MASWALA YA ARAFA | SHEIKH NIZAR BWANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 237

  • @rahimasoud2036
    @rahimasoud2036 5 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah mashaAllah Mngu akujaze killa la kheri kwa kutuelimisha kwenye haya mas ala

  • @newhorizon8447
    @newhorizon8447 5 ปีที่แล้ว +3

    Shukran sana sheikh. Allah sw akuhifadhi na akuzidishie elimu uwaongoze vijana wetu. Shida watu wanafunzwa na social media na sheikh google but it's high time watu wajishughulishe kusoma Qur'an na Sunnah ya Rasullullah SAW na vitabu vya ulama walotangulia.

    • @abubakarsalim1505
      @abubakarsalim1505 5 ปีที่แล้ว

      Maulamaa wa sunnah sio wanaoenda na hawaa zao sawa akhy unga mkono palipo na ukweli sasa tupatieni alkaba Kenya ama inchi moja Africa

  • @yusuphmussa554
    @yusuphmussa554 5 ปีที่แล้ว +8

    Sheikh upo vzur sana nimekuwa nikifuatilia masheikh weng mfano mufti menk, a seem all Hakeem zakir naik wote wanasema kufuata mwezi wa eneo lako na kufunga arafa no Siku ya tarehe 9 toka mwezi uandame katika eneo lako na c vinginevyo. Hawa maahekhe zetu was huku afrika mashariki ndo wanakuja na misimamo yao ya ajabu ajabu ambayo haifuati dini ni kweli ukiwa Makkah madina ukauliza maswali ya mwezi unaambiwa you should follow your local moon site

    • @aminayusuph9839
      @aminayusuph9839 5 ปีที่แล้ว

      Unajisifu na kuwatamka kwa mbwembwe hao mashekhe wakishia fata elimu usifuate kauli shekhe

  • @mustafaismail5622
    @mustafaismail5622 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallwa nimekufahamu vizuri nimefurahi sana

  • @khatwabyshabani5592
    @khatwabyshabani5592 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuelewa vizur sanaa shekh langu Allah akufanyie wepesi

    • @najmamakame9881
      @najmamakame9881 5 ปีที่แล้ว

      Sasa sheikh saudia na tz hatujapisha hata dakika inamana mwezi ukitoka mwezi saudia hatufungii?

  • @abdullahabdul7968
    @abdullahabdul7968 5 ปีที่แล้ว +4

    Allah akuzidishie ilmu wewe na sisi sote

  • @rahmahkhalfan1178
    @rahmahkhalfan1178 4 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo la mawahabi hujitengenezea principles zao wenyewe ambazo hazina dalili yoyote alafu wakadai eti nduyo sunna.sheikh tumekuelewa vizuri sana

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 5 ปีที่แล้ว +4

    Shehe nimekuelewa vizuri umechambua vizuri sana kufunga ni 9 mfungo tatu

  • @abdurazaqhamisi4576
    @abdurazaqhamisi4576 5 ปีที่แล้ว +1

    Sins zaidi yakusema Allah akizidishie kila laheli

  • @saidimiraji1903
    @saidimiraji1903 5 ปีที่แล้ว

    ahsante sana sheikh wangu hebu naomba unitumie raqamu yako

  • @saidimiraji1903
    @saidimiraji1903 5 ปีที่แล้ว +1

    ahsante sheikh wangu mimi nimmoja ktk waliokua wamepotea sasa kwa ukumbusho huu kwanzia leo narudi kundini

    • @mukhtarabdulrahimu3455
      @mukhtarabdulrahimu3455 5 ปีที่แล้ว

      Utapotea baki hapohapo

    • @mohamedkioze3768
      @mohamedkioze3768 5 ปีที่แล้ว

      Dini hii islam hairudi nyuma tena ndio maana sasa hv tuna kalenda ya kiislam ya dunia sio kalenda ya miji fulani tu ni kalenda ya waislamu lazima tuifuate sio muda wa kupanda farasi hali ya kuwa magari yapo meli zipo ndege zipo kwa kisingizio cha mtume muhammad s.a.w hakuuliza sham na kwengineko mwandamo angeulizaje? na tunajuwa simu hazikuwepo,,,,??????

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 ปีที่แล้ว

      @@mohamedkioze3768 kwahiyo nyinyi mawahabi kibali cha kuulizia mlikipata wapi

  • @omarymohammed3433
    @omarymohammed3433 5 ปีที่แล้ว

    Asante cn maaana mm nilikula j mos arafa nikagunga j 2 kumbe niko sw mm nikijua nimefunga jiwe kumbe nipo sahihi 🤗

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 5 ปีที่แล้ว +1

    MaashAllah Alhamdulilah shukran sana InshAllah heri

  • @ajuayeofficial
    @ajuayeofficial 5 ปีที่แล้ว +4

    Ahsante San shekhe wangu uko sahihi

    • @omarymohd4990
      @omarymohd4990 5 ปีที่แล้ว

      Dah!jamani vipi umma unaenda wapi

    • @omarymohd4990
      @omarymohd4990 5 ปีที่แล้ว

      Jamani nikimuona naomba muniulizie kwahuyu sheikh kwanini mahujjaj anatakiwa wasifunge nasisi tufunge kamahamna mafungamano

  • @dawaseif3699
    @dawaseif3699 5 ปีที่แล้ว +1

    nimekuelewa vzur sheikh wng

  • @parasuminazi4403
    @parasuminazi4403 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah umeongea vzuri nakuweka wazi kwamwenyekuelewa

  • @allyhassan8357
    @allyhassan8357 5 ปีที่แล้ว +3

    jazaka Allah khair...shukra'n

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 5 ปีที่แล้ว +1

    Baaraka LLAHU fiiqu

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 5 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa huku London InshAllah jumapili Edd

  • @ahmedyassin7702
    @ahmedyassin7702 5 ปีที่แล้ว +3

    Alhamdulilah, MAA SHAA ALLAH. Masheke zetu tunawashkuru

  • @ahmedswaleh4804
    @ahmedswaleh4804 5 ปีที่แล้ว +2

    Shukran wajazakumullah alhabyb Nizar.......following from lamu.

