@@MARK-nh4hx its on record bruh kuna vitu zitafanya B4 Chan then kuna zile zitafanywa AFTER Chan.. ubaya ya Kenyans.. We've become too pessimistic mpaka kuna watu walitaka Chan ipewe Rwanda..
Boss, Job poa na ku-upload and post a new video on Nyayo... Nyayo stadium still needs two Key improvements before CHAN/AFCON..... Roof lazma izungushwe,they need to do that...Also waweke two digital screens permanently on both ends
first comment in 2025, good work bro
Good work, bro 💪 👏
Tupige updated ya training venues pia
This stadia needs more workers so that to finish all the works on time.
Mm pia nirisema hivo hivo uliandika nikatukanwa
Kenya 🇰🇪😂😂😂😂kueka floodlights ni big news pia😂😂😂😂
It's indeed pathetic
Itawekewa canopy kweli?
VAR room?
Job poa bro.new sub
Mbona Mombasa hamuangazii au Mombasa si Kenya?
Alfu wa make sure wame zi maintain
Si wangeweka flood lights Kama za kasarani sio kujenga kizuguu Kama ya safaricom network
Once again would like to say good job, guys should knw that kuna vitu hazitafanywa for CHAN but after CHAN renovations will go on e.g roofing (nyayo)
Roofing 😂😂😂 utangoja sana.. vision 2050
@@MARK-nh4hx its on record bruh kuna vitu zitafanya B4 Chan then kuna zile zitafanywa AFTER Chan.. ubaya ya Kenyans.. We've become too pessimistic mpaka kuna watu walitaka Chan ipewe Rwanda..
Mbona hukuenda Siaya?
What are the requirements for someone to be allowed to take videos in the stadium
There some payments fee you pay
We cannot compare Kenya na ya Tz. We are so backward.
Uongo , Tanzania wako Na Moja Na kengine kama kale ka Dandora
Kazi gani hii sasa
😂😂😂😂ndio nashangaa
Boss, Job poa na ku-upload and post a new video on Nyayo... Nyayo stadium still needs two Key improvements before CHAN/AFCON..... Roof lazma izungushwe,they need to do that...Also waweke two digital screens permanently on both ends
That's before afcon chan itachezwa hivi tu
Huku Nyayo wako slow,wangeongeza manpower,naona ikifika mid month na bado kazi haijaisha.
🎉🎉🎉
Yaani hatuweki artificial grass?? 😅😅😅
It's not recommended by Fifa
Tuonyeshe masinde muliro bungoma
Na pia tembea Nakuru Afraha
Btw atembelee afraha stadium....
Asante kutaja AFC LEOPARD team kubwa.Hii ni bedroom yetu tunabambika na progress.Sasa nikuwaweka Tu ball after ball 2 and above.
😂😂😂 wpi Kuna Banadri FC ,Na Gormahia ndio team kubwa
I think Kenya we have nothing to show.
Mbna awachaweka roof
Bro kwani hii nyayo iwezi funikwa
Hata mi nashangaa😮
Itafunikwa by 2027. Right now it's Chan
After chan bro itakuwa revamped kama kasarani
@@hillarylikoko hii Kenya unafikiria itaguzwa kweli tena for renovations? 😂
That's alot of work, wsngeanza saahii they won't finish, after Chan we can fit them for afcon
Leta Kanduyi stadium
Kwani Rwanda pia walileta jokes?
Poor job.its not covered
Stadium inakaa shamba ,,why do u cover that dilapidated stadium that is not world class
SI utengeneze Yako yenye Iko world class
Anza na kwako before calling other things dilapidated na unaishi Kwa nyumba ya mbao
Mjinga wewe, kazi ni criticism tu and no objective reasoning!!
Kwanza umejenga hata simba kwenyu? 😂