoipata hata harufu ya Pepo
    Najuwa tuko kwenye mafunzo
    Niwape hungera watengenezaji wahii muvi

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 4 ปีที่แล้ว +7

    Hongerani sana kwa Elimu hi ni movie nzuri wenye mafunzo. Wanawake wenzangu tujirekebishe usione mwanaume anakupenda kuna siku atachoka. Hongera sana baba othmani na mama Asma💗💗❤❤💕💕💕👍

    • @janetkithi775
      @janetkithi775 6 หลายเดือนก่อน

      Kbsa dadangu

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashaa Allah nzuri sana leta nyingine

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 4 ปีที่แล้ว +4

    jiraniiiii unaweza si mchezooooo

  • @ukhtysuu7026
    @ukhtysuu7026 ปีที่แล้ว +1

    Chezea talaka ww ......salimia mamdogo😍😍😍😍

  • @sefukimangasefukimanga2197
    @sefukimangasefukimanga2197 3 ปีที่แล้ว +2

    Hanaaa lakeeee huyoo

  • @priscadaudi4849
    @priscadaudi4849 4 ปีที่แล้ว +4

    Movie nzuri sana.baba asu nimekupenda pia big up

  • @wilewile1318
    @wilewile1318 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabark sana kwa fram zuri imenifudisha kabisa

  • @bhfmncjvm503
    @bhfmncjvm503 4 ปีที่แล้ว +6

    Eti nampenda sana mmewangu we jinga sana

  • @salomemukani1627
    @salomemukani1627 4 ปีที่แล้ว +10

    Hongera sana kwa hii vilamu nzuri haya mambo yapo
    💪💪🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦

    • @carolinelipesa1056
      @carolinelipesa1056 4 ปีที่แล้ว

      Funzo kubwa kwa sis wanawake. Usiache mbachao kwa msuala upitao

    • @محح-و6ش
      @محح-و6ش 3 ปีที่แล้ว

      Uko sehemu gan wewe uko saudi

  • @happyjuma9611
    @happyjuma9611 4 ปีที่แล้ว +12

    It's a nice story very educative..... i luv it soooo much

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 4 ปีที่แล้ว +15

    Mukovzur sana hiyo ndodawa ya mwanamke anayejiona yy ndo yy

  • @betinvestment3204
    @betinvestment3204 3 ปีที่แล้ว +3

    Taaammmm kuliko asali dah waweza unguza mboga

  • @sharifaallan2386
    @sharifaallan2386 4 ปีที่แล้ว +8

    Nice movie...ukisema wa nini.....wenzio wasema watampata lini....love from mombasa Kenya❤💞

  • @bintihassan6534
    @bintihassan6534 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah...... Yn hukikosa Kujifunza kupitia hii ww c mwanafunzi😍😍😍😍😍😍piga keleleee kwa baba asu ake
    Weeeuweeeeeeeeeeeee😘😘😘😘😘mama asma umependeza acikwambie mtu💝💝💝

  • @fatmakungu2160
    @fatmakungu2160 4 ปีที่แล้ว +4

    Akhasante Kwa somo zuri Sana nimejifunza kitu. .huyu baba masu hakika amevaa uhusika kama sio move kuvaa uhalisia wa matukio kwenye jamii

  • @liliankavishe6889
    @liliankavishe6889 4 ปีที่แล้ว +7

    Dah big up sana yan nimeipenda sana baba asu love sana kwakuwa unamaamuzi mazur sana maan hyu mwanamke dharau sana

    • @khadijaangore4408
      @khadijaangore4408 4 ปีที่แล้ว

      Kweli mwanamke jeuri hii Ndio dawa yake.😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣

  • @sefukimangasefukimanga2197
    @sefukimangasefukimanga2197 3 ปีที่แล้ว +2

    Paaapaaa Kk

  • @richardjuma7708
    @richardjuma7708 4 ปีที่แล้ว +3

    Nimeipenda sana hii

  • @zenasudishabani4179
    @zenasudishabani4179 4 ปีที่แล้ว +8

    Ukiona comments zaidi %100 ujuwe movi ni moto

  • @mtaratibumpolemnyenyekevu2115
    @mtaratibumpolemnyenyekevu2115 4 ปีที่แล้ว +7

    alimudulillahi nimeipenda sana ipo kiwango sana tena sana pia tengeza zingine zenye mafuzo kama haya (ibarikiwa kazi ya mikono yenu)