  • @alikirobo141
    @alikirobo141 5 ปีที่แล้ว

    Jazakkalwah khairan sheikh

  • @junhanbabu1218
    @junhanbabu1218 5 ปีที่แล้ว +2

    Kwani mungu akizungu mzia miandamo lazima uwe mmoja wakilanchi? We wacha zako, mwaka unamiezi 12

  • @khamically8278
    @khamically8278 5 ปีที่แล้ว +3

    Huna hoja za kunikinaisha shekh

  • @abdulhalimkibela4396
    @abdulhalimkibela4396 5 ปีที่แล้ว

    Allah akulipe kher

  • @minaminaa1669
    @minaminaa1669 5 ปีที่แล้ว

    MashaAllah nikweli sheik ulozungumza

  • @abufarhat1
    @abufarhat1 5 ปีที่แล้ว +6

    Mbona Mwafwata Masheikh Wakubwa Wa Ahlul Sunnaah Upande Huu Na Kwengine Hamuwafwati? Dini Haina Kurudhika Na Kufwata Moyo Dini Ni Kufwata Qur'an Na Sunnaah Na Tuwache Hawaa Za Nafsi Zetu.

    • @abujamalaalghammawiy7470
      @abujamalaalghammawiy7470 5 ปีที่แล้ว

      Abaa Turaab, dini ni kufuata Haki

    • @abubakarsalim1505
      @abubakarsalim1505 5 ปีที่แล้ว

      Angalia nani amerithi dini kutoka kwa rassull mbora wa viumbe na ni nani amerithi dini kutoka kwa maswahaba wabora wa umma huu jibu alafu ujiulize mbona tunafwata kauli zao

    • @abujamalaalghammawiy7470
      @abujamalaalghammawiy7470 5 ปีที่แล้ว +1

      @@abubakarsalim1505 umejibu vyema. Haya tuambie vipi walifunga saumu ya Arafa Maswahaba na watu wema waliowafuatia katika Qarne tatu bora za Umma huu, walifungaje Arafa?

    • @paladelnizer4496
      @paladelnizer4496 5 ปีที่แล้ว

      Nyinyi ndo vibaraka vya suudia mwajulikna

    • @abufarhat1
      @abufarhat1 5 ปีที่แล้ว

      @@paladelnizer4496 Arafat Iko Wapi? Si Ni Saudia Na Kama Iko Saudia Tufwate Wapi Kama Sio Saudia? Si Mas'ala Ya Kuwa Kibaraka Hapa.

  • @fatumasuleiman3908
    @fatumasuleiman3908 5 ปีที่แล้ว +7

    VIJANA SOMENI DINI WALA MSIISOME KWENYE INTANET UNLESS UWE UNAMUONGOZO LAZIVYO UTACHEZEWA AKILI MPAKA BAAS😭😭😭😭😭

    • @ruqaiyyawaziri4287
      @ruqaiyyawaziri4287 5 ปีที่แล้ว

      Fatuma Suleiman hatari

    • @kondesaidi2040
      @kondesaidi2040 5 ปีที่แล้ว

      Ukweli ndo huo,. Kabla ya teknolijia watu walifanyaje?? Walifuata nini ??

    • @arqamibnarqam.7185
      @arqamibnarqam.7185 5 ปีที่แล้ว +2

      Fátima suleyman Allah akulipe kher umewaambia wanaadam Jambo la msingi Sana.

    • @albassamjjamali9205
      @albassamjjamali9205 5 ปีที่แล้ว

      @@kondesaidi2040 kwan tecnolgia inakipi kipya inatoa tarifa gan ambayo haipo ktk qur an manaa mtume s.a.w alifunga ktk halitatu tu yakwa1 kupewa tarifa yapili kuona ya tatukuonekana nawatuwake sasa swali tecnogia imeleta tarifa ipi mpya apo 😦niambie nami nijue

    • @kondesaidi2040
      @kondesaidi2040 5 ปีที่แล้ว

      Albassam@ sasa wakati wa mtume ninani alileta taarifa ya mwezi kutoka maka!!?,,, Unayo yasema nikweli lakini ni kutoka ktk nchi au sehemu husikatu... Ambacho tunakipinga hapa nikwamba Utulazimishe kwa mwezi wa maka wakati kwetu mwezi bado ??😂,,, Wakati vitabu vyote vinalipoti kuwa ni 9 na huku kwetu 9 bado!? Na zamani kanlaya cm watu tulifuata mwezi!, Wapi mtume kasema tufuate MAKA,, badala ya QRAN???? acha izo bhana.

