Msisahau aina zote za barabara hapo dodoma itaepuka jam za kishamba kam dar.shepu za majengo pia mzingatie sana sio kujenga tu majengo yasio na utofauti.na maziwa ya kutengeneza mzingatie hapo ndipo dodoma itakua na mvuto wa hali ya juu.
huwa mnakuwa na maneno mazuuri..UTEKELEZAJI sasa huwa hamptikni mkitafutwa muda ukifika..imani yangu na kwa wewe unvyoonekana yawezekana ni mtendaji mzuri litakamilika vzr hata hiyo oktoba mwakani tusikutafute maana tutakuwa tushajionea..kila la kheri!
We unataka kujenga wapi? Sishangai kwani hata mzungu akija bongo atasema ivo ivo hawezi kuka Tanzania au dar kwa mazingira yetu ivo ni uamuzi wako mzee mwisho wa siku wote tunapita tu
Mkurugenzi ana homoni za kikeoloji
hapo kwenye rangi za ukuta sio sawa kwani ni Kota hizo au ni nyumba ya watu binafsi
Msisahau aina zote za barabara hapo dodoma itaepuka jam za kishamba kam dar.shepu za majengo pia mzingatie sana sio kujenga tu majengo yasio na utofauti.na maziwa ya kutengeneza mzingatie hapo ndipo dodoma itakua na mvuto wa hali ya juu.
dodoma city
Eco city planning is the only solution...
Instablaster
huwa mnakuwa na maneno mazuuri..UTEKELEZAJI sasa huwa hamptikni mkitafutwa muda ukifika..imani yangu na kwa wewe unvyoonekana yawezekana ni mtendaji mzuri litakamilika vzr hata hiyo oktoba mwakani tusikutafute maana tutakuwa tushajionea..kila la kheri!
Mkurugenzi unafeli soon..., hivi huoni kma barabara zimeshakua NA jam kubwa??, lini utapanua barabara??...
MUULIZENI mkurugenzi mbona barabara zenyewe zimejaa mchanga? Dodoma mjini lami yote imemezwa na mchanga. Ndo Pretoria ilivyo hivyo?
Mbna hufikirii kutanua barabara??, huoni foleni kila siku hizi imezidi asbh NA Jion??
Zinajengwa zaidi ya kilometres 15 ya barabara mbili mbili... as longest road in east and central africa
Kwanza siwez kujenga Dodoma mimi binafsi kwanza kubaya .pili amna mvuto tatu ukame na NNE akujachangamka ata kidogo .nashangaa kwann wameliita jiji
Askof Wa dar July hili ni jiji La wastaarabu hatutaki wachafu wa dar
We unataka kujenga wapi? Sishangai kwani hata mzungu akija bongo atasema ivo ivo hawezi kuka Tanzania au dar kwa mazingira yetu ivo ni uamuzi wako mzee mwisho wa siku wote tunapita tu
We base Africa huwezi kuulewa uzuri wa Dodoma Ila subiri utaelewa tuu alafu utatamani alafu itakuwa too late!
You're narrow minded, I feel sorry for you.
ELIV TV . BASE AFRICA kajenge kwenu ukerewe unawashwa nini? Dodoma tutaijenga wenyedodoma yetu