MAASHA ALLAH kazi kubwa sana sana sana tena inayostahili sapoti maana ina MAFUNDISHO MAKUBWA,.
Nawaomba Watazamiaji wenzangu na wadau msikatishe tangazo lolote linalokuja wakati unatazama tamthilia maana kutazama kwako bila kukatisha tangazo ndio sapoti yako kwa vijana hawa wanaotuburudisha na kutuelimisha ❤❤❤
Shukrani san kwa msaada wa elimu huu ulioutoa.Kaka mungu akubariki sana na bado naendelea kuwafahamisha watu waje kutazam acount yako.Ya elimu ya tiba asilia
Shukuran sana kwakutumalizia allah awape afya njema ili muweze kutuletea stor nyengine za mafuzo
Allahuma amin na kwako akupe her na rizik pia usiache kufuatilia super woman ni nzur san
Mjomba miwani kama ndege John 😂😂 umejitahidi mwaya dada umeigiza vizuri sana na wifi zako
@@BinMahsen asalaam alaykum walahmtullah wabarakatu boss upo kimya shida nn tuletee mzigo mpyaa
@@jasminiIssa-y2q waleykum salam warahmatullah wabarakat..Nimeshindwa kuingia set baada ya kukutwa na msiba mkubwa katika upande wangu ila soon na pia kuna mzigo unaendelea unitwa super woman ila inshallah soon narud tena
Mashaallah tabarakallah Allah awazidishie ktk vpaji vyenu aaamn.
Alf hii ndo episode y mwisho kambae
Alllahuma amin na kwako pia akupe ruzuku ndio dadangu ila usiache kufuatilia ile super woman ni nzur pia tena san na kuna elim kubwa
Kazi nzuri saana lakini mnachelewesha saana hadi tunawasahau
Jamni samahani sana tatizo kulikuwa na kazi tatu zaruka zote hivyo ilinibidi nitenge siku maalum
Mjomba tamu yako shenzy ww ....wazee kama Hawa wanafaa kupigwa moto mpka wafe iwe funzo kwa vizee wengine😢
Mawifi limewashukaaaaaaah na rohoo zenu mbaya ndio mana amuolewi😂😂paka mume uwa kakaenu mbona amjaritishwa nyie
Kazi nzuri sana❤❤
Assnteee san❤❤❤❤