  • @abdallasultani4426
    @abdallasultani4426 2 ปีที่แล้ว

    Twapinduana

  • @mohamedadam5987
    @mohamedadam5987 5 ปีที่แล้ว +3

    Pole ustadh lakini kaeni chini wana ilmu nyote mutulete pamoja sababu nyote mwatupoteza wenye kutwambia al hajju arafa na nyie mwatuambie haziambatani ibada zetu na ibada ya hajj tuelewe vipi sheikh

    • @ashaally7593
      @ashaally7593 5 ปีที่แล้ว

      Soma na ww dini uelewe usimpe pole shekhe

    • @mohamedadam5987
      @mohamedadam5987 5 ปีที่แล้ว

      @@ashaally7593 pole we pia dadangu ungelewa nlio yandika kesho ma shekhe wote wenye kutuongoza wataulizwa mbele Allah walituongoza vipi? Hilo ndio swali langu soma uwelewe. Kwani hata we una ilmu gani yakuniambia hivo

    • @swalehseifmuhammed8289
      @swalehseifmuhammed8289 2 ปีที่แล้ว

      Al hajju arafa manayake ni wle walioko hija Kama hawja simama arafa hawana hija kwa sababu ninguzo ya hijja

  • @abdulhalimkibela4396
    @abdulhalimkibela4396 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @ahmadazubeir5112
    @ahmadazubeir5112 5 ปีที่แล้ว +6

    Tatizo lipo kwa wale wasiolewa kua mwezi unamiandamo. Mwezi ni mmoja tu jamani wala hili halinashaka lakini mwezi huo huo mmoja unamiandamo yake. Na hili linathibitishwa na Quran na wala si maneno ya midomoni mwetu bali ni kutoka kwa Arrahmaan. Kwa mwezi unamiandamo mingi, miandamo hii itapatikana kulingana na kutofautiana kwa nchi zetu. Hii ndio kanuni,suala la TV,Redio,Simu/midia ni upambavu na upotoshaji mtupu juu ya masala ya dini. Binafsi nimemuona Sheikh mmoja anafundisha Darsa Msikitini,baada ya Darsa anaulizwa swali moja dogo,basi Wallahi,Billaahi,Tallahi,kwanza alifungua simu bila ya kujibu baadae tena akafungua tena simu ndio akajibu swali

    • @MoodyG9
      @MoodyG9 5 ปีที่แล้ว

      SWADAQTA, NI KWELI KABISA. SHUKRAN, JAZAAKA ALLAAHU KHEIR.

  • @khamisijuma3167
    @khamisijuma3167 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh maneno yako nisahihi kabisaa

  • @allyndambwe4354
    @allyndambwe4354 5 ปีที่แล้ว +1

    maashallah

  • @abubakarsalim1505
    @abubakarsalim1505 5 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh please yahitaji makini sio hamasa tafadhali huwezi kuwa sawa na maimamu waliotangulia wala mabingwa

    • @medswamedswa5747
      @medswamedswa5747 5 ปีที่แล้ว +1

      In shaa Allah kwa uwezo wa Allah ..mungu amjaalie awe anatuelimisha daima...hana hamasa ameongea ukweli mtupu.

    • @mohamedadam5987
      @mohamedadam5987 5 ปีที่แล้ว

      @@medswamedswa5747 samahani mwenzangu kama kwako ni kweli kwa wengine wanaona tofauti kwahio elmu yako kidogo sana yakutoa fatwa kama hi nakusema ibadat ya saum hailingani na hajj na ambapo sie twafunga ile kuwashindikiza walioko arafa vipi leo mutatuambia haimbatani na ibadat ya hajj

    • @jamalbahdela524
      @jamalbahdela524 3 ปีที่แล้ว

      @@mohamedadam5987Swaumu ya Arafa ilianza kufungwa kabla ya kufaradhishwa ibada ya hijja kwa miaka mitano,je hapo walikuwa wakiwaunga mkono nani?

  • @nawawisaalim7173
    @nawawisaalim7173 5 ปีที่แล้ว +1

    umeeleweka vyema mno sheikh wangu masheikh wote wenye elmu wamesema km ulivyo sema wewe

    • @dawaseif3699
      @dawaseif3699 5 ปีที่แล้ว

      Nawawi Saalim kweli kabisa hao wengine wanatuzonga tuu

    • @waziri19
      @waziri19 5 ปีที่แล้ว

      Hawa ndyo mashehe

  • @abdulrashidabdiaden6698
    @abdulrashidabdiaden6698 5 ปีที่แล้ว +1

    Arafa n moja tu sheikh..lazima tuelewe...arafa n siku ile waliokuwa hajj wako kwenye kisimamo cha arafa ambao n tarehe tisa dhul hijja...haya maswala yako wazi...Shukran

  • @ibrahimnoordin3420
    @ibrahimnoordin3420 5 ปีที่แล้ว +2

    Ahsant.. Wala hakukutumwa barua na makhalifa kua kumeonekanwa mwezi sehemu flani. Kwa hvo siku ya sawa ni flani. Hakuna jambo hili.

  • @allisekondo4951
    @allisekondo4951 5 ปีที่แล้ว +3

    Maashallah,watu wa BID'A Ni walewote wanaofunga kuangalia mwezi Wa makka,kwani haikutokea ktk zama za mtume wala zama za maswahaba.

  • @OmarAli-lx8ux
    @OmarAli-lx8ux 5 ปีที่แล้ว +4

    Migogoro ya nini kila mtu afuate anonapo ni sawa

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 5 ปีที่แล้ว +2

    سٸل رسول الله صلی الله عليه وسلم عن صوم يوم عرفة قا يکفر سنة الماضية والباقية Aliulizwa mtume s a w kuhusu funga ya siku ya arafa akasema hufuta madhambi ya mwaka uliopita na ujao imam muslim mtume kasema funga ya siku ya arafa sio funga ya tisia

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 5 ปีที่แล้ว

      Basi Mtume angesema يوم عرفات. Sababu kiwanja ni عرفات ...ama siku ni عرفة

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 5 ปีที่แล้ว

      HAYA NI MAPYA..KUWA ARAFA YAWEZA KUWA TAREHE 7 AU 8 !!???

