MITIHANI KWENYE DA'AWA |SHEIKH MUHAMMAD BACHU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • #alhaajartvkenya #mombasa #live
    SHARE, COMMENT & SUBSCRIBE
    Instagram: Alhaajartvkenya
    Twitter: Alhaajartvkenya
    Facebook: Alhaajartvkenya
    TH-cam: Alhaajartvkenya
    © Al Haajar TV Kenya 2024

ความคิดเห็น • 37

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 2 หลายเดือนก่อน +7

    Hii hotuba ni kama wasia wallahi, ya Rabi fungua roho ya waja wako kuiona haqi na kufuata

  • @user-nl3vn6dg6j
    @user-nl3vn6dg6j 2 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akuhifadhi ndugu yetu Muhammad bachu.

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allahu Akibarr. Jazakrllah khaillah kwaukumbusho. Shehewetu mpendwa

  • @saadasaleh3177
    @saadasaleh3177 2 หลายเดือนก่อน +1

    Maashaa Allah Jazaka Llahul khayr

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ewe Allaah muhifadhi Shekh Muhammad Bachu kutokana na shari za wazushi, waovu na maaduwi wote wakijinni na kibinadamu.
    Mpe nguvu na upana wa maarifa na umuwezeshe kufanya Da'wa kwa nguvu zote alizo nazo

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mansha allah ALLAH akulipe pepo amin

  • @mohammedhassan8922
    @mohammedhassan8922 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaalah barakalahu fik

  • @mohammedhassan8922
    @mohammedhassan8922 2 หลายเดือนก่อน +3

    حفظك الله ورعاك يا شيخ

  • @Athumaniomari-ge2gs
    @Athumaniomari-ge2gs 2 หลายเดือนก่อน +3

    Maaashaaallah sheikh Wang Allah akuhifadhi

  • @MahmoudMohamed-yc6fr
    @MahmoudMohamed-yc6fr 2 หลายเดือนก่อน +3

    MASHAALLAH

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 2 หลายเดือนก่อน +1

    MAASHAA ALLAH shukran sheikh kipenzi chetu ALLAH akuhifadhi

  • @OmarSaid-nt2xd
    @OmarSaid-nt2xd 2 หลายเดือนก่อน +3

    Masha Allah barakallahu fik

  • @AshaSaid-gy2tg
    @AshaSaid-gy2tg 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tuache majungu tusikilize maudhui

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naskitishwa na maaduwi wa Dini na Da'wah hapa Zanzibar, kwa kuwazuia kufanya Da'wah watu muhimu kama huyu Shekh Muhammad Bachu!!!
    Serekali imewachukuwa wazushi na kuwapa mpini, wajinga ndio mashekhe wa kuzingatiwa, wenye elimu na juhudi yaa kuuamsha ummah, zuia, fyeka ndani, hakuna ruhusa ya kuzungumza chochote kuhusu Dini.
    Wahuni, walevi, wazinifu, washirikina, wazushi, waimbaji na wenye kutuharibia Dini na maadili wote hawa wako huru na wanafanya wanacho jiskia na wengine wamepewa vibali na kulindwa pia😢😢😢😢😢😢.
    Wallaahi zama mbaya sana hizi tulizo nazo, wakweli kufanywa waongo, hawafai kuzungumza, waongo ndio wakweli wazungumze wawezavyo na watakavyo!!!

  • @waladulikhlaas7870
    @waladulikhlaas7870 2 หลายเดือนก่อน +1

    مسجد ضرار .... لا تقم فيه أبدا

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tuacheni kuchochea hata kiwa izudini alisema haina hajaa comment kusema hivi tutafuteni ya faidaa kama hayaa ndio muhimu

  • @abubakarbakari9372
    @abubakarbakari9372 2 หลายเดือนก่อน

    Sheikh bachu nadhani ulipata ujumbe kutoka kwa sheikh izudin

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 หลายเดือนก่อน +1

      Asa izudini ndo nani 😂😂 kusanyikeni nyote hamutamuweza huyo hizudini khurafi mkubwa yule umshindanishe ilmu na bachu masufi mnachekesha kweli bado maswali 19 mmeshindwa ya jibu tanga kutetea maulid

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 2 หลายเดือนก่อน

      Tafadhal mzijibu hoja 19 kwanza

    • @osmanmanbile9327
      @osmanmanbile9327 2 หลายเดือนก่อน

      Bachu athibitishe kwmba imamu barzanjii.ni muongo siku ya niqash ameona moto

    • @osmanmanbile9327
      @osmanmanbile9327 2 หลายเดือนก่อน

      Je mtu akitumia hathidhi daifu katika kitabu chake huitwa ni muongo jibu swli😂😂😂

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 หลายเดือนก่อน

      @@osmanmanbile9327 muongo ndy kwani barazanji akiwa muongo kuna Nini mtume tuu maneno yake yakwwli hasemi urongo we mimba ya mtume wakati unaingia yey mtunga barazanji hajazaliwa mtume mwenyewe mpk anakufa hajawahi adisia hiko kitu yeye kapata wapi katungatunga urongo tuuh kumpachika mtume basi