MIRAJI | HUKO COAST KOCHA ANA BEGI MGONGONI 😂| INJINIA KASHAPITISHA FIMBO YA MOTO YANGA KUMETULIA😂

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 80

  • @alisalmin512
    @alisalmin512 20 วันที่ผ่านมา +9

    Assalaam aleikum, nawatakia jumma njema sote amiin. Kazi mzuri mnaifanya. Tunafrahi nikiwa Saudia nawafatilia

  • @user-vi7ly9zh1q
    @user-vi7ly9zh1q 20 วันที่ผ่านมา +9

    Kutoka Oman 🇴🇲 nawapata vizuri Ally kamwe the best 💚💛💛💚

  • @VeronicaNyondo
    @VeronicaNyondo 20 วันที่ผ่านมา +3

    Miraji ametunukiwa kupenda soka, great thinker 👍👍

  • @africanbuddah7141
    @africanbuddah7141 20 วันที่ผ่านมา +10

    Kila nabii na zama zake Alikamwe ndio king kwa sasa no doubt

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 18 วันที่ผ่านมา

    Yani mpaka mseme kenge nyie naona ma queen wameanza kulalamika😅😅😂😂😂

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn 20 วันที่ผ่านมา +1

    Uko sawa Miraji siyo sahihi kumfukuza KOCHA Bali wacheza waliopo siyo wazuri viongozi wajirekebishe!!

  • @AllyJuma-mq5uq
    @AllyJuma-mq5uq 20 วันที่ผ่านมา +4

    ❤❤❤❤ sema chagamba unamazoez ya begi

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 20 วันที่ผ่านมา +1

    Nimewapenda Bure Kwa maada yenu nzuri na inaleta motisha sana

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 20 วันที่ผ่านมา +9

    Asante Mungu, leo nimepata chama langu live, kilasiku nawai kilalo

  • @abdallayunnus3475
    @abdallayunnus3475 19 วันที่ผ่านมา

    Chagamba miraji big up

  • @thegreat6626
    @thegreat6626 20 วันที่ผ่านมา +3

    matisheti ya FILA na NIKE tumevaa sana😂

  • @charlesmtamala4912
    @charlesmtamala4912 19 วันที่ผ่านมา

    familia 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 🤞🤞

  • @OmaryBopary
    @OmaryBopary 20 วันที่ผ่านมา +1

    Chagamba huyo jamaa hatakuvunja bega kwakweli😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @user-kk5hq4sk5d
      @user-kk5hq4sk5d 20 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂 dakik mbili kasha piga bega la mwenzie 😅😅😅😅

  • @charleslinhege690
    @charleslinhege690 20 วันที่ผ่านมา +3

    Miraji jirekebishe. Sema ukweli juu ya goli la mama Kwa Simba queen

  • @thauriayetu6159
    @thauriayetu6159 20 วันที่ผ่านมา +35

    Chagamba wadau wako wote ni wanasimba ungetafuta na shabiki mmoja wa yanga ukawa unafanya nae mahojiano kama hivi nadhani itanoga zaidi

    • @superwomen233
      @superwomen233 20 วันที่ผ่านมา +2

      Mbona yupo mmoja hivi na anajuwa kuuchambuwa mpira vizuri tu

    • @thauriayetu6159
      @thauriayetu6159 20 วันที่ผ่านมา +1

      @@superwomen233 sina hakika lakini hata kama yupo sio wa kudumu,tunataka yule mtu ambae tunakaa kusubiri interview yake kama ilivyo kwa miraji na Mzee Said.

