CHUTCU IMETOA SIKU MBILI; WAKULIMA WANACHAMA KUJIANDIKISHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • Chama Kikuu cha Ushika cha Tumaku Chunya (CHUTCU) wamepanga kutumia siku mbili kuhimiza wanachama wake wote kuhakikisha wamejiandikisha kwenye Daftari la Mkazi kwenye vitongoji wanavyoishi wao pamoja na vijana wao wanaowasaidia kutekeleza shughuli mbalimbali za kilimo cha Tumbaku wilayani Chunya
    Meneja uendeshaji wa CHUTCU Ndug Juma Shinshi amesema CHUTCU ni kawaida kwao kuiunga mkono Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuhakikisha wananchi wa Tanzania wakiwepo wananchi wa Chunya wanapata huduma stahiki
    Shinshi amesema viongozi wa CHUTCU watakuwa kwenye ziara ya siku mbili ya kutembelea vyama vyote vya ushirika ili kuhamasisha wanachama wao wanajiandikisha

ความคิดเห็น •