Da pole sana aunt, history yako inafanana sana na yangu, yaani humu duniani kuna mambo ya ajabu sana ,mtu mwingine anaweza asikuelewe,ila ni kwrli kabisa.04.05.19.
Yaani stori kama hizi kwa kweli huwa ni ngumu kwa mtu mwingine kuamini kama hujawahi kukutwa na mauzauza kama haya loo yanatisha jamani maana hujui utamsimulia vip mtu akuelewe ila ni kwamba yote haya yapo wapendwa ila tuombe ulinzi kutoka kwa Mungu binadam ni wabaya kwa kweli
Oh dear😔God bless you 🙏. The Bible says, in this world we will have more troubles, but we're an overcomer hallelujah 🙌
Da pole sana aunt, history yako inafanana sana na yangu, yaani humu duniani kuna mambo ya ajabu sana ,mtu mwingine anaweza asikuelewe,ila ni kwrli kabisa.04.05.19.
Pole pia
Hello naomba unitafute nitakupata vipi..namimi napitia ivyo ivyo
Pole sana kwa majaribu
Daaa,pole sana, bor a ungeenda kuombewa
Asee nihatari sana hii ndunia
Yaani stori kama hizi kwa kweli huwa ni ngumu kwa mtu mwingine kuamini kama hujawahi kukutwa na mauzauza kama haya loo yanatisha jamani maana hujui utamsimulia vip mtu akuelewe ila ni kwamba yote haya yapo wapendwa ila tuombe ulinzi kutoka kwa Mungu binadam ni wabaya kwa kweli
Pole sana dada eeemungu tufungue kwani pasipo jeshu watu watateseka pasipo ufahamu..
Leta mambo
Jamani uyu dada yupo wapi mwenye namba take .maana alichopitia ndicho kilichonikuta Mimi..napiga miayo sana.pia watu wakiniongelesha .kunawakati nasikia milango inafungwa..
PPH ulipata shock jaman sio uchawi
Uko sahihi KBS
part 2 uncle
tupo pamoja
Hellow, part two jaman pls
Inakuja.Hakikisha ume subscribe
@@PromovertvTz yeah tear
Ulitususa jacktan
Mbona nipo frida,tupo pamoja
Part two inakuja muda gani jack
Saa tatu na nusu usiku
Ndio nimefika
karibu sana
Za leo Jactan, kwanza nikushukuru kwa kazi nzuri, langu ni swali tu, je yule kijana mvuvi keshapatikana?
Kijana mvuvi bado hajapatkana ila jitihada za kumtafta bado zinaendelea,tafadhali tushirikiane
Pole sana natamani nijuwe kuwa umeokoka
@@suzymhando418 mbona?
@@sylviaw4421 mbona sijakuelewa mpedwa