  • @adammakoye4198
    @adammakoye4198 5 ปีที่แล้ว +2

    kabla ya midea tulikuwa tunafanya mambo kibubusa ndg zangu ndiyo maana jambo la dini hufaham jambo huukumiwi kwa jambo huna kosa. NA ndiyo maana hupati dhambi kabla ya ujumbe.
    eti kuzungumzia miaka ya nyuma tulikuwaje ? lalalaa !!!
    MTAZAME wallah laadwiim.

    • @Manimajura
      @Manimajura 5 ปีที่แล้ว

      Unaamanisha Dini haikua imekamilika huko nyuma?? Kwamba sasa kuna science na teknologia ndio imekamilika?

    • @adammakoye4198
      @adammakoye4198 5 ปีที่แล้ว +1

      msikize huyo ustadhi anakwambia tarehe tisa ndiyo Arafa kule Saudia kwa tarehe yao. hiyo ndiyo hitlafu ilipo tarehe tisa ya kule haina tofauti na tisa ya huku kwetu hta nukta moja saa kumi kule kwetu saa kumi siku hiyo je? kuna tofauti kati yetu na wao ya siku moja jibu hapana iweje leo wao tarehe tisa ya saa ile ile maslan ijumaa sisi kwetu iwe nane ya saa ile ile siku hiyo hiyo ya ijumaa. ni msimamo lkn ni batwili. jambo la hitlafu sio wote wanaopatia kuna mmoja lazima akosee hatukatai ziko kauli za ulamaa wa kisuna ama kiwahabi kma mnavyodai zinazo sema kila TAIFA na mwezi wke lkn pia zipo kauli za ulamaa wakubwa za mwezi ni mmoja na hii kauli ndo tunaizangatia zaidi hususani ktk nchi zetu Afrika mashariki zenye mnasaba kbsaa na tym za Saudia.
      hta uswali na janaba miaka mia moja kisha baadae ukaja juwa namna ya kuoga janaba hutoingia kwamba miaka yote ulikuwa hupati kitu ila baada yke ukijuwa kisha useme mbna miaka yote nilikuwa naswali hivyo hivyo tu.

    • @adammakoye4198
      @adammakoye4198 5 ปีที่แล้ว +1

      kiufupi jambo hili LINAHITLAF hatukatai ila moja imezidiwa lazima watu wasarendeee.
      ni sawa na mtu aseme mm siswali dhuhuri bwna naswali saa saba hahaaahaaa.

    • @adammakoye4198
      @adammakoye4198 5 ปีที่แล้ว +1

      Na hta kma ikatokea kwamba mwezi tumeuona Tzania na Saudia hawajauona wawo wakawa na dhrhija 1 sisi tukawa 2 mpk yafika 9 kwetu wawo wananane na taarifa zikawafikia kisheria bali wakakataaa bado Arafa itakuwa ni ile ile siku hujaji wanasimama ktk viwanja vya Arafa tazama watu walivyoegamia

    • @Manimajura
      @Manimajura 5 ปีที่แล้ว

      @@adammakoye4198 Umeongea masuala mengi ila nataka nikwambie baadhi ya vitu, hoja ya kutumia saa ni dhaifu sana sababu kwanza ujue saa ni makubaliano tu kupiti mistari ya kubuni ya dunia na ndio mana hua hatufati saa bali hua tunafuata nyakati, na ndio mana ndani ya East Africa hii hii kuna miko inatofautiana kinyakati karibu lisaa limoja lakini kwavile tumekubaliana kwamba est africa wote tutatumia saa moja ndio mana saa saba Tanzania, kenya au uganda ni iyo iyo lakini sio kote kua dhuhuri itaangia wakati mmoja. Kwenye suala la tarehe ipo ikhtilafu, lakini tunapojadili ikhtilafu tunatakiwa tutumie rejea (reference) kwa kuangalia kauli yenye nguvu ama kusema kauli ya wanazuoni wengi na kauli ya wanazuoni wengi wamesema kua kila eneo wafate muandamo wao. Ndio ikaja hoja kwenye Quran kua mwezi na jua ni alama za nyakati kuwa watu wapate kujua tarehe na muda, sasa leo ndio linakuja swali zamani watu wakipate habari juu ya muandamo wa nchi iliyokua mbali ili wawe na tarehe moja. Je East Africa walijuaje kua saudia mwezi umeandama ndani ya usiku huo huo ili waweze kua na tarehe moja hali kwa wakati huo kutoka Makka kwenda Madina ilikua ni zaidi ya masiku je kutoka Saudia mpaka Kenya au Tanzania tunajuaje?

  • @salmabintuthman3243
    @salmabintuthman3243 5 ปีที่แล้ว

    Ndio sawa

  • @lugomemtamayaye9508
    @lugomemtamayaye9508 5 ปีที่แล้ว +1

    Unapotosha kasome tena . "WANAKUULIZA KUHUSU MIEZI MWANDAMO"
    Maana yake kuanzi 1 to 12 ndiyo miezi iliyo kusudiwa sio tofauti ya miandamo ya miezi .

  • @rashidmkoga3053
    @rashidmkoga3053 5 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh umeongea kwa ufasaha mno lakini kuna watu walisha amua kufuata tu hao hawana hata habari ya kujifunza zaidi ni ubishi tu.

