Mwanza town choir - swali la Ajabu
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
- original cassette tape ©1971
Mwanza town choir all rights reserved
© copyright 1996 "I bought it" Emmanuel Peter true Gospel channel 🇰🇪 kindly Subscribe....
support my channel M-pesa +254796044940
WARNING ‼️‼️‼️
Reposting any part of the video you will be considered COPYRIGHT infringement, be warned ❗❗❕
DISCLAIMER!:
NO copyright infringement intended
#Emmanuelpetertruegospelchannel
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ilikua kazi nzuri
Very nice songs,,unaeza upload zote bro zinabariki sana walai
How i was able to memorize all these songs ad can sing them amazes me...❤i love this channel
Asante sana barakatere
Yaani the song is 51 yrs old and still fresh,enyewe old is gold
Ndio hivyo ndugu.watu wa zamani walikuwa katika roho mtakatifu na kujitoa kwa kazi ya Mungu kwa moyo mmoja Tofauti na sasa! wanaimba nyimbo kwaajili ya show na pesa
Emmanuel Peter, hakika unaturejesha kwenye raha za zilizopendwa na AIC Mwanza Town Choir. Ubarikiwe sana. Zidi kutuletea Album zaidi.
Amen
Thanks so much for God's work. God restore those singers
Another great song.
Thanks for uploading this song. I heard it last in early 90s
Peter, 🤗🤗👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿you made my day bro!
Emmanuel Peter, nakuomba uiposti humu Album hii na nyimbo zake zote za mwaka 1971. Ninahisi utukufu wa Mungu unaiburudisha nafsi yangu kupitia nyimbo hizi!
Nahisi na wenzangu wengine pia wanabarikiwa...Aminaaa!
When songs were lead and endorsed by the Holly Spirit
Very true
Thank you so much Emmanuel ubarikiwe sana ndugu
Very blessing song. Yesteryears
Great classical lyrics by Mwanza. Oh, bless you Emmanuel and thank you so much
Be blessed my brother ❤️❤️
Thanks for the song brother Peter.May God bless you.Brother Peter could you please get for us asong tutarukaruka na yesu by prison training choir Wilson majale.
Stay tuned
Been looking for this song. What a blessing
Be blessed brother as I promised to you
Peter, tafadhali sana u'upload' AIC Mwanza Town Choir zilipendwa 'Alikuwa na Moyo wa Huruma', na 'Nimekosa Mbele za Mungu'.
Very wonderful songs! Indeed old is gold. Thanks Peter for these songs.
Please find for me a song which goes as follows, and upload:-
"Fadhili zako Bwana, naziona wasi, upole wako Bwana, tumaini letu...
Na upendo.... Wako Bwana,
Na upole... Wako Bwana,
Niumbie imani na upendo wako."
Alright by what choir specific
@@emmanuelpetertruegospelcha3331 I really don't know which choir sang it. I only know those few lines.
Okay voice note that via WhatsApp number +254796044940
Hi, bro. Inspiring music, how can someone download the audio please?
In the download button below the video
Peter, tafadhali sana 'upload' Album nzima yaani nyimbo zote zilizomo kwenye Album hii ndugu yangu. Tunahitaji kuendelea kubarikiwa na nyimbo hizi zenye maudhui yasiyochuja kamwe!!!!!
please upload the whole of this album if you have it. Or if it is huge I can send you my gmail so that u upload it on google drive
Amen
Amen be blessed
Amen