Afya uzima kumuombea mzee wetu ally zahir zoro tumefurahi interview hii huyu mzee alikuwa mwansmziki kweli kweli na bado voice vocals ipo aisee inapendeza sana #wasafi_TV 🔥🔥
Inajulikana tosha kuwa wanamuziki wanatumia madawa ili waweze kuimba jukwaani wanamuziki wengi marekani wamefariki na madawa tena wengi wamejiua wenyewe baada ya kutumia madawa sababu madawa yanamfanya mtu asielewe anachokifanya
@@Mpakauseme sijasema wanamuziki wote ila walio wengi hawawezi kusimama jukwaani na kuimba bila kilevi ndiyo maana unakuta wanamuziki wengi wakongwe wa bongo fleva sasa hivi wamekuwa mateja kama akina Daz baba ni kwa sababu wakiwa kwenye game walianza kutumia madawa na baadaye kuwa teja wa hayo madawa na kupotea kimuziki
Natamani nikizeeka niwe kama wewe mzee wangu mie napinga sana watu kufake kama unapenda kitu flani au wapenda bling bling live your happy life...wabongo wengi wanafiki wanapenda kujaji tu
Point ya kizazi sana, utaskia mrudie Allah acha mziki ushazeeka kwann jamani, mtu maisha yake yote ni mziki tena ndio furaha yake, kuacha manake asiwe na furaha tena au? aichukie dunia? Fake people
Legendary anafurahisha sana😁😁 yaan unajiuliza maswali halaf unacheka tu mwenyewe.. Legendary noma sana huyu..
Mzee Umri unakuacha fanya umrudie Allah (sw)
Kwa hiyo ukiwa kijana hutakiwi kumrudia alah mpaka uwe mzeee
Majengo
th-cam.com/video/tBIn6bSMCVU/w-d-xo.html
@@lampadshigonko3006 kaulize yale masanam mnayo yaabudu
Wazee tu ndio wanatakiwa kumrudia MUNGU? AU unafikili wanao kufa ni wazee tu!
🇴🇲Namkumbuka Mzee Zahir kwa nyimbo zake nyingi walipotoka vitani kumpiga Amin ikiwemo ya WAZAZI🎶
Afya uzima kumuombea mzee wetu ally zahir zoro tumefurahi interview hii huyu mzee alikuwa mwansmziki kweli kweli na bado voice vocals ipo aisee inapendeza sana #wasafi_TV 🔥🔥
Watu wanazeeka nayao bwanaa salute mzee zoro
Huyu ndiye mwanamziki 🙏🏽🙏🏽🙏🏽👍👍👍❤️❤️❤️❤️
Father heshima yako upo vizuri sn 🔥nakubali
Zahir ally zoroo hongera nimefurahi sana kwa mahojiano story pamoja uwazi
Majengo
th-cam.com/video/tBIn6bSMCVU/w-d-xo.html
5:15 wonderful blues... what a touch!
Majengo
th-cam.com/video/tBIn6bSMCVU/w-d-xo.html
Mzee kweli legend. He's the best
Mzee Yuko vizuri quality ya guitar ndo inamuangusha Angekua na guitar nzuri
Guitar iko safi, haina shida hata akishika chords zinasikika fresh kabisa.
Haija tuniwa vizur tuu guitar
Ipo vizuri guitar
Hongera sana kwa kuongea ukweli karibu robo tatu yako ya maisha yako
Daaah longtime ago mzee bdo anasquti kinanda kama watt wake m/mungu azidi kukuwekq mzee
Ukifika uzee lazima usimulie hitoria yako🔥🔥🔥🔥🔥
Huyu mzee yuko very wise 🙏🙏
the old man is very good at playing the guitar
Ni yeye au namfananisha uzee huo bado na macheni cheni mhmhmh pole mzee hasara roho
Mzee Fundi sana uyu 🔥 🔥🔥
Daah mzeee wa stori sana na ni vocalist hatar sana
th-cam.com/video/o1KrGVUI2lQ/w-d-xo.html
Mo town thank you sana you know your work you deserve a promotion or salary rise 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Penda sana huy mzee Allah akulinde
Mzee upo vzr tena gitaa unajua kulichapa
Mo town ni zaidi ya mtangazaji na mbunifu sana
Nampenda sana uyu Mzee na pamoja na Mwanae Banana, nawakubali sana.
Amepungua Sana hyu mzee
Kila mtu anahistory yake 😀😀😀 ila Allah atupe mwisho mwema ,dah mzee amezeeka .
