Asante Mwenyezi Mungu kwa yote uliyotufanyia. Tunaomba utusamehe sisi na familia zetu kwa makosa na dhambi zetu, tunaomba uisamehe pia Simba SC. Tunaomba sasa utubariki sisi na familia zetu, uijalie simba sc ushindi na mafanikio siku ya jpili pamoja na siku zingine. Amina!
Asante Mwenyezi Mungu kwa yote uliyotufanyia. Tunaomba utusamehe sisi na familia zetu kwa makosa na dhambi zetu, tunaomba uisamehe pia Simba SC. Tunaomba sasa utubariki sisi na familia zetu, uijalie simba sc ushindi na mafanikio siku ya jpili pamoja na siku zingine. Amina!
Mungu ibarik simba ye2 tunashukuru mmefika salama simba.nguvu moja❤❤❤❤❤❤
Kila la kheri Simbasc mnyama #Nguvumoja
ashukuliwe mungu mmefika salama ❤❤❤❤ love 💕💕💕 you Simba forever
❤❤❤❤ Yeap Simba yangu ❤❤❤❤
Yaa Simba yangu
ilove simba ♥️🦁♥️♥️♥️🙏🙏🙏
Mungu ibariki simba na simba ifikushe mbali kwa uweza wako wanaoiombea mabaya washuhudie
Simba nguvu moja
Do as you did in Tanzania and God is with you
Mungu ibariki Tanzania'mungu ibariki Simba sc😊😅
Yesu asante umewafikisha salama wachezaji wetu
Simba nguvu moja kila la kheri naomba Mungu awasaidie mkawe na siku nzuri 🙏🙏🙏
Kagoma tunakukadhi hao, kama kawa kaka👏👏👏
Ubaya ubwela simba nguvu moja ❤❤
Ushundi❤❤❤
❤️ ALHAMDULILLAH ❤️ 🇹🇿 🇦🇪
Mungu ni mwemaaa
Asante Mungu naomba uendelee kuwatunza wana wako
E MOLA tujaa Simba tunakutegemea wewe MOLA wetu inshallah
Namuona madam CEO alhmndulilah mmefikia salama na ikawe kheri hiyo Juma pili inshallah
Kila la heri Mnyamaaaa❤❤❤❤
Mungu ibarik simba mungu ibarik Tanzania
Alie ona trekta gonga like hapa😂😂😂😂😂😂
Khaaa kweli aiseee 😂😂😂😂
Mgu ibaliki simba ❤❤❤
This is simba
Anaejua kazi ya Hilo trecta gonga like
❤❤❤❤❤❤
Mungu atutangulie ktk mechi hiyo zidi ya waangola
Mungu awape ushind
Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema wajalie kila lenye heri kwenye mchezo wao
Mungu ni mwema😂😂🎉🎉❤❤
Kila la Heri my team
Mungu awaongoze❤
Jamani mechi lini😊
Jumapili Insha allah saa 1 ulikuwa
Best team❤
My team Simba sc ..I wish u all the best
Mashabik weng tuna ham ya kujua sajil zetu kama tm haisjl tujue, ila me najua huko angola ushnd n constant as pie😊😊
Ubaya ubwela Hadi huko kwao❤
MUNGU wabariki wapambanaji wetu na uwatie nguvu walinde na juma pili tusaidie tushinde mechi yetu
Nguvu moja
🎉🎉
Kila la kheri myama nguvu moja
Kila la heri mnyama ssc
Hawa jamaa kwa kwa kujituma na uwezo wa mwenyezi Mungu watashinda
Kila la Kher mnyama
🎉🎉👋🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mungu awafanyie wepesi wachezaji wetu simba 🦁 guvu moja
Wakwanza leo
Kila la kheri
Hakika tutashinda
Okay
Ubaya ubwela
Kila la heri chama langu
Asate mugu mmefika saram
Hii ni mechi ya kufuzu kwenda Robo fainali ya CAF Confederations Cup🏆. Kujichanganya kidogo tuuu, uchungu utakua mkubwa na kuanza kutafutana
Tutamfunga mwarabu hapa kwetu lkn muangola aku
Acha kukata tamaa weee
Huyu mashaka kaenda kufanyia nini huku jaman
MUNGU AWABARIKI MWENDE MKAPAMBANE SNA. MABEKI WA SIMBA MSIACHA LANGO LENU LIPITIKE KIULAHISI. FUNGENI MLANGO ADUI ASIINGIE
Mpanzu sijamuona
Umeangalia vizuri Wewe
Angalia Nyuma Ya Chasambi ni nani anaefuata
🇹🇿🦁♥️♥️♥️♥️♥️👏👏👏👏👏👏👏💪💪💪🙏🙏
𝑵𝒂𝒘𝒂𝒕𝒂𝒌𝒊𝒂 𝒘𝒂𝒄𝒉𝒆𝒛𝒂𝒋𝒊 𝒘𝒂 𝒕𝒊𝒎 𝒚𝒂𝒏𝒈𝒖 𝑺𝑰𝑴𝑩𝑨 𝒏𝒈𝒖𝒗𝒖 𝒎𝒐𝒋𝒂 𝒌𝒊𝒍𝒂𝒍𝒂𝒉𝒆𝒓𝒊 𝑨𝒍𝒍𝒂𝒉 𝒚𝒖𝒑𝒐 𝒑𝒂𝒎𝒐𝒋𝒂 𝒏𝒂𝒔𝒊 𝒊𝒏𝒔𝒉𝒂 𝑨𝒍𝒍𝒂𝒉 𝒕𝒖𝒕𝒂𝒔𝒉𝒊𝒏𝒅𝒂 𝒕𝒖𝒉 ❤
Nguvu moja
Ubaya ubwela
Ubaya ubwela