ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

Zabron Singers on Sifa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 เม.ย. 2018
  • Waimbaji kutoka taifa la Tanzania watuandalia makala haya ya Sifa. Jiunge nasi tupate kubarikiwa pamoja na familia ya Zabron Singers

ความคิดเห็น • 340

  • @irenemanigerakampire4577
    @irenemanigerakampire4577 2 ปีที่แล้ว

    Tusante kwako mafundisho kutoka nyimbo zenu.

  • @jescasway9410
    @jescasway9410 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo zen zinanibariki na kunifarij

  • @johnsoncharo1302
    @johnsoncharo1302 3 ปีที่แล้ว

    Johnson kalama....shanzu....m'barikiwe saanaa.

  • @jemadanieli7153
    @jemadanieli7153 3 ปีที่แล้ว

    Sio rahis kuifikia ahad Bwana tusaidie, kuifikia ahad yako Baba,bado tunaiman ktk wewe tutawale

  • @angelnaomi2503
    @angelnaomi2503 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana na zidishe malaika wa. Sifa ndani yenu milele

  • @prisilaluhikula6927
    @prisilaluhikula6927 5 ปีที่แล้ว +4

    Kwakwel mm nabarikiwa sana na nyimbo zenu zote na wapenda sana sana na mungu azidi kuwainua zaidi

    • @peterboge3845
      @peterboge3845 4 ปีที่แล้ว

      Baraka za mungu ziwe nanyi maishani mwenu kwa nyimbo za injili

    • @agesag.m2476
      @agesag.m2476 4 ปีที่แล้ว

      True, May Our Dear God Bless them.

  • @lidyagunda2336
    @lidyagunda2336 3 ปีที่แล้ว

    Mko vizr mnatutia moyo sana

  • @sophiakigombola9031
    @sophiakigombola9031 5 ปีที่แล้ว +1

    Hakika mmebarikiwa sna sna. JINA LA BWANA YESU LITUKUZWE. NI LIVE LAKINI SAUTI NI CLEAR. HAKIKA MSIFUNI BWANA KWA HILI. NAWAPENDA SANA SANA. NNAPOSIKIA HUU WIMBO NAPATA NGUVU MPYA. HAKIKA TUTAMSIFU NA KUMTUKUZA. AMINA

  • @shabayevshiabako1609
    @shabayevshiabako1609 ปีที่แล้ว

    Asantini sana Zabron Singers.

  • @calvinsojwang8838
    @calvinsojwang8838 5 ปีที่แล้ว +2

    Who are these always disliking the word of God in their comments...Sanballat of this world? I really love and blessed when watching sifa!

  • @anthonymburu645
    @anthonymburu645 5 ปีที่แล้ว +8

    Nawashukuru sana. Siku ya leo nyimbo zenu zimetuliza roho yangu. Mungu awabariki.

  • @JumaSatarajr
    @JumaSatarajr 5 หลายเดือนก่อน

    Zabron singers munanifariji
    Nikiwa na shida nikiwa na mawazo nyibmo zenu nitiba yangu Mungu Awabariki🔥🔥🎇🎇🔥🔥🎆🎆🔥🔥🎆🎆🎆🎇🎇🔥🔥🎆🎆🔥🔥🎆🎆🎆

  • @jacklineqaresi4617
    @jacklineqaresi4617 9 หลายเดือนก่อน

    Kila moja wetu anaitwa na kumtumikia Mngu kwa njia ya pekee, kwa sababu Yeye aliyekuumba alikuita kwa jina lako, jina aliyokukabidhi. Na siku moja atakuita kwa jina lako. Wewe na Mungu mnaelewana kwa lugha ya Mungu. Nina utulivu moyoni kusikia nyimbo na kufafurahia ASILI yenu.

  • @cecillmidika5550
    @cecillmidika5550 6 ปีที่แล้ว +2

    Best songs, it was nice interacting with Zabron singers..... at BAHATI SDA CHURCH, KENYA. Mungu azidi kuwabariki, awainue, awalinde, mkiendeleza injili zake Bwana.