  • @GdddsHddd
    @GdddsHddd 4 ปีที่แล้ว +7

    Jamani wanawake talaka tatu duh this movie is so wonderful I love it wapi part 2jamani

  • @samiamohamedi1408
    @samiamohamedi1408 4 ปีที่แล้ว +6

    asanteee kwa move ila tunaomba mwendelezo

  • @fakhirhamad1273
    @fakhirhamad1273 4 ปีที่แล้ว +6

    Tumejifunza bna wanawake tuache jeuri😁😁😁👌

  • @mulhatmudrik9828
    @mulhatmudrik9828 4 ปีที่แล้ว +5

    jambo la kwanza naangalia comment

  • @josephatmvambi3933
    @josephatmvambi3933 3 ปีที่แล้ว +1

    baba asu
    mama asu hatari sana move nzuri sana msalimie mamdogo😂😂

    • @mpoyokapictures1405
      @mpoyokapictures1405  3 ปีที่แล้ว

      Asante kwa pongezi usiache kuangalia nyingine nzuri
      1.Ndoa jela
      2.lovenness
      3.Mtoto wa haramu
      4.Moyo
      Zote zipo TH-cam

  • @loicekazungu1297
    @loicekazungu1297 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni kwa kutuletea thamuthilia

  • @aminamsomali1619
    @aminamsomali1619 3 ปีที่แล้ว +2

    Movie tamu sana lete muendelezo tafadhali tena araka jamani

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 4 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah tabaraka Allah. Asanteni team nzima.

  • @siapaul3346
    @siapaul3346 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamanii mwenye jicho kMa langu ajibu
    "Huyu ni mtoto wake kweli au maana siyo kufanana huko kila kitu bichwa, pua, sura na komwee

  • @user-gz2zm9ro1h
    @user-gz2zm9ro1h 3 ปีที่แล้ว +2

    nampenda san huyu kijana mov zake mzuli san

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 4 ปีที่แล้ว +6

    Naona coment. Zimedamshii wacha niangaliaa

  • @khalfanabdalla8098
    @khalfanabdalla8098 3 ปีที่แล้ว +1

    Shot move but I like it woooooow amazing big up sana kwenu sijaona kosa lolote wa mapunguf kwenye hii move og og

  • @annaswai6072
    @annaswai6072 4 ปีที่แล้ว +4

    Bado mrithi wa kanumba hajatokea kwa kweli gonga like km unakubaliana na mm lakini hii muvi ni nzuri sana👏👏👏👏

  • @asheliramadhani7440
    @asheliramadhani7440 4 ปีที่แล้ว +3

    Na iwe somo kwa wengine kazi nzuri jamani

  • @catherinekanale9545
    @catherinekanale9545 3 ปีที่แล้ว +1

    Mama mzazi wa mama asu kichaa sanaa

  • @asteriakimaro5660
    @asteriakimaro5660 4 ปีที่แล้ว +12

    Huwa siangalii movie yenye comment chini ya 200 na lazima nizisome kwanza🤣🤣🤣

  • @michaelmbata2263
    @michaelmbata2263 3 ปีที่แล้ว +18

    Komenti zimeni shawishi kuangalia kama na wewe unaangalia uku unasoma komenti gonga lenki hapa 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @kessyfilbart3133
    @kessyfilbart3133 3 ปีที่แล้ว +2

    Kanumba namba 2 movie nzuri sana tunaomba part 2

  • @maureentebakol7520
    @maureentebakol7520 4 ปีที่แล้ว +18

    N zruri xna naomba part 2 jamani it amazing movie

  • @saidiasdd5043
    @saidiasdd5043 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana Kaka niatari sana kbs 👌👌

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 ปีที่แล้ว +4

    Movie nzuriiiiiiii sanaaaaaaaaaa!!