  • @selemanmaulidi3012
    @selemanmaulidi3012 5 ปีที่แล้ว

    Mimi nauliza niipi yaumu nnahari? Nifafanulie

  • @deepcworkshop7442
    @deepcworkshop7442 5 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo we unaotoa mawaidha inamana kiama kitakuwa sikutifauti kila Inchi??

    • @Tawfiqomarhussein
      @Tawfiqomarhussein 5 ปีที่แล้ว

      deepc workshop Watu wanakuuliza khabari ya Saa (ya Kiyama). Sema: Ujuzi wake uko kwa Mwenyezi Mungu. Na nini kitakujuvya? Pengine hiyo Saa iko karibu (ahzab:63)

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 5 ปีที่แล้ว

    Mimi naona musisubuwane

  • @NMJAsaid
    @NMJAsaid 5 ปีที่แล้ว +1

    In short, huu ni mjadala Wa wanaopiga na wanaopinga twari

  • @alkhalilmussa5633
    @alkhalilmussa5633 5 ปีที่แล้ว +2

    nakubali

  • @fatumajuma1341
    @fatumajuma1341 5 ปีที่แล้ว +1

    Semeni maneno ambayo nisahihi wasema utongo

  • @ramamau7980
    @ramamau7980 5 ปีที่แล้ว +3

    Mmh sheh sijakuelewa hata kidogo kikubwa nimesikia tu maoni yakwako sio dalili za aya wa hadith

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 5 ปีที่แล้ว

      Una hakika umesikiliza mpaka mwisho na hukusikia aya?

    • @omarmbarak1579
      @omarmbarak1579 5 ปีที่แล้ว

      Rama Mau shida ya mashekhe wa bidaah lazma waende na ahwaah za nafsi zao alafu hutafuta ayaa kwenye Quran ili ayingize

    • @duniaileile5522
      @duniaileile5522 5 ปีที่แล้ว

      Mkipewa dalili mwajitia punguni, mkipatiwa masheikh kufafanua dalili na kuwaweka wazi mwataka dalili!!!! Miwahabi ni fitna ya ulimwengu huuuu lkn aibu zao na kutokwa na haya kwao kushajulikana,
      Watu hawa wanajiona kama washaingia peponi ingali wahai, ndomana kwao kila aliekinyume nao ni kafiri heeeeeeee😂😂😂 kaaaaaaaazzzzzz kweli kweli

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

    Dini imetoka uarabuni, arafa iko uarabuni, kibla kiko uarabuni,,,,,,,,Leo mnataka kuwa na arafa zenu za Morogoro, Tanga, Mombasa,,,hii hatari sana, maana ipo siku mtataka kuwa na kibla chenu!!!

  • @ayubushopping9734
    @ayubushopping9734 5 ปีที่แล้ว +1

    JEE kuna nchi ambayo imepichana na 24 hrs

  • @abubakarsalim1505
    @abubakarsalim1505 5 ปีที่แล้ว +3

    Sheikh arafa ni dunia yote hakuna arafa mbili toa hadith ama ushahidi kuwa utheimeen ama bin baz Allah awahifadhi wametoa kauli hizo please yataka kuwa na ukali pia juu ya mimbar sio kusimile lazima unapoonya uwe mkali

    • @alisudiramadhan3151
      @alisudiramadhan3151 5 ปีที่แล้ว

      HHaha sasa ww ndio uwende ukasome

    • @abubakarsalim1505
      @abubakarsalim1505 5 ปีที่แล้ว +1

      Kwenye kuonya hakuna uchekeshaji onya ukiwa thabit

    • @abdulgadiradnan5028
      @abdulgadiradnan5028 5 ปีที่แล้ว +5

      Kwanini iwe lazma ya ushahidi wa ibn utheimn au bin mbazi ????.
      JEE HAO WAWILI WANAMILIKI UISLAM !!??.
      DUH

    • @paladelnizer4496
      @paladelnizer4496 5 ปีที่แล้ว +1

      @@abubakarsalim1505 fuateni hyo Eid ya wasuudi hkna kulaumiana. Cha muhimu kuwe na adabu ya ikhtilaaf

    • @alisudiramadhan3151
      @alisudiramadhan3151 5 ปีที่แล้ว

      Kama hujui kitu nyamaz na usipende kusikiza soma nibora zaidi

  • @najmajomar4295
    @najmajomar4295 5 ปีที่แล้ว

    Umoja na watu wa bidaa mashia hatuko tayari

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 ปีที่แล้ว

      Kwani ni nani anaetaka kufanya umoja mawahabi watu wajinga

  • @timbulosaid63
    @timbulosaid63 5 ปีที่แล้ว

    Dini sasaiv imefka babaya

  • @jaffarmguwa5566
    @jaffarmguwa5566 5 ปีที่แล้ว

    Sheikh acha kupotosha kwa hiyo kila watu wana arafa yao....?/ mtume kasema kufunga siku ya arafa hakusema kufunga tarehe Tisa..... Na arafa in moja.... Mnababaisha tu

    • @yussufismail2822
      @yussufismail2822 5 ปีที่แล้ว

      Shukran kwa msimamo wako. Mungu akuzidishie na wewe usilazimishe. Unasema kabla ya media hatukuwa tunaona walioko makka. Sasa tubaki huko mbona Leo unapanda ndege huenda kwa jahazi kama ilivyokua zamani.

