DR.SLAA AIVAA KAULI YA MCHENGERWA MATOKEO YA UCHAGUZI S/MITAA CCM IMESHINDA 99% AUNGANA NA MAASKOFU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 7

  • @faustinemangula8424
    @faustinemangula8424 14 วันที่ผ่านมา

    Kwa muumini ktk Mungu yeyote anasema ni mcha Mungu kivyovyote kama anaiba uchaguzi au chochote ametenda dhambi anahitaji toba, hata yule anayefulahia hiyo dhambi anashiliki ktk hiyo dhambi waamini tijisahihishe.

  • @Vike333-l8o
    @Vike333-l8o 18 วันที่ผ่านมา +2

    Mchengerwa hata Aibu huna unathubutu kutangaza Wizi wa kura ulizoiba?kama kweli. Moto utakuwepo sijui kama utasalimika naDamu zilizomwagika Watoto wamebaki ya Tima sababu ni Mchengerwa ujue hilo Mungu wetu Hachelewi

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 18 วันที่ผ่านมา +1

      Mungu sikiliza vilio vya waja wako

    • @daudimaembe3360
      @daudimaembe3360 17 วันที่ผ่านมา

      Amina ​@@adelinelyaruu3036

  • @daudimaembe3360
    @daudimaembe3360 17 วันที่ผ่านมา

    Wizi wa kura ni dhambi, wakatoliki wanaoshiriki kuchafua uchaguzi wachukuliwe hatua za kuwekewa vikwazo katika kupata huduma za kiroho makanisani.Wafungiwe Sakramenti mpaka watakapotubu na kukiri kutorudia wizi wa kura.Maana tunawajua na wengine ni viongozi wakubwa wa serikali,wadhibitiwe kama Askofu Damian Kyaruzi mstahili wa Jimbo Katoliki la Sumbawanga alivyofanya mwaka 2010 jimboni Sumbawanga.

    • @EmmaculateGembe
      @EmmaculateGembe 17 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli kabisa wafungiwe sakra menti zote maana wanakufuru