ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Am from Kenya napenda nyimbo zako
Hongera sana Janeth. Huu ndo umekuwa ujumbe wangu wa kumaliza mwaka na kuingia mwaka mpya. Asante kwa kugusa kilicho ndani ya moyo wangu. Mungu akubariki sana.
Mungu awe pamoja na wewe lakini ni moja ya waimbaji unae immba katika roho
Powerful song, hongera sana kwa nyimbo hii ya baraka sana, imenibariki saaana hii kiukweli 🎉🎉🎉
Janeth Hagai Mungu akubariki na kukutunza akuangazie uso wake na kukulinda Huduma hii ikupeleke mbali👍👍👍👍👍👍
Umebeba neema kubwa sana Janeth,,endelea kunyenyekea mbele za MUNGU,, utafikishwa mbali na Bwana YESU
Amen Amen
Hongera mdogo wangu
Mungu azidi kukufungulia njia 🎉
Sauti ya kimungu kabisa 🙌
Dada kwakweli ktk Nyimbo zako zote hii imenibaliki Sana Ujumbe mzuri sana
❤❤❤❤
Am from Kenya napenda nyimbo zako
Hongera sana Janeth. Huu ndo umekuwa ujumbe wangu wa kumaliza mwaka na kuingia mwaka mpya. Asante kwa kugusa kilicho ndani ya moyo wangu. Mungu akubariki sana.
Mungu awe pamoja na wewe lakini ni moja ya waimbaji unae immba katika roho
Powerful song, hongera sana kwa nyimbo hii ya baraka sana, imenibariki saaana hii kiukweli 🎉🎉🎉
Janeth Hagai
Mungu akubariki na kukutunza akuangazie uso wake na kukulinda Huduma hii ikupeleke mbali
👍👍👍👍👍👍