  • @TauhidaHaji
    @TauhidaHaji 2 หลายเดือนก่อน

    Ninachoamini.mtu.mwenye muume na mjane haiwezekani. Wakawa.marafiki mnoooo❤❤❤❤❤ movien naipenda.sana.sana

  • @momososo7282
    @momososo7282 3 ปีที่แล้ว +1

    Ikopoa kweli movies

  • @lailakhamis432
    @lailakhamis432 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni sn nimeipenda sana muko vizur

  • @sefukimangasefukimanga2197
    @sefukimangasefukimanga2197 3 ปีที่แล้ว +2

    Papaaaaa K

  • @samsonodhiambo1180
    @samsonodhiambo1180 4 ปีที่แล้ว +2

    Kweli dunia kuna mambo

  • @riyahemed8712
    @riyahemed8712 4 ปีที่แล้ว +2

    Very nyc movie congratulations to baba asuu n mama asma👌😘

  • @bintmjapanddhh314
    @bintmjapanddhh314 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah movie nizur nimeipena inamafunzu daniyake tupe party 2

  • @fahimomar7850
    @fahimomar7850 ปีที่แล้ว

    Baba asu kapata chombo uamuzi wako nimeupenda mafundisho safi sana

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 4 ปีที่แล้ว +3

    Ukisema cha nin Kuna anae Sema nitakipta lini Asante xn kwa move mzuri yenye mafundisho

  • @davissarah7423
    @davissarah7423 4 ปีที่แล้ว +11

    Siangalii move cha kwanza comment then move

  • @muzdalifaoman5973
    @muzdalifaoman5973 4 ปีที่แล้ว +8

    Yaaan ungempa talaka 7 maana duhuu

  • @jumamkongowe8870
    @jumamkongowe8870 4 ปีที่แล้ว +78

    Tunaeangalia filamu kwaajili ya comment kutuhamasisha tujuane

  • @nancyabiazari3876
    @nancyabiazari3876 4 ปีที่แล้ว +2

    Mavaz manzur unaangali at a na mzazi

  • @athumanisaid5086
    @athumanisaid5086 4 ปีที่แล้ว +3

    Endeleeni hivi hivi

  • @gladysmariga8019
    @gladysmariga8019 4 ปีที่แล้ว +2

    Hapo sawa

  • @sefukimangasefukimanga2197
    @sefukimangasefukimanga2197 3 ปีที่แล้ว +2

    Mamen sefu papaaa K

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 ปีที่แล้ว +1

    Utajua hujui we mama

  • @sefukimangasefukimanga2197
    @sefukimangasefukimanga2197 3 ปีที่แล้ว +2

    Papaaaaaa K

  • @لينا-ظ1ك
    @لينا-ظ1ك 3 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda sana munajuwa ku act

  • @priscillaomulanya702
    @priscillaomulanya702 3 ปีที่แล้ว +3

    Very nice movie

  • @fathimafathima4760
    @fathimafathima4760 4 ปีที่แล้ว +9

    Sichokii kuiangaliia leo mara tatuu ni nzurii kwakwel na ipo kwwnye maadili wawezaa tizama na mtu yyt

  • @lightnessseifu5983
    @lightnessseifu5983 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah moves nzuri inamafundisho mazuri imenifanya nimelia kwa uchungu . Duu hivi vitu vipo yaan haya Mambo yapo et.

  • @irenemamito3803
    @irenemamito3803 4 ปีที่แล้ว +6

    Jamani me nimempenda uyo baba asu awe tu ata frends

  • @user-mm5tf7yn6p
    @user-mm5tf7yn6p 4 ปีที่แล้ว +6

    Umeorewa na duniya??????mume kitu gani😅😅😅😅❤❤❤🇧🇮

  • @hamisrashid4406
    @hamisrashid4406 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongela Sana Kaka

  • @mariemukamana4995
    @mariemukamana4995 4 ปีที่แล้ว +6

    asante kuni Patia iyo movie

  • @user-bd3fe4pu4c
    @user-bd3fe4pu4c 5 หลายเดือนก่อน

    Mwana kulitafuta! Kayataka mwenyewe sawa angalia ninini funzo kubwa sana hili

  • @hawaa2227
    @hawaa2227 4 ปีที่แล้ว +2

    Move ma sha Allah Rahman Allah awazidishie ufahamu

  • @mazrui1948
    @mazrui1948 3 ปีที่แล้ว +1

    Movie nzuri sana in a mafundisho kwa wanawake wajeuri went wako kwa ndoa. Ndoa haichexewi.ilobaki ni ukandange.