  • @saadallah6287
    @saadallah6287 5 ปีที่แล้ว +1

    Kasome funga ni arafa pia Arafa ni moja si mbili

    • @yassinmmbwera9273
      @yassinmmbwera9273 5 ปีที่แล้ว

      Mi nafikiri Mashekhe wakiwa wanatupa elimu ni vizuri wakiambatanisha na Hadithi na Fatwa za Maimam.

    • @allyally5156
      @allyally5156 3 ปีที่แล้ว

      Hii ya kulazimisha kutokana na akili yakawaida

  • @abujuhaifah7461
    @abujuhaifah7461 5 ปีที่แล้ว

    Shehe muonekano wako na uongeaji wko tofaut bado usiisemee dini kakae kitako

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 4 หลายเดือนก่อน

    Hiyo yakusema Kabla Kabla ya vyombo vya habar ,,,,,,sio hoja hoja ni hiiii !!!!!! Wewe Kabla hujajua swla ulikua waswali vipi!???? Kabla hujajua kusoma Qur'an ulikua wasoma vipi!??tushaajua Sasa kua arafa nisiku Gani!!? Hatuna budii kufuata baada ya kujua!!!! Sasa watetea wahmu yako!!!! Wapotoa watuu kua na inswaafu..

  • @matumbistanmikau2895
    @matumbistanmikau2895 5 ปีที่แล้ว

    Basi ili twende sawa usituambie kuwa yaumu Arafa kwa Tanzania ni siku fulani, sababu Tanganyika na Zanzibar ni zao la wakoloni haikuwako enzi ya Mtume. Scramble for Africa 1882 kama sikosei ndo iligawa bara hili vipande vipande. Je nyinyi kusema Tanzania ina mwandamo wake mmeitoa wapi?
    Labda turudi enzi za Mtume kila Mji na mwandamo wake. Kama mwandamo wa dunia ni uzushi, basi wa nchi tuiteje ?

  • @mihswanyusuph4796
    @mihswanyusuph4796 5 ปีที่แล้ว

    swadakta

  • @matumbistanmikau2895
    @matumbistanmikau2895 5 ปีที่แล้ว

    Kwhiyo uislamu ni dini isiyoendana na maendeleo? Ysni kwakuwa watu walikuwa hawawezi jua lini yaumu Arafa enzi hizo basi hata sasa dunia imekuwa kijiji wataka tujifanye kama hatuonii watu wamesimama viwanja vta Arafa, uhafidhina huu.

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 5 ปีที่แล้ว +3

    Nyie watu wa Bidaa Na Hawaa nafsi Mna tabu sana.wakati Dunia yaenda Mbele.Wew unataka Turudi kweny Zama za mawe za Kati.Wakati huo Mawasiliano hakuna je,wew huoni hapo tyr Dharura hiyo??Mbona huulizi Norway Walifunga Ramadhani vipi ilihali kwao Jua Halizami???
    Mim nachokiona Watanzania Wanafuata Arafa Inayotangazwa na Mufti wa Serikali.

    • @kondesaidi2040
      @kondesaidi2040 5 ปีที่แล้ว

      Norowey wanafuata muezi Kama Qran inavyo elekeza,,,, sasa wewe unataka tufuate Saudi??

    • @omarsaid8166
      @omarsaid8166 3 ปีที่แล้ว

      Basi watu wa makka wakiswali maghrib naww swali sababu tumeendelea

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 3 ปีที่แล้ว

      @@omarsaid8166 Hii inamaanisha akili yako ndogo.
      Vipi waweza Swali swala ya Magharib kwa kisikia Msikiti wa jirani??ikiwa Misikit miwili ipo jirani jiran

    • @omarsaid8166
      @omarsaid8166 3 ปีที่แล้ว

      @@أبوفيصل-د3ش naww pia akili yako ndogo kwa kusema tufwate walio simama arafa

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 3 ปีที่แล้ว

      @@omarsaid8166 Hayo maneno sijasema mim ila nimeyanukuu kea mtume aliposema Funga ya Siku ya Arafa.

  • @harunhassan5237
    @harunhassan5237 5 ปีที่แล้ว +2

    Na mbona wewe ukienda hajj suudia na mwadamo wako hauko sawa na tarehe ya suudia,je hajj yako iko sawa

    • @Badooyusuf
      @Badooyusuf 5 ปีที่แล้ว +1

      Acha ujinga wewe ukienda suudia unafuata suudia sasa mwandamo wako kitu gani zuzu mkubwa wewe

    • @harunhassan5237
      @harunhassan5237 5 ปีที่แล้ว

      @@Badooyusuf Mimi nakuuliza wewe zuzu mwenzangu ,hujanilewa.

    • @harunhassan5237
      @harunhassan5237 5 ปีที่แล้ว

      Nasema saudia ni tarehe moja dhulhija hapo Kenya hawajaona mwezi ,sasa wewe watoka Kenya waenda suudia kufanya hajji baada ushaingilwa na mwezi wa Kenya .Hajji yako iko sawa?

