Niwonapo Mti Bora | Tenzi za Rohoni No 84

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • Lyrics: Niwonapo mti bora
    1. Niwonapo mti bora
    Kristo aliponifia
    Kwangu pato ni hasara
    Kiburi nakichukia.
    2. Na nisijivune, Bwana
    Ila kwa mauti yako;
    Upuzi sitaki tena,
    Ni chini ya damu yako.
    3. Tangu kichwa hata nyayo,
    Zamwagwa pendo na hamu,
    Ndako pweke hamu hiyo,
    Pendo zako zimetimia.
    4. Vitu vyote vya dunia,
    Si sadaka ya kutosha;
    Pendo zako zinawia
    Nafsi, mali, na maisha.
    Tenzi za rohoni, Wimbo wa tenzi, hymn songs
    Tenzi za Rohoni No 84 - Niwonapo Mti Bora

ความคิดเห็น •