    • @ianak4
      @ianak4 20 วันที่ผ่านมา +3

      Miraji anatosha sana kwa sababu haegemei upande mmoja, na akiegemea anaweka wazi hivyo inakuwa poa tu (mimi ni Mwananchi ujue)

    • @allymtunge5530
      @allymtunge5530 20 วันที่ผ่านมา

      Asa shabiki wa utopolo atqongea nn zaidi ya kubishana

    • @twalibuchaye7687
      @twalibuchaye7687 20 วันที่ผ่านมา +1

      Acha unazi wa kibaguzi

  • @ramadhanimpapalika7131
    @ramadhanimpapalika7131 20 วันที่ผ่านมา

    Goli la Mama ngoja afike club bingwa kwanza

  • @BADILIJUSTUS-fs3oo
    @BADILIJUSTUS-fs3oo 20 วันที่ผ่านมา +1

    Miraji acheni chuki manara huwezi kumtenganisha na simba na mpira wa Tanzania manara ni mwanasimba na anamvuto kwa simba kuliko msemaji yoyote wa bongo akiwa ni simba manara ata uunganishe Ally kamwe na Ahmed hupati manara huo ndio ukweli manara ameshindwa kuhit yanga sababu ya kuipenda simba

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 20 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂tukianza ubaya ubwela tunachukua wachezaji wenu wooote wa simba queen yani inatutia aibu sana timu yetu yawanawake kiukweli natamani ile ya jkt ingekua yetu ila sina namna wote wakina tresha tutawarudisha inshallah tumuachie makamu wa rais arfat na kocha mpya edina yani mtakoma tunataka timu zetu zote zifanye vzr adi ya under20 miraji

  • @user-ec3iz6pg2i
    @user-ec3iz6pg2i 20 วันที่ผ่านมา +2

    Huu nimfumo wa kibiashara kabrand hivyo na sianaenda soka kijiweni na maeneo mengi mbona

  • @ramadhanihabibu-xp3wd
    @ramadhanihabibu-xp3wd 20 วันที่ผ่านมา +4

    Chagamba baki na wadau WA Simba wadau wa yanga watakuroga ila Simba Maisha safi

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 20 วันที่ผ่านมา +1

      Ndo mnachowaza ushirikina muda wote hakuna kingine cha maana mnachowaza

  • @wimranpatrick
    @wimranpatrick 20 วันที่ผ่านมา +2

    China wanamwanaa

  • @mohamedkaranje8678
    @mohamedkaranje8678 20 วันที่ผ่านมา +1

    Manara arudi tu simba

  • @fadhilimbonea479
    @fadhilimbonea479 19 วันที่ผ่านมา

    Kua makini na huyo jamaa atakuja akuvunje bega chagamba

  • @wimranpatrick
    @wimranpatrick 20 วันที่ผ่านมา +2

    Miraj sanda inaka kwake

  • @user-rj2qv7cw5g
    @user-rj2qv7cw5g 20 วันที่ผ่านมา

    😂😂 coast tusome albadili😂😂

  • @user-xd4lu1xl6c
    @user-xd4lu1xl6c 20 วันที่ผ่านมา

    Kosta tamaa

  • @amanilupembe9788
    @amanilupembe9788 20 วันที่ผ่านมา

    Thaulie umasema chagamba tafuta shabiki wa yanga kama mzee saidi

  • @kenanjohn2062
    @kenanjohn2062 20 วันที่ผ่านมา

    Perfect combo😅

  • @ElizabethLukosya-lv2vf
    @ElizabethLukosya-lv2vf 20 วันที่ผ่านมา

    Huyo ropo ropo manara,asingefikisha miezi sita,angefungiwa tena huyo,bora mmemshitukia mapema 🤣

  • @MussaKingu255
    @MussaKingu255 20 วันที่ผ่านมา

    Bado wiki 2 chagamba ataota sugu kwenye bega au atatembea upande upande mana sio kwa makofi hayo😂😂

  • @IsayaKomba
    @IsayaKomba 20 วันที่ผ่านมา +3

    😢shida mashabiki wengi wa yanga hawajui kuelezea jambo Fulani wengi wao uelewa wao ni mdogo ,mfano Mzee wa utopolo ataeleza Nini hapo na ukaelewa?

    • @iddysekamba
      @iddysekamba 19 วันที่ผ่านมา

      Wewe unagongwa..

