BENPOL: "Nimelipa Mahari Kwao Anerlisa | Tumeshafanya Taratibu zote | Nilikaa Mwaka Bila Mpenzi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Msanii wa Muziki Benpol alidondoka kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM kutambulisha wimbo wake mpya uliotambulishwa kwa jina la Ebenezer ndipo ilipozaliwa Exclusive Interview hiyo na Watangazaji wa Kipindi hicho wakiwa ni Mussa Hussein, Geah habib na Jose Mara
Ila mussa 🙌🙌🙌🙌🙌
Noma sana!
Mussa ur the best😍😍😍😍
Recently hiki ndo kipindi bora zaid Clouds Media chenye watangazaji bora #LeoTena
Xxl
napenda sana couple ya ben na anerlisa. Mungu awape baraka ktk maisha yenu.
Oyooooooooo
Ben Pol, the singer with the hottest melodies
@SupernidaTv Ohoo labda ivo
Mr. Solo Artist
Aaah hao wasee wa studio ni wambea tu.
Watangazaji na mgeni wote nawapendaaa!
Mipia
🇰🇪 we are real👊🏽
SIKU yakwanza😃😃😃
Usanii nao kaz yan hata mambo ya siri unalazimishwa Useme cha ajabu wanao uliza yao wameyafungia
Let the guy talk...you were to interview him so you cut him short and a lot of blablabla mob eeeeish let the guy talk.. .
Musa umenishinda eti umeipenda nukamhag akahagika haha haaaa nomaaa sn
😂😂😂😂mussa sikuwez jmni
Nyie mussa
Khaa? Nyie watangazaji wambea kama nini?
Umeona eeh!
Mussa umeenda wapi mwijaku hafai
Mussa unavtuko sana jamaa yang
Mussa atari kwa maswali
Ben Pizzzzzzzzzzzzeeeeyy
Mussa sikuwezi😆😆😆😆
Leo nimefurahia kipindi
Acheni kuzingua mwanaume gani siku hizi hajui kutongoza?😁
Wapo wengi sana tunawalia hela zao kuwatongozea
Mussa ndoanataka akawe shahidi wa yehova?
😅😅
Musa unapendezesha kipindi sana
Kiukweli mussa anaboa hampi mtu nafasi lazima aingie kati
Yani unaongea km upo kwenye jukwaa unapiga samboira
Musa husein nakuelewa kupita maelezo Yani..
Cha maana hakuna upuuzi mtupu leo mmekosa maswali kbs na pia hata watangazaji hapo sio mahara penu nendeni kwenye heka heka tu
Mussa pwahahaha
Musa unazinguaaa ujuee
Mbona mgen mnamkatizakatiza jmn lkn
Wanakera sana
*Rurudisha CONTACTS ulizo DELETED na zuia zisipotee DAIMA wewe Mwenyewe ni Rahisi*
👇
th-cam.com/video/AOq31B8Nzvc/w-d-xo.html