Rozari ya Huruma ya Mungu - Sali Sala Hii Kila Siku Saa Tisa Alasiri.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 54

  • @otreymaiko7703
    @otreymaiko7703 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ninakutumainia yesu

  • @تتغتا-س6ش
    @تتغتا-س6ش ปีที่แล้ว +5

    Ee Mungu tujalie neema ya ukombozi katika familia yetu.

  • @johnmichael3196
    @johnmichael3196 9 หลายเดือนก่อน +3

    Ee baba wa huruma utujalie utulivu wa moyo hasa wakati huu wa majaribu. Amen

  • @essyrugomora4561
    @essyrugomora4561 ปีที่แล้ว +2

    Asanten

  • @sifakabarole4180
    @sifakabarole4180 9 หลายเดือนก่อน +1

    Utuhurumiye eee mungu na duniya nzima.Amen

  • @veronicamassalu6255
    @veronicamassalu6255 11 หลายเดือนก่อน +4

    Amina 🙏🙏🙏

  • @progensia9852
    @progensia9852 ปีที่แล้ว +4

    Ninakutumainia Yesu

  • @AntonyBruno-om8mr
    @AntonyBruno-om8mr 3 หลายเดือนก่อน

    Eee Bwana utuhurumie utusamehe makosa yetu utujalie Yale yote tuyaombayo Kwa Imani Amina

  • @Dianajuma94
    @Dianajuma94 ปีที่แล้ว +3

    We muumba wng naomba umpe.nguvu Mme wangu.apone. amina

  • @hellenmwakasungula6850
    @hellenmwakasungula6850 ปีที่แล้ว +2

    Eee Mwenyezi Mungu utuhurumie utusamehe dhambi zetu sisi utuongoze katika IMANI ya kweli

  • @HildaEdward
    @HildaEdward 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ee baba wa huruma utujalie sisi wanawako utulivu moyoni

  • @GodfreySamamba-w6z
    @GodfreySamamba-w6z 3 หลายเดือนก่อน

    Ee Yesu wa Ekaristi,utuhurumie sisi wakosefu

  • @oman5875
    @oman5875 ปีที่แล้ว +8

    Amina🙏🏿,utuhurumie sisi na Dunia nzima.

  • @shalletjoseph6304
    @shalletjoseph6304 ปีที่แล้ว +3

    MUNGU wangu nihurumie uniwie radhi kwa ajili ya dhambi zangu

  • @SalomotanzGolyas
    @SalomotanzGolyas ปีที่แล้ว +3

    Ee mungu muumba wa mbinguni na dunia uturehem na utuongoze tunotende Yale yakupedezayo ili baadae tukuone uko mbingun

  • @تتغتا-س6ش
    @تتغتا-س6ش 5 หลายเดือนก่อน

    Tunaombea amani katika nchi ya Kenya ❤

  • @nasrasway7143
    @nasrasway7143 ปีที่แล้ว +4

    Mwenyez mungu naomba rehema yako naomba unihurumie mimi Na Dunia nzima mwenyez mungu wangu

  • @njokikarundu9143
    @njokikarundu9143 3 หลายเดือนก่อน

    Ee Yesu mwema tusaidie kuishi katika matazamio ya ujio wako Amen.

  • @paulinemusanga1051
    @paulinemusanga1051 ปีที่แล้ว +4

    Uwe radhi Kristu utuhurumie

  • @ElizabethWanjohi-fl4he
    @ElizabethWanjohi-fl4he 4 หลายเดือนก่อน

    Eeh Baba Mtakatifu tuhurumie tusaidie na utukukinge

  • @تتغتا-س6ش
    @تتغتا-س6ش 5 หลายเดือนก่อน

    Wape neema ya kushinda vishawisi na majaribu watawa wote ❤❤ ili watimize wajibu wao ipasavyo Amina.