  • @chrispinrafael3831
    @chrispinrafael3831 20 วันที่ผ่านมา +1

    Ndoo ivyo awe anaendelea kuoji wanasimba maana ata uyo chagamba ni Simba sio mwandishi wa habariuyo mazara yake awezi kuyaona wafuasi wamepungua

  • @user-vw6ic4ho4r
    @user-vw6ic4ho4r 19 วันที่ผ่านมา

    Chagamba mwenyewe simba Lialia,hiyo ni chanal ya simba live

  • @YunusHuseni
    @YunusHuseni 20 วันที่ผ่านมา

    Miraji mara moja hilo bega la chagamba mbona kama vile anavumilia 2 hataki kusema anaumia unajua

  • @MamuJuakali
    @MamuJuakali 20 วันที่ผ่านมา +1

    Yani simba saiv wanongeria simba jike inamaana simba dume kashang'oka meno

  • @ibrahimsaleh9204
    @ibrahimsaleh9204 20 วันที่ผ่านมา +1

    Chagamb tafta int view na waxhbki wa tim nyengne ata azam yng xngida xo ximb 2 kila int view

    • @kenanjohn2062
      @kenanjohn2062 20 วันที่ผ่านมา

      Hutaweza kuona hiyo kitu inatokea coz hao ni wana Msimbazi

  • @ernestkamata2555
    @ernestkamata2555 20 วันที่ผ่านมา

    Miraji uchambuzi wako unavutia sana

  • @user-yz6ds9hn9l
    @user-yz6ds9hn9l 20 วันที่ผ่านมา

    Msiwalete watu waende huko kwenye watu wao wanakotukashia hawana uchambuzi bali kuitukana simba, wambokile wana tv zao

  • @user-yr4pv2vj7m
    @user-yr4pv2vj7m 20 วันที่ผ่านมา +1

    Wazeee watanga wasenge tena wasenge tim zingine tanga zina panda ringi wana zishusha kwa figisu iri tanga nzima ibaki kost.....uo.ndo.usenge wa tanga

  • @rahmasaid9588
    @rahmasaid9588 20 วันที่ผ่านมา

    kweli ebu tafuta na wadau wa nyanga 2 mambo yatakuwa mazuri

  • @hermantutuki4396
    @hermantutuki4396 20 วันที่ผ่านมา

    Em acheni ujinga hakuna timu inacheza kwa sababu ya motisha. Huyu Mama acheni kumlisha maneno

  • @user-eq6fk5hw4p
    @user-eq6fk5hw4p 20 วันที่ผ่านมา +1

    Chagamba tafuta mike ya kupachika ili umhoji akiwa mbali na wewe vinginevyo Kila siku utatafuta dawa ya kuchua bega

  • @user-zj8ks2or2p
    @user-zj8ks2or2p 20 วันที่ผ่านมา

    Miraji punguza ushabiki costal hata angekuwa bora vp hawezi kuwatoa wale waangola

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 20 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂

  • @user-ec3iz6pg2i
    @user-ec3iz6pg2i 20 วันที่ผ่านมา +1

    Manara ni simba hata ashike msahafu wa dini yake yeye hajali kuapia anaapia tu huyo ni mnyama na hapowi hapowi simba udogoni kwake alikua anatatizana na wazee wake kitwana manara sannde manara kasim manara juu yasimba anamapenzi tangu ananyonya

  • @user-ec3iz6pg2i
    @user-ec3iz6pg2i 20 วันที่ผ่านมา +1

    Umemsikia anavyosema chagamba

  • @killerwizzyofficial2157
    @killerwizzyofficial2157 20 วันที่ผ่านมา +1

    ngonge la show

  • @salimumsoloni
    @salimumsoloni 20 วันที่ผ่านมา

    Chagamba mbona wadauwakowote nisimbababaa hakunawayanga wanaojuwa kuchambuwa? Tafta japo mmojabas tupateradhachagambaaaaaaaa

  • @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
    @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 20 วันที่ผ่านมา

    Na gamba ni kolo pia

  • @SuleimanJuma-dv8gt
    @SuleimanJuma-dv8gt 20 วันที่ผ่านมา +1

    CHAGAMBA tuletee AMBOKILE na JUSTIN KESSY