🔴LIVE :RIPOTI YA LEO ( SIMULIZI YA KASSIM ) SEHEMU YA 6 - AUG 05

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 38

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 4 หลายเดือนก่อน +1

    Afika moto 🔥🔥🔥! Watu wana roho za ushetani mno. Kuwafukuza wafanyakazi wio kuzuri sana ni kujiongezea maadui, wape target kila mtu afanye kazi kwa bidii ikifika siku fulani amalize na kama akizembea mpe onyo kama mala tatu na umwambie ikizidi nakutoa kwenye idara yangu ukafanye kwingine kasi yangu huiwezi. Afrika watu wana roho mbaya sana.

  • @ZainabSaif-sr9jj
    @ZainabSaif-sr9jj 4 หลายเดือนก่อน +2

    Tunakuskia vizur da vero l love you so much

  • @aminamaulid9931
    @aminamaulid9931 4 หลายเดือนก่อน

    Maji si anachoma siindano anakamuliaa sumu tu watu Wana maarifa bana hasa akiwa na jambo lake tuombe sana mungu atulinde

  • @KulwaMichael-f9d
    @KulwaMichael-f9d 4 หลายเดือนก่อน

    Veronica upo vizur sana unaereweka rakini morogoro atukupati

  • @TeddyMseya
    @TeddyMseya 4 หลายเดือนก่อน

    Najifunza mengi sana

  • @SeciliaCastory
    @SeciliaCastory 4 หลายเดือนก่อน

    Kimya davelo vp

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 4 หลายเดือนก่อน

    Redio hazishi 😢😢😢 dar. efm kil wakat mitamb inakata😂😂

  • @yjkbcdghjb
    @yjkbcdghjb 4 หลายเดือนก่อน +15

    Kassim pole sana ila Naomba niseme kitu Kama nimekosea mtanisahihisha . Kassim ulikosea sana kuwafukuza watu kazi. Ww ulikuwa una hofia sana anguko lako la uhai ila hukujali anguko la watu wengi uliwafukuza kazi 😢😢. Saahiv hii ndo kinachoendelea kwenye private offices na serikalini watu/ kiongozi anafukumzisha watu kazi ili awaweke watu wao alafu wanasingizia speed ya kazi kumbe anawaweka ndugu zao au kuna kitu wanafaidika ( wanachofaidika wanataka watu wapya tu walioajiriwa wahusishwe ) . Karma inawasubiri hata ipite miaka mingap. Hata Kama mtu ana cheo ngani acheni kuwafukuzisha watu kazi. I hope kassim Mungu atakusamehe na story yako itaisha vizuri

    • @khorima
      @khorima 4 หลายเดือนก่อน +3

      Mbona anasema aliwahamishanhawakufukuzwa....

    • @csato9415
      @csato9415 4 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@khorima Yeah...ina maana alikuwa anafanya reshuffle.

    • @khorima
      @khorima 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ila Hawa jamaa ni hatari sana yaani kosa Moja TU wameshafanikiwa kumwekea sumu, duh.

    • @yjkbcdghjb
      @yjkbcdghjb 4 หลายเดือนก่อน

      @khorima Basi sawa Kama aliwahamisha tu .

    • @ModesterSeverin-rq5uo
      @ModesterSeverin-rq5uo 4 หลายเดือนก่อน

      Aliwahamisha sio kuwafukuza

  • @zawadihassani-h4u
    @zawadihassani-h4u 4 หลายเดือนก่อน +1

    apana jamn msimraumu ivyo mmesikiliza vizuli lakini vaa kiatu chake sasa wafanyakazi wasio juwa umuimu wa kazi we kuweza

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita 4 หลายเดือนก่อน

    Usalama wa hivi asehe hujawahi kufika salama

  • @janemalongo5417
    @janemalongo5417 4 หลายเดือนก่อน

    Wa kwanza🎉

  • @estherkeba24
    @estherkeba24 4 หลายเดือนก่อน

    😂mnao mlalamikia khasim kisa kuondoa watu kazini, afuge ujinga kisa nini? We ukiwa na mfanyakazi mume au mke mkweche akuheshim kazi aziendi ungefanyaje?

  • @HENRYKYUSYA
    @HENRYKYUSYA 4 หลายเดือนก่อน

    Vipi Vero?je,unapokea simulizi kutoka Kwa watu kutoka nchi zingine.Kenya tunakufollow Kila siku.

    • @dearmama4336
      @dearmama4336 4 หลายเดือนก่อน

      Anapokea

  • @Fatima1234-wl1nu
    @Fatima1234-wl1nu 4 หลายเดือนก่อน +3

    Khaaa jamani comment zime fupi tusome nasi munaandika ndefu km majibu ya posa

    • @AvitiNjau
      @AvitiNjau 4 หลายเดือนก่อน

      Fatma 😂😂😂😂

    • @mariamufadhili9245
      @mariamufadhili9245 4 หลายเดือนก่อน

      Shangaa nawewe😂😂😂😂😂watu kama wanaugomvi

    • @Fatima1234-wl1nu
      @Fatima1234-wl1nu 4 หลายเดือนก่อน

      @@AvitiNjau au we ujana my dear

    • @Fatima1234-wl1nu
      @Fatima1234-wl1nu 4 หลายเดือนก่อน

      @@mariamufadhili9245 yaani wee acha tu

    • @PendoMacha-ib6oc
      @PendoMacha-ib6oc 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @khorima
    @khorima 4 หลายเดือนก่อน

    Maofisni kina mambo ya ajabu nyie sikieni tu mimi nimeonja matatizo ya vyeo mara mbili. Sio sekta binafsi wala serikali i aisee.....

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 4 หลายเดือนก่อน

      Pole Sana na hi hongera kwa ushindi. Kila siku nasema Afrika ndo maana hatuendelei maadui ni Sisi Kwa sisi

  • @GraceKibelenge
    @GraceKibelenge 4 หลายเดือนก่อน

    Wakina kasim awa analoo mbaya bwana na chuki ww kutoa toa wtu kaz we na bwana unakela kunamda

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 4 หลายเดือนก่อน

      Anawatoa bila kosa? Unafanyaje kazi na wazembe? Au watu wenye roho mbaya wanataka kukuangamiza? Watanzania tuache uvivu tuwe na bidii kazini na tusiwe wabaya

  • @GraceKibelenge
    @GraceKibelenge 4 หลายเดือนก่อน

    Ww unajijari ww ujari wenzio yan usalama wako2

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 4 หลายเดือนก่อน

      Usalama wake muhimu .....

  • @AnnaTarimo-f6y
    @AnnaTarimo-f6y 4 หลายเดือนก่อน

    Inafundish