Majengo
th-cam.com/video/tBIn6bSMCVU/w-d-xo.html
Asante mwajuma
Mzee ludi kwa mungu achana na muziki
Kwa Mungu ni wapi?? 🤣🤣 Na muziki ndo umempa maisha,
Mbinguni mtaenda mkifa 😂😂 tubu siku ya mwisho, mashehe na wachungaji wenyewe wanaishi kwa sadaka, tafuteni hela Mungu ndo hutoa vipaji, 😂😂
🤣😂
@@mybrain8940 🤣🤣🤣🤣
@@mybrain8940 duuuh
Daah!!!! Staki kuamini kama mzee unakula unga mzee wangu lakini dalili naziona kabisa nisamehe kama ninaona tofauti
Ni teja yeye na mwanawe maunda
Ninkweli anakula ?? So sad
Nn kinakufanya uhisi hivyo, dhana ni mbaya
@@arlife9489 Sikuwa najua hili.
Acha umbea wewe na kufuatilia maisha ya watu ! Get a Life
Napenda kuimba Live ukinunua Vyombo naomba kazi
Heshima sana kwa mzee Zoro
Mo town sanya umetupiga na kitu Kizito ayaaaa ayaaaa nakupendaaa nakupendaaa sana😁😁😁
Mzee yuko fit aiseeee
Duhhhh! Noma sana💪💪👏👏👏
one of the best interview
Majengo
th-cam.com/video/tBIn6bSMCVU/w-d-xo.html
Mzee msela
Dah mzee ,unajua Ila umeezeka sasa,Ila maneno bado yapo sn
Mzee Zahir kapungua sana
Montan Sanya big up # mzee Zolo hii Interview noma halafu location yenyewe
Ni motown sanya
😆😆😆Eti nani Montan au Motown
We Miss u Zahir Zoro
Mzee wetu iko gado kabisi Nice
Mzee yuko Sawa kabisa kwa kuimba
Like za mzee zolo
Huyo Zorro ni mteja sio pombe tena uteja wa uzeeni 🎼🎸🎺
th-cam.com/video/o1KrGVUI2lQ/w-d-xo.html
Allahidiii yaarabi. Mungu awahidi kwakila alie potee. Ameen
Kuw na AdAbu chawa ww
@@saleheinnocent7636 tena nichawa wa baba levo bora angekua wa simba
@@aminaally9156 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mzee mi namuelewa sana
Subhannallah nilijua mwanamke duhhh mungu nisamehe kwa kuhis bila kujua
Huna akili
@@souvenirweber7169 na ww pia huna akili
Nyote Amuna Akili
@@neemazee1864 ww pia unaeon wenzio hawana akili pia unahusika huna akili
@@munaahmed8499 mamae
Inajulikana tosha kuwa wanamuziki wanatumia madawa ili waweze kuimba jukwaani wanamuziki wengi marekani wamefariki na madawa tena wengi wamejiua wenyewe baada ya kutumia madawa sababu madawa yanamfanya mtu asielewe anachokifanya
Sio wanamuziki wote wanatumia madawa usijidanganye mwenyewe
@@Mpakauseme sijasema wanamuziki wote ila walio wengi hawawezi kusimama jukwaani na kuimba bila kilevi ndiyo maana unakuta wanamuziki wengi wakongwe wa bongo fleva sasa hivi wamekuwa mateja kama akina Daz baba ni kwa sababu wakiwa kwenye game walianza kutumia madawa na baadaye kuwa teja wa hayo madawa na kupotea kimuziki
Ni noumaaaaa sanaaaaa👍👍😁😁😍
Mzee bado una vocals nzuri sana
Kwel hyu mzee mwamba
Umejaaliwa sauti
aiseee ana vocal noomaaa
Hobgerah sana Baba Banana.
Weldone Mzee zolo
Mzee mkali sana huyu nimependa anavyoimba
Story book yake kama yangu ila mm sio mwanamuziki 😎😎
😳😳huyu mzee kazeeka au maisha yamempiga mana adi mwili umeisha khaaa
Huyu mzee n Legends
Mzee Zoro🔥🔥
Da maisha bhna mzeee asaiv upo ivo
Ila zoro alikuwa 🦁🦁mla watu 😂😂😂😂mzeee wa totoz
Amepungua Sana jaman daaah! Na cream sjui kaacha Yan mtihn Sana! By the way he is talented
🤣🤣🤣🤣🙌
Yaan bonge la interview...💯
Mzeee kazeeeka na ubora wake atariiii kweli kipaji ni kipaji sauti tu anawashinda mpakaaa kina ....