  • @ElizabethWanjohi-fl4he
    @ElizabethWanjohi-fl4he 4 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa afya njema, kutulisha na kutuvisha

  • @modesterkatabi
    @modesterkatabi 7 หลายเดือนก่อน

    Tunashukuru kutushirikisha kwasara hii,ubarikiwe sn

  • @gladysmanyange3790
    @gladysmanyange3790 ปีที่แล้ว +4

    Utuhurumie sisi na Dunia nzima

  • @Mwaminimagesa
    @Mwaminimagesa 3 หลายเดือนก่อน

    Tusifu yesu kristu naombq kujua rozari ya satisa usiku

  • @تتغتا-س6ش
    @تتغتا-س6ش 5 หลายเดือนก่อน

    Kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake anao tujalia kija siku 🎉🎉🎉.

  • @تتغتا-س6ش
    @تتغتا-س6ش 9 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉❤❤

  • @GodfreySamamba-w6z
    @GodfreySamamba-w6z 3 หลายเดือนก่อน

    Utuhumie sisi na dunia nzima

  • @yungeelias9339
    @yungeelias9339 ปีที่แล้ว +3

    Eee Mungu Unihurumie mimi na dunia nzima

  • @IsackFerdinand
    @IsackFerdinand ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @LizzyOfficial-g5g
    @LizzyOfficial-g5g หลายเดือนก่อน

    AMEN 🙏

  • @Mary-cd1fo
    @Mary-cd1fo ปีที่แล้ว +2

    Unihulumie Mimi na familia yangu

  • @anastasiawanjau3280
    @anastasiawanjau3280 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wangu nihurumie uniwie radhi kwa ajili ya dhambi zangu.

  • @jacklinemagere1796
    @jacklinemagere1796 ปีที่แล้ว +2

    mungu uniurumie

  • @jeny-fq9tl
    @jeny-fq9tl ปีที่แล้ว +2

    Amen,, Kristo unihurumie

  • @hildalugome2467
    @hildalugome2467 ปีที่แล้ว +1

    Amina

    • @leahchilongani9514
      @leahchilongani9514 ปีที่แล้ว +2

      Kwa ajili ya mateso makali ya Bwana wangu Yesu kristo unihurumie Mimi na duni nzima

  • @ndukimailu
    @ndukimailu ปีที่แล้ว +2

    Love everyone

    • @ndukimailu
      @ndukimailu ปีที่แล้ว

      Good loving this prayer big it gives me strength to go on

  • @humphreymtebe170
    @humphreymtebe170 ปีที่แล้ว +2

    Rozari ya huruma ya mungu

  • @ESTHERWANJIRU-t5o
    @ESTHERWANJIRU-t5o 2 หลายเดือนก่อน +1

    God deliver me from spiritual husband

  • @theonestinakaizilege9974
    @theonestinakaizilege9974 ปีที่แล้ว +2

    Uruma yamungu uniokoe unipe mafanikio

    • @annahmuindi8712
      @annahmuindi8712 ปีที่แล้ว

      Mungu nihurumie uniepushe na mabaya yote ya yeshetani na nguvu zake

  • @gembajesca
    @gembajesca 9 หลายเดือนก่อน +1

    Unaweza kuisali asubuhi,?,

  • @تتغتا-س6ش
    @تتغتا-س6ش ปีที่แล้ว +5

    Ee Mungu tujalie neema ya ukombozi katika familia yetu.

  • @CatherineKwamboka-p6h
    @CatherineKwamboka-p6h ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @anastasiawanjau3280
    @anastasiawanjau3280 ปีที่แล้ว +8

    Mungu wangu nihurumie uniwie radhi kwa ajili ya dhambi zangu.

  • @jacklinemose5871
    @jacklinemose5871 ปีที่แล้ว +2

    Amina

  • @تتغتا-س6ش
    @تتغتا-س6ش 11 หลายเดือนก่อน +2

    Amina

  • @stellamoraa851
    @stellamoraa851 10 หลายเดือนก่อน +2

    Amen

  • @magaretnthullih6347
    @magaretnthullih6347 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 24 วันที่ผ่านมา

    Amina