*➖Zaburi 20:8➖* Wao wameinama na kuanguka, Bali sisi tumeinuka na kusimama. MUNGU awafanye adui zako kuinama na kuanguka katika ulimwengu wa roho na ulimwengu wa mwili katika jina la YESU Kristo aminaaa Bwana YESU KRISTO akupe kuinuka na kufanikiwa katika mipango yako mizuri ktk jina la YESU Kristo aminaaa ROHO MTAKATIFU akuongoze usiku na mchana ukawe na wiki, mwezi na mwaka wa mafanikio ktk jina la YESU Kristo aminaaa Ni wakati wako wa kuinuka na kuangaza. Mungu akubariki sana mpendwa
Go mdgo wang kaz nzur
Shukran sana kaka mkubwa
Kila hatua na dua tutafika big up
Thanks ndugu yang
Iko Makin Sana imenibarki Sana hii ngoma
Shukran sana
Safi sana mdogo wangu mungu azidi kukupa mafunuo zaid
Amina💪🏿💪🏿💪🏿
Ahhh kk bongee kaz nzur
Assnte sana ndugu yang
Wimbo mzuri, barikiwa sana
Thanks sana
Hongera Sana bwana shem kazii nzuriii sana
Thanks sana bwana shemeji
Mwanzo mzuri
Thanks sana
Sawa mtumishi
Ndioooo kaka mje
Nzuli sana mukali wangu
Asante sana
Umejitaidy kuimba gosple nzury nim ekubali San jitaidy kufunga na kuimba utafanikiwa tu hakuna kishindikanacho chini ya jua k a mungu ANORDY SIMBA
Amina Sana
Nice dear huyo aliyedislike ni mnafiki
Kabisa 😁😁
Like gozibert guy nice so much
Nakubal mzee tupo pamoja
kazi nzuri mkuu Mungu azidi kukuinua
Amina kaka Matto
For sure unaimba vzur sanaa 🥰🙏
So good my blood
Thanks ❤
Umetishaa
Shukran sana
Umejtahd sana ndgu yangu nakubal
Nashukuru sana kaka
Nice blood MUNGU akutie nguvu
Amina
Kaz nzur sanaa
Shukran sana💪🏿💪🏿💪🏿
Nic bro kamekaa
Nakubal sana
Big up ma young brother
Thanks so much
Kaka ngoma Kali kila hatu Nenda Na Mungu ndugu yangu
Amina kaka
Nice brother i like the message
Shukran kaka mkubwa
Safi sana mkuu wangu
Amina kaka mkubwa
Nimegeuka........good song Prosper
Vizuli
Thanks sana kaka mcheri
Kaka keep it up
Nakubal kaka
Be blessed sana kaka
Mungu akubariki sanaaa
Amen broh
Big up brother
Thanks sana
Huwa sina pingamizi na ngoma zako kaka P Mr Big
this is awesome man
Thanks sana kaka mkubwa
So amazing my kaka,,,barikiwa sanaaaa
Amen amen My Dear Sister
Nice song
Ahsante sana
🔥🔥🔥🔥
thanks
Umefanya vzuri dam yangu
💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿 nakubal sana
*➖Zaburi 20:8➖*
Wao wameinama na kuanguka, Bali sisi tumeinuka na kusimama.
MUNGU awafanye adui zako kuinama na kuanguka katika ulimwengu wa roho na ulimwengu wa mwili katika jina la YESU Kristo aminaaa
Bwana YESU KRISTO akupe kuinuka na kufanikiwa katika mipango yako mizuri ktk jina la YESU Kristo aminaaa
ROHO MTAKATIFU akuongoze usiku na mchana ukawe na wiki, mwezi na mwaka wa mafanikio ktk jina la YESU Kristo aminaaa
Ni wakati wako wa kuinuka na kuangaza.
Mungu akubariki sana mpendwa
Amina kaka ujumbe mzuri
Nimebarikiwa
Amina kaka mkubwa
👌👌👌👌👌👌 great song i love it🥰🥰🥰
Thanks so much
Nice
Thanks sana
Balikiwe
Amina🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Kaka hii ni kz mkuu
Nashukuru sana ndugu yang
Kazi nzuri Blessed
Thanks sana kaka
Pamoja sana
Fireeee bro
Nakubal
Mungu akufikishe upendapo
Amina
🙆🙆🙆🙆
Utulie hivo hivo
🔥🔥🔥
Sana mzeee
This song is really lovely 🥰
Thanks so much
Nyce bro
Asante
Nice
Thanks
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
💫
Nice