  • @PatRick-fe7jr
    @PatRick-fe7jr 3 ปีที่แล้ว +1

    Asanteni sana wapendwa kwa nyimbo hizi... Mungu na awatendee mema... Amina

  • @japhetmasai9954
    @japhetmasai9954 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki zablonsingers

  • @nadewakala5089
    @nadewakala5089 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana mbarikiwe

  • @ndayisabaprotais4448
    @ndayisabaprotais4448 ปีที่แล้ว

    Asantehene San zaburon chor

  • @vicemakoti9189
    @vicemakoti9189 3 ปีที่แล้ว

    ok mungu atubariki sote

  • @vanemose2251
    @vanemose2251 3 ปีที่แล้ว

    Very nice song

  • @fidelismutune9232
    @fidelismutune9232 ปีที่แล้ว

    Pure hearts and beautiful ladys without makeups

  • @beatyzephania1111
    @beatyzephania1111 5 ปีที่แล้ว +1

    BWANA wetu Yesu Kristo awabariki sana Waimbaji wa Zabron. Nimebarikiwa sana na wimbo usemao "Tumeuona mkono wa Bwana". Umenitia nguvu sana katika safari hii ya kuelekea Jerusalemu Mpya.

  • @ruthiemulindi5097
    @ruthiemulindi5097 5 ปีที่แล้ว +6

    Still waiting for collabo ya zabron singers na Christ ambassadors.wow very powerful

  • @dhssgs6360
    @dhssgs6360 5 ปีที่แล้ว +5

    Nipo Omani nabarikiwa kwa nyimbo nzuri hakika nimebarikiwa

  • @antoinealix1486
    @antoinealix1486 4 ปีที่แล้ว +1

    Alelouya ce Bien sa Bravo

  • @galaxygames647
    @galaxygames647 4 ปีที่แล้ว

    Wow good songs

  • @agnesskalinga9915
    @agnesskalinga9915 3 ปีที่แล้ว

    I am blessed all the way from Saudi Arabia Riyadh city, Zablon singer's may Almighty God bless you you and keep you.

  • @lamar_sneh8480
    @lamar_sneh8480 2 ปีที่แล้ว +1

    I’m a Ghanaian thus I don’t understand the language but I feel the vibe, Adventist’s music is soo dope

  • @erickenyansa8034
    @erickenyansa8034 3 ปีที่แล้ว

    Hakika Wacha Mungu haitwe Mungu nyimbo zeno ni nzuri na Zenye wingi wa Baraka.Mungu awabariki

  • @Denniskasperwan
    @Denniskasperwan 4 ปีที่แล้ว +3

    May the good Lord continue to strengthen,shower you with the latter rain of the holy Spirit....keep going zabron singers...let the third angel's voice be heard by everyone...stay blessed always....

  • @islandpingu
    @islandpingu 4 ปีที่แล้ว +5

    What beautiful voices. All with natural hair and neatly dressed

  • @clevartv2672
    @clevartv2672 5 ปีที่แล้ว +5

    daaaa sjui nisemeje tu nawapenda sana nataman one day niimbe na nyinyi na itakua hvyo kwa imani

    • @raphaeltungaraza8826
      @raphaeltungaraza8826 4 ปีที่แล้ว

      Jamni nlikuwa naomba kuelewa hiv hii kwaya huwa ni wasabatho au

  • @mwilemwajunga6951
    @mwilemwajunga6951 2 ปีที่แล้ว

    Nawapenda nyimbo zenu zinanibariki zinanituriza moyo wangu MUNGU awabariki

  • @charznyamaresa5571
    @charznyamaresa5571 5 ปีที่แล้ว +6

    wizuri ndg

  • @ayilarhoda2503
    @ayilarhoda2503 5 ปีที่แล้ว +5

    Zabron mnanichanganya had silali saa 6 usiku Bado sijalala mbarikiwe sana

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 2 ปีที่แล้ว

    Mubarikiwe sana mimi wimbo zote zenu nimeburudia mume ubiri yote🙏🙏🙏🙏❤️❤️

  • @sophynabwire5215
    @sophynabwire5215 5 ปีที่แล้ว

    napenda nyimbo zenu,kwa hakika zina ujumbe mzito sana Mungu awabariki na azidi kuwainua sana mwendelee kueneza injili kupitia kwa nyimbo "#nitasubiri nakusubiri sitachoka,,nimeshasemezana na wewe kwa maombi,usipojibu au kujibu nitaelewa,nashukuru hata kwa majaribuuuu......"

  • @mondesterongwae2961
    @mondesterongwae2961 ปีที่แล้ว

    Beautiful voices may u be blessed

  • @richarddehustler
    @richarddehustler 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana nyimbo njema zakumsifu mungu wetu. Nipo hapa Uganda nawapenda watanzania.

  • @kanuriken9480
    @kanuriken9480 2 ปีที่แล้ว

    Mungu yu mwema kweli

  • @edwinnyakilla2859
    @edwinnyakilla2859 4 ปีที่แล้ว +5

    From China watching, i am really blessed. Zabron God bless you

    • @stanleychambo1608
      @stanleychambo1608 4 ปีที่แล้ว +1

      Edwin Nyakilla China corona🙄

    • @bettyoluoch9774
      @bettyoluoch9774 4 ปีที่แล้ว

      Hp u are fine from Corona bro

    • @faithfaith4782
      @faithfaith4782 4 ปีที่แล้ว

      AMen 🙏 ❤ congratulations
      God bless all zabron singers 🙏💖👌👏😁 nawapenda Sana mmmmmmmmcha 😘😍💖 👌😀 kazi chema ya mungu injili hiende mbele

    • @wonderwomentv6000
      @wonderwomentv6000 4 ปีที่แล้ว

      From India watching too nikiwa mezaliwa wa kahama shinyangaaaa💕💕💯

  • @kanuriken9480
    @kanuriken9480 2 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe kabisa

  • @moniquenimbabazi4528
    @moniquenimbabazi4528 3 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe nyimbo zafunzo Mungu awafunze kumutii kweli ili mje irithi Mbingu

  • @fidele6512
    @fidele6512 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤

  • @watwegopnina6480
    @watwegopnina6480 4 ปีที่แล้ว +1

    Sana Mungu awabariki, Nawapenda sana.

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 ปีที่แล้ว

    Bien^ en tre 👍✋

  • @mussamithi6820
    @mussamithi6820 3 ปีที่แล้ว +2

    inspirational music,thanks very much you brothers and sisters in Christ over there,God Bless you always! Malawi,Blantyre

  • @nancykeruboseboka36
    @nancykeruboseboka36 3 ปีที่แล้ว +1

    Wonderful, continue receiving God's blessings kindly allow us download more songs of you servants.

  • @evansoyaro322
    @evansoyaro322 5 ปีที่แล้ว +7

    God bless you guys..nyimbo nzuri sana..from Kenya big love

  • @williammuasya5555
    @williammuasya5555 6 ปีที่แล้ว +11

    Mahubiri kwa njia ya uimbaji
    Mungu awabariki

  • @vincentsiangwe9288
    @vincentsiangwe9288 4 ปีที่แล้ว +1

    Yuko Wapi Grace oscar madata ....sijaskia sauti yake .

  • @rabanikisusi386
    @rabanikisusi386 4 ปีที่แล้ว +1

    Nmebarikiwa sana kupitia nyimbo zenu# from Scotland

  • @gm7045
    @gm7045 4 ปีที่แล้ว +2

    I trust in you my Lord 🙏
    Nakupenda saana master choir..na wenzako waimbaji pia.

  • @ramyramy3455
    @ramyramy3455 4 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah kweli sibure kwa yesu ni faida Amen , sichoki kuskiliza nyimbo zenu, God blessed you all,Amen.

  • @everkabete6645
    @everkabete6645 3 ปีที่แล้ว +1

    this is so beautiful,big up zabron singer's may God bless you all,the voice is wooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooow

  • @violetakinyi9614
    @violetakinyi9614 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice song

  • @merrymerry5199
    @merrymerry5199 4 ปีที่แล้ว

    Zabron singers you are good example to all people who are artist because you don't put makeups lipstick and satanic nails. God bless you all. Am blessed

  • @pendosusuma8550
    @pendosusuma8550 5 ปีที่แล้ว +1

    Asanteni kwa huduma ya kiroho mnayotoa kwa kutumia nyimbo

  • @ramyramy3455
    @ramyramy3455 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki Sana wapendwa ,Amen

  • @florakomba5522
    @florakomba5522 6 ปีที่แล้ว +3

    Nawapenda sana the Zabron singers Mungu awabariki kwa kazi yenu nzuri ya kuijilisha

  • @martinligawa9010
    @martinligawa9010 11 หลายเดือนก่อน

    Amina hallelujah hallelujah hallelujah

  • @hajirasalumu2218
    @hajirasalumu2218 3 ปีที่แล้ว

    Chiristina shusho

  • @edwinlagat1084
    @edwinlagat1084 4 ปีที่แล้ว

    Am edwin watching from qatar doha this songs touched alot about to surrender everything to God

    • @dorismgeni6146
      @dorismgeni6146 4 ปีที่แล้ว

      Mbarikiwe Sana mmenibariki Sana Mwenyez Mungu wazidishiee

  • @neemangasa7682
    @neemangasa7682 4 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @naomihabakkuk2104
    @naomihabakkuk2104 5 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana na nyimbo zenu Mungu awabariki sana

  • @lynnettechalaupatrison9355
    @lynnettechalaupatrison9355 3 ปีที่แล้ว +2

    I enjoy all your songs because of the translation availability. Indeed the beautiful melodies and words are very meaningful . God bless your lovely voices. Love from Papua New Guinea

  • @loycekazungu8668
    @loycekazungu8668 4 ปีที่แล้ว +3

    Wish to invite this group to my wedding plz from kenya

  • @magarematara8919
    @magarematara8919 3 ปีที่แล้ว +1

    From Kenya blessed with a lovely n blessing song from my fellow Adventists.

  • @ibrahimkunei8852
    @ibrahimkunei8852 3 ปีที่แล้ว +2

    In my life since I knew zabron singers truly am addicted with their songs. May God take them far

  • @gedeonbahemukajino8182
    @gedeonbahemukajino8182 3 ปีที่แล้ว

    Mungu wetu asifiwe kwa adhati! Na awabariki, ninyi mnayomimbia hizi nyimbo.

  • @atienokenya7455
    @atienokenya7455 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda sana sauti tu ni mzuri sana wacha tusifu mungu wetu kwa nyimbo feel blessed from Nairobi Kenya

  • @everkabete6645
    @everkabete6645 4 ปีที่แล้ว +6

    I love you all zabron singers you are really blessed with an amazing voices

  • @ignadesir7699
    @ignadesir7699 5 ปีที่แล้ว +2

    Could you ask Sifa to include English below so that myself and others can understand in the U S because we absolutely love the music Kenya has amazing and talented Adventist choir keep up the Christian Singing Ministry and God bless you all.

    • @suzyjohn8940
      @suzyjohn8940 4 ปีที่แล้ว

      These are not Kenyans, they are Tanzanians from central Tanzania

  • @frednsato3455
    @frednsato3455 5 ปีที่แล้ว

    Bwana awazidishie baraka watumishi wa Mungu. Kazi yenu ni bora na madhubuti. Asanteni. Alabama. USA

  • @ezekielmwamba9106
    @ezekielmwamba9106 2 ปีที่แล้ว

    Shalom from Kenya
    The gift you have is from God
    Surly you have reached the people of God

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 3 ปีที่แล้ว

    Woooooow!!

  • @mbairenjoguofficial8873
    @mbairenjoguofficial8873 4 ปีที่แล้ว +4

    Still here Aug 12th 2020....still so fresh to me....I luv everything about this choir....the soloist dope all along

  • @rupatopato4643
    @rupatopato4643 4 ปีที่แล้ว +2

    mukono wa bwana my favorite

  • @rosemuronji8651
    @rosemuronji8651 6 ปีที่แล้ว +2

    Amina mungu awabariki sana kwa uimbaji wenu msuri nawazikiza kutoka Dubai

  • @frimosmselle9266
    @frimosmselle9266 4 ปีที่แล้ว

    Safi saana ujumbe umetufikia ,Mbaki mmebarikiwa.

  • @everkabete6645
    @everkabete6645 4 ปีที่แล้ว +2

    I love your natural hair my dearest sisters

  • @mariamsafi5124
    @mariamsafi5124 5 ปีที่แล้ว +2

    Bwana awape afya njema muzid kulitangaza jina la Jehova.

  • @abodetidings8392
    @abodetidings8392 3 ปีที่แล้ว +1

    wow amazing love it

  • @charlesnurumwasha7834
    @charlesnurumwasha7834 6 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabariki sana Zablon Singers, nyimbo zenu nzuri.

  • @kalvindavid2418
    @kalvindavid2418 5 ปีที่แล้ว

    Mm niko italy nimeguswa na nyimbo zenu hongeren xana mungu awabarik

  • @ezekielmwamba9106
    @ezekielmwamba9106 2 ปีที่แล้ว

    Shalom from Kenya
    Amen Amen Amen

  • @estherwaithera9859
    @estherwaithera9859 3 ปีที่แล้ว

    wow wow wow

  • @queenyahaya3147
    @queenyahaya3147 4 ปีที่แล้ว

    Jamani dada na kk zangu kahama nyumbani awabariki Mungu nimewaona leo

  • @agesag.m2476
    @agesag.m2476 4 ปีที่แล้ว +2

    God knows I really admire your wonderful messages through songs, Very inspirational, Zablon Singers be Blessed Abundantly.

    • @josephanjele8160
      @josephanjele8160 3 ปีที่แล้ว

      I always feel blessed when I listen to ur song ...joseph from Kenya....God bless ur work

  • @knowledgemashonganyika7216
    @knowledgemashonganyika7216 5 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo nzuri Zabron mbarikiweni. Amina

  • @victorlangat2362
    @victorlangat2362 ปีที่แล้ว

    God bless you all

  • @winniemwatsuma7167
    @winniemwatsuma7167 5 ปีที่แล้ว +2

    Aki Mubarikiwe na Mungu aki mwanibarik from kenya

  • @nginamatheka2206
    @nginamatheka2206 4 ปีที่แล้ว

    nyimbo zenye mafunzo.bwana awabariki

  • @cheruiyotkennedy5880
    @cheruiyotkennedy5880 4 ปีที่แล้ว +3

    Can't stop listening to your song, everday i hit on TH-cam, i search Zabron...may God bless you ..😘

    • @agesag.m2476
      @agesag.m2476 4 ปีที่แล้ว

      Me too Brother, they have very wonderful songs full of inspirational messages.

    • @ocholawayoga5986
      @ocholawayoga5986 4 ปีที่แล้ว

      They are sown to earth

    • @ocholawayoga5986
      @ocholawayoga5986 4 ปีที่แล้ว

      Awesomely singing

  • @mbairenjoguofficial8873
    @mbairenjoguofficial8873 4 ปีที่แล้ว

    To those who are disliking ,truly is it that they don't know the meaning of the two symbols or what???

  • @emmanuelmziray1073
    @emmanuelmziray1073 5 ปีที่แล้ว

    From Michigan USA. MUNGU awabariki saanaa.

  • @mummysweet2886
    @mummysweet2886 5 ปีที่แล้ว +6

    Hallelujah, this song has blessed me , how can I reach Zabron singer on my pre wedding day

    • @precioussalome820
      @precioussalome820 5 ปีที่แล้ว

      Mummy Sweet ...am also thinking of it my dear,they are really a blessing

    • @cheruiyotkennedy5880
      @cheruiyotkennedy5880 4 ปีที่แล้ว

      We have the same opinion...kindly Mummy Sweet, ukiwapata kindly hook me up with them..

  • @mahalonowiti1511
    @mahalonowiti1511 4 ปีที่แล้ว +1

    wonderful with magical songs that give birth to worries in one's soul......i hope those who have problem in reading and interpreting the Bible it has been clearly done here by them......and this is the best so I advice all to listen keenly to these songs and understand them deeply in their souls.....

  • @davidmutiso3686
    @davidmutiso3686 4 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri ambazo zinabariki .

  • @eddamushi2543
    @eddamushi2543 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe sana. Mnaimba vizuri sana