    • @waziri19
      @waziri19 5 ปีที่แล้ว

      Kama huelew kaa kmya mskilize sheh vzr usilete mihemko

  • @saidyusuf4691
    @saidyusuf4691 3 ปีที่แล้ว

    Miongoni mwaalama zawatu wa bidah waongea bila ya dalili kwani wewe ndiwe wajuwa zaidi au niyule alosema mwenye kufunga siku ya arafah hata mtoto mdogo ukimuliza arafah iko wapi atakuambia iko Makkah tumcheni mungu tuateni kupotedha Ummah tujuwe nijukumu tutakwenda kulizwa siku yahisabu

    • @mdoekibai3991
      @mdoekibai3991 2 ปีที่แล้ว

      we nikiruc kwenye wiislam wetu naww ndo ulozoka kwa maana bidar lkn hujui chalenji ndogo2 uniambie kati ya mwezi na internet kipi kilicho zuka? au kilichoanza ukijbu nakuuliza lanyongeza

  • @abdulhalimkibela4396
    @abdulhalimkibela4396 5 ปีที่แล้ว

    Tuwe kitu kimoja

  • @fadhilijuma5703
    @fadhilijuma5703 5 ปีที่แล้ว +2

    Hana ushahid halaf hatoi hoja za kielim ni maneno tu

    • @paladelnizer4496
      @paladelnizer4496 5 ปีที่แล้ว

      Waonaje ukismama ww utupe hoja za kielimu?

  • @jumahussein7579
    @jumahussein7579 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbna unaporoja huna dalili

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 5 ปีที่แล้ว

      Wajua maana ya dalili?

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 5 ปีที่แล้ว

      Kama wajua... Ungekuwa umeisikia hapo

    • @waziri19
      @waziri19 5 ปีที่แล้ว

      Wataka dalili ipi na aya ameitoa na kuifafanua
      Una khiyar kufata au kuacha acha kejeli wew

    • @jumahussein7579
      @jumahussein7579 5 ปีที่แล้ว

      @@waziri19 hajatoa dalili msilize shekh

  • @rashidrajab6248
    @rashidrajab6248 5 ปีที่แล้ว +1

    Kila mtu ajua zaidi .......walakin Allahu aalam

  • @SaidSaid-cs7mm
    @SaidSaid-cs7mm 5 ปีที่แล้ว

    Mnajua kupoteza watu mwezi nimmoja tuu hakuna mwezi wakila nchi 😄😄

    • @baisheally4636
      @baisheally4636 3 ปีที่แล้ว

      ilimu yako ndogo ,,waachie watu wenye ilimu wewe fuata unapoona pana Hali ,Allah aalam,Mimi nawewe hatelewi chochote

    • @jamalbahdela524
      @jamalbahdela524 3 ปีที่แล้ว

      Sasa subiri mwezi upatwe Marekani halafu wewe simama uswali swala ya kupatwa kwa mwezi saa saba mchana ndio utajua km uko timu au laa, maana mwezi mmoja.

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 5 ปีที่แล้ว +1

    Na Hizi Pete Mbona Nyingi Vidoleni.Vp Ndio Sunna hiyooo??
    Nikupe Faida Tu Kwa sababu Akili yako umesema Turudi Nyuma Umepiga Mfano Miaka 100.
    Tanzania Ilipatikana Mwaka 1964 .Je kabla Ya kupatikana Tanzania Waislam Walifungaje??
    Saudia Pia wakat wa mtume Haikuepo Nayo je,Watu wa Madina Wafunge Tofauti Kwan wao nao wawe na Tarehe 9 yao ya Arafa.

    • @NMJAsaid
      @NMJAsaid 5 ปีที่แล้ว

      Mashetani

    • @abdullahabdul7968
      @abdullahabdul7968 5 ปีที่แล้ว

      Daama yuribuka ila malaa turiiibuka

    • @shafa3810
      @shafa3810 5 ปีที่แล้ว

      Fuata lilo xawa.... Wacha maswali ya kipumbavu

    • @abdullahabdul7968
      @abdullahabdul7968 5 ปีที่แล้ว

      Okay

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 5 ปีที่แล้ว

    VURUGU YA MIAKA YA 2000 TANGU HUKO NYUMA AYAKUWEPO

  • @NMJAsaid
    @NMJAsaid 5 ปีที่แล้ว

    Tumeelewa kuwa ni msimamo wako

  • @matumbistanmikau2895
    @matumbistanmikau2895 5 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa sheikh. Hakukuwa na internet wala simu, twabaan. Je hii mipaka ya Tanzania, Kenya nk ilikuwepp? Ikiwa hadithi inasema kila MJI na si nchi na mwandamo wake. Je kwanini watu Dar es salaam wafunge kwa mwezi wa Mombasa?
    Haki ikidhihiri batili ujitenga.

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 ปีที่แล้ว +2

    Halafu ukitoka hapo unadai uislam dini ya ulimwengu mzima, mwezi ukiandama sehemu ya dunia, unakataa!!!

  • @mudychizo4502
    @mudychizo4502 4 ปีที่แล้ว

    Huo nimsimamo wako juu arafa someni somanvo araf ni moja tu hakuna arafa nyingi Tanzania haina arafa kenya sijui uganda wekeni araf kila nchi xx mxiwavuruge wasio xoma mkawapeleka mnavyotaka zungumza haki tu shekh acheni majungu bana nyie vip?

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 ปีที่แล้ว

      Kwani Arafat maanake ni nini kulingana na uwahabi

  • @fadhilijuma5703
    @fadhilijuma5703 5 ปีที่แล้ว +5

    Sheikh kama unajua kuna khilaf katka masala mbona unakuwa wa kwanza kuvuruga akili za wasio na maarifa katka dini . Kuwa makin kumbuka hii ni dini .ulichokuwa unakanusha mwanzo wa maneno yako ni kipi au ulikuwa umesahau kuwa mambo haya wametofautiana ulamaa wa kubwa? mche allah sheikh!

    • @abubakarsalim1505
      @abubakarsalim1505 5 ปีที่แล้ว +1

      Hana dalili aongea yake tu atoe hadith

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 5 ปีที่แล้ว

      Abubakar Salim
      Dalili ya aya hukuisikia?

