Nimeielewa San hii broo lakn kuna kitu umeniach njia panda ulipoziduplcate vocal na kuzipan uligusa kipengele kip mpk zikabadilika sauti na kua kama back vocals ?
Daz Ner kama utakua makini mwanzoni.. nina track mbili tu za vocals.. main lead vocal pamoja na hiyo back vocal.. nimezidublicate na kuwa 3 kila moja.. Main lead vocal kulia na kushoto nimeshusha sana sauti zisiwe kama back vocal nilitaka kupanua vocals.. hope back vocals unazisikia kulia na kushoto ambazo nimejazia na nimebadilika uimbaji kidogo kupishana na sauti ya main vocal.. lakini sio kila wimbo ufanye hivyo.. tumia sikio hope umeelewa
Naomba namba
inafaida sana bro asante kwa kutoa ulicho nacha ili nasi tupate mungu akubarik
shukrani kwa kuniamini
Kaka nakuku Bali sana
Asante mkuu na kuelewa kutoka UK
karibu sana mdau..
Pamoja sana bro
pamoja
Shs ngapi kujiunga kwenye whatsaap group
bure tu tayari nimekuwekea namba
Great work big up
asante
Safi
Nakusoma Sana mwl
Bro huu wimbo unaitwaje make nime u seach kwenye nyimