Wote hao ni wanyama tu, bora hata wanyama wanafunika nyuchi zao kwa mikia yao na hawana akili. Ndo unakuta wanaume wengi hawaoi wanamaliza kwa kuangalia tu. Eti nawao wana sema wanatamani kuolewa na hawajieshimu. Hiv mwanaume anaanzaje kukupeleka kwao?
Lulu unavaa vibaya!!!

Siku ya kumpeleka kwenu siku hiyo atavaa vizur😂@@myunaniniahmad6463
Mwanaume anajistir mijanamke ipo.waz ovyoooooo😮😮umalaya mtupu
Fey kaachwa huko😢😢😢Kwan wanaume wanakuja hapo kutakandoa au
Jaman muambieni na Lolo aje na Grayson wake atupe mazuri
Sema fashion za wanawakee daaah 🤣🤣🤣🤣🤣 hyo nguo kavaa aaaliya
Beautiful
Nyie huyu lulu na vinguo vyake😢,,,kwan aambiwi
Lulu kavaaa nguo fupi mwenyew afu anaishusha sijui anashusha nn
Lulu bhana ety iko wa, iko wa na vinguo vyake
Lulu ni tatoo anaonyesha
😘😘😘😘
Atar
Lulu umevaa vibaya