  • @nasraally1708
    @nasraally1708 3 ปีที่แล้ว +1

    Movi mzur jaman mmejitahidi ongereni

  • @sahlamussa8538
    @sahlamussa8538 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongeren baba asu kwa move nzuri

  • @hawaadam7889
    @hawaadam7889 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwakweli inafundisha sana

  • @hawasaid8262
    @hawasaid8262 4 ปีที่แล้ว +3

    Ukisema chanini 👌

    • @nancyrashid1011
      @nancyrashid1011 4 ปีที่แล้ว +1

      Wenzio wanasema watakipata lini

  • @victoriafrank2157
    @victoriafrank2157 4 ปีที่แล้ว +2

    Daa ipo pw nice nice

  • @lameyajaff8881
    @lameyajaff8881 4 ปีที่แล้ว +1

    Iko.poa sana nzur

  • @benezethkapongwa3111
    @benezethkapongwa3111 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa anajua sana... Ila movie zake ndio ghali sana kuziona. I really appriciate his films.
    Mpoyoka mi naomba tumia pia media katika kazi hii...maana ulimwengu tulio nao umebaki mitandaoni

    • @mpoyokapictures1405
      @mpoyokapictures1405  4 ปีที่แล้ว +4

      Ushauri mzuri sana ila media wanabana sana, watu walio pewa dhamana ya kukagua movie mpaka uwahonge ndio wqnapitisha. Nimeoeleka media zote ujinga ni uleleule ndiomana tumekimbilia tukiwa na imani tukipata wafuasi wengi mambo yata kaa sawa cha muhimu ni sapot kutoka kwenu

    • @mpoyokapictures1405
      @mpoyokapictures1405  4 ปีที่แล้ว +4

      Watabana wataachia tuombe mungu tu

    • @benezethkapongwa3111
      @benezethkapongwa3111 4 ปีที่แล้ว +2

      @@mpoyokapictures1405
      Daaah, very sad...hata wabane vp kizuri siku zote huwa kinajiuza. Mungu atatusimamia inshallah....

  • @shabanpdid5689
    @shabanpdid5689 4 ปีที่แล้ว +3

    Move Kali xan

  • @ayishaayisha3625
    @ayishaayisha3625 4 ปีที่แล้ว +3

    ❤️❤️❤️❤️👍Tamamu sana kwel 🇧🇮🇧🇮🇹🇿

  • @TatuTatuibrahim
    @TatuTatuibrahim 6 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda san hii movie toen mapem sana movie nyengine

  • @brisherjoshyie2316
    @brisherjoshyie2316 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante Sana kwa filmu nzuri sana

  • @marymary4720
    @marymary4720 4 ปีที่แล้ว +2

    Nzuri sana part 2

  • @SleepyBabyPenguin-oh7fb
    @SleepyBabyPenguin-oh7fb 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah movie nzuri sn

  • @vumiliakashindi6520
    @vumiliakashindi6520 4 ปีที่แล้ว +4

    Beautiful sana 💘💘💥💥

  • @miriamshadrack4122
    @miriamshadrack4122 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂 msalimie mamdogooo

  • @mumynyika6689
    @mumynyika6689 4 ปีที่แล้ว +5

    It's so amaizing nimeikubali wapi part 2 jamani

  • @mohamedyzamilu4667
    @mohamedyzamilu4667 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakubal kz nzuri

  • @salomemukani1627
    @salomemukani1627 4 ปีที่แล้ว +5

    Mwendelezo please.🇰🇪🇰🇪

  • @mesalimumwabidia5607
    @mesalimumwabidia5607 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah kazi nzuri kabisa

  • @hassanmsipi4094
    @hassanmsipi4094 4 ปีที่แล้ว +9

    Bonge la Movie sio unaangalia Movie watu wanacheka Cheka tuuu wahusika wote wamecheza uhusika

  • @mkazahamisi8508
    @mkazahamisi8508 4 ปีที่แล้ว +6

    Wezenu watafuta ndoa wewe waichezea Hahaha kikowapi sasa

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 4 ปีที่แล้ว +3

    Aka katoto kamenifurahisha kameambia baba ake eti bye bye

  • @bhfmncjvm503
    @bhfmncjvm503 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana umetisha

  • @rinaalbaloushi2981
    @rinaalbaloushi2981 4 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri sana Asante mnajuwa sana 💯

  • @khanifajoy7473
    @khanifajoy7473 4 ปีที่แล้ว +2

    Nzuri sana