    • @abubakarsalim1505
      @abubakarsalim1505 5 ปีที่แล้ว

      @@muhammadkhatwab iko wapi sijasikia

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 5 ปีที่แล้ว

      Basi hujui DALILI ni nini..
      Nenda kasome

    • @omarmbarak1579
      @omarmbarak1579 5 ปีที่แล้ว

      Fadhili Juma huyo Muhammad khwatab pia chama kimoja cha kupotosha watu watafata Vipi wenye kupinga maulidi hawawezi Hilo lazma wafate mashekhe wao hana dalili hapo ni aya katafuta kuiyeka hapo ili asukumize maneno yake

  • @maheralmuayqily1900
    @maheralmuayqily1900 5 ปีที่แล้ว +2

    bila shaka mzungumzaji ana upungufu wa Dini na Akili..hata azungumzapo waona kbc anajua ukweli ila aamua kupotosha

    • @paladelnizer4496
      @paladelnizer4496 5 ปีที่แล้ว +2

      Ww uliekamilika kidini na kiakili kwa nn hausimami na kuongea utupe ftwa zako. Nyinyi n wale wale vibaraka vya suudia

    • @alikirobo141
      @alikirobo141 5 ปีที่แล้ว +1

      Wewe na yeye nani asie na elimu?

    • @jumaakhalfan485
      @jumaakhalfan485 5 ปีที่แล้ว

      Una mtindio wa Ubongo

    • @maheralmuayqily1900
      @maheralmuayqily1900 5 ปีที่แล้ว

      Ali Kirobo tatizo sio Elimu tatizo ni kupatia ukweli...alichokiongea naomba mnipe Dalili maana hakuna ayah wala hadithi isemayo tufunge siku ya Tisa natoa angalizo.WALLAHI likipatikana andiko lisemalo kufunga siku ya Tisa wallahi ntakupeni zawadi ya LAKI 1

    • @maheralmuayqily1900
      @maheralmuayqily1900 5 ปีที่แล้ว

      Pala Delnizer ingia ktk website yetu ya Markaz Uthmani bin Affan uzione hzo Fatwaa

  • @badbessth
    @badbessth 5 ปีที่แล้ว +1

    kulikua na mawingu Mombasa Tarekhe moja
    lakini siku ya pili tuliona mwezi mkubwa ulio kawia kwa masaa sheikhe

    • @AbuuRuudaynaa
      @AbuuRuudaynaa 5 ปีที่แล้ว +1

      thbadbess hoja sio kwamba mkubwa hoja yeye nguvu uliuona kabla ya siku haujawa mkubwa

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 5 ปีที่แล้ว

      Madamu mwezi haukuonekana basi tarehe haianzi, hata kama mwezi ulikuwepo umefichika na kiwingu

  • @omarimwigula3248
    @omarimwigula3248 5 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo tarehe 09 ya sehemu nyingine tofauti na saudia watu wanapo funga wanaita funga ya nini jamani Dunia haipishani siku inapishana masaa tu

  • @mybabyarchive2104
    @mybabyarchive2104 2 ปีที่แล้ว

    Wameshindwa kutuweka misikitini pamoja wanataka umoja wa dunia nzima wametukuta misikitini tukiomba dua ya pamoja wakasema la kila mtu aombe kivyake leo wanataka Umoja wa Idi dunia nzima msikitini wametutenganisha ktk dua baada ya swala madai yao si kweli

    • @mdoekibai3991
      @mdoekibai3991 2 ปีที่แล้ว

      umeonae? namm naongeza kdg kwamba hawa jamaa niviruc kwenye dini yetu

  • @abuanmarabubakar
    @abuanmarabubakar 5 ปีที่แล้ว

    we ndio mpumbavu zaid kuliko wote

  • @nasibuabdul1055
    @nasibuabdul1055 5 ปีที่แล้ว

    Nn maana sasa ya technology bax msipeleke watoto wenu shule maana

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 5 ปีที่แล้ว

      Hukmu hazibadiliki kulingana na technology

    • @nasibuabdul1055
      @nasibuabdul1055 5 ปีที่แล้ว

      @@muhammadkhatwab apo hukumu itakua aijabadlika maana zaman upatikanaji wa taarifa ilkua ngumu now znapatkana

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 5 ปีที่แล้ว

      Ibada zimefungamanishwa na mwezi muandamo

    • @nasibuabdul1055
      @nasibuabdul1055 5 ปีที่แล้ว

      @@muhammadkhatwab sasa mbna ukianda maeneo mengne bakwata awakubali???

  • @saeedal-awen2190
    @saeedal-awen2190 5 ปีที่แล้ว

    wewe acha ubwege. sheikh ubwabwa

  • @aminayusuph9839
    @aminayusuph9839 5 ปีที่แล้ว

    Kwahyo Shekhe kumbe tuna miezi mingi daah nyie al ihsaan nyie duuuh sasa Kama mtu unamuona anapotea usimkemee tuacheni kupenda pesa na kuuficha ukweli

    • @paladelnizer4496
      @paladelnizer4496 5 ปีที่แล้ว

      Ww huna haja ya kubishana. Shekh ashakwmbia fuata pale unapotaka, kikubwa adabu ya ikhtilaaf ndio inayotakikana

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 5 ปีที่แล้ว

      Mwezi ni mmoja lakini miandamo inatofautiana.
      Kama ambavyo juwa ni moja lakini nyakati tunatofautiana

    • @mukhtarabdulrahimu3455
      @mukhtarabdulrahimu3455 5 ปีที่แล้ว

      Kasome tena