Zoro uko vizuri sana kwenye maujiano ila mazoezi yamekuwa mengi nini?
Alikua handsome hyu baba ..uzee huu jaman😔😔
Interview Ya mwakaaaaaaa
Interview ya mwaka 2021
Majengo
th-cam.com/video/tBIn6bSMCVU/w-d-xo.html
Diamond akiona hii atacheka sana kuzeeka kawaida jamani kila mtu anazeeka Kwa style yake
🤣🤣🤣🤣
Asa acheke nn mbn una akili ww
@@ngoshachaula172 kuma la mama yako
@@sbrain2892 kwl ww nkwl unahakl sasa klchokufanya utukane ni nn
Leo umepatikana ndugu mtangazaji unacheeka mwenyewe
66 years and still roaming
Subhana'Allah una adisia dhambi zako mzee?
Kamanda hilo la enzi zile
Majengo
th-cam.com/video/tBIn6bSMCVU/w-d-xo.html
Tam Sana hii Mzee Mnyamwez Sana huyu.
Huyo mzee watu wanamhukumu kutokana na mwendo wake ila ni kidume sio shoga ana matatizo ya matege
Majengo
th-cam.com/video/tBIn6bSMCVU/w-d-xo.html
Natamani nikizeeka niwe kama wewe mzee wangu mie napinga sana watu kufake kama unapenda kitu flani au wapenda bling bling live your happy life...wabongo wengi wanafiki wanapenda kujaji tu
Point ya kizazi sana, utaskia mrudie Allah acha mziki ushazeeka kwann jamani, mtu maisha yake yote ni mziki tena ndio furaha yake, kuacha manake asiwe na furaha tena au? aichukie dunia? Fake people
Nimemkubali sana huyu muzee but hapo kwa mashoga achaniwe mkweli mimi siwapendi kabisa
Majengo
th-cam.com/video/tBIn6bSMCVU/w-d-xo.html
Kutokuwapenda hakubadili kitu. Fikiria uwe na mwanao shoga. Unafanyaje? The fact that ni binadamu inatosha.
@@humphreymwihambi4330 siwezi kuwa na mtoto shoga na wallahi ungetokea ningemtoa uhai
Safi mzee
Shababi lazima uache memory
Very talent
th-cam.com/video/o1KrGVUI2lQ/w-d-xo.html
Ni hatari sana mzeee
Mzee noma sana
Mademu elf50😂😂we mzee ni balaa...
Majengo
th-cam.com/video/tBIn6bSMCVU/w-d-xo.html
Astaghafirullah waatubu illahhi Mungu tupe mwisho mwema...
th-cam.com/video/o1KrGVUI2lQ/w-d-xo.html
Amina thumaa amina yaarabby takabal duaa
@@kreamagdfsa1697 Ameen Allahuma Ameen
Aamiin ya Rabbal Allah min shukran sana kwa duwa zako
Ameen ALLAHUMA Amiin
Nice man 🥰🥰🥰
Hatar sana mzeee.... Very interesting 😁😁😁😁
Anajua sana
mzee noma sana
Sakina. Sakina ooho Sakina wangu
Interview irudiwe sijarizika jamani loooh 😹😹
Irudiwe aseee..♨️♨️♨️
Watupe part 2 hadi 10
ww baba umeshazeeka mrudie mungu wako sasa
MO town sanya🔥🔥🔥
mlikuwa mnaishi humo 6:30,
Kaz yko inaonekana @Sanya
Kumbe Mzee enzi za ujana wako ulikuwa ndie 😀😀
Duh..mzee zoro kushney
Kuwa na adabu baba ako utamwambia ivo
Kuwa na adabu baba ako utamwambia ivo
@@harounaambrose3239 kwani unajua maana ya kushney..bc kama hujui uliza zubbuwee
kitoko makas papa oza dangerous
Bigg
Nikisikia wimbo wako wa sakina siishi hamu kusikiliza
Huyu ndio mwanamuziki sasa
Jmn Mbn anakijua kizungu hv
Mzee zoro the stallion horse
Majengo
th-cam.com/video/tBIn6bSMCVU/w-d-xo.html
Mzee upo vizuri, lakini usitamke kwenye kinywa chako kuua mtu, wewe sio muuaji nakanusha hilo kabisaa !!
Aliyesema anaweza kuua alafu wewe huwezi, ndo maana mnadhuliwa usihukumu kitabu kwa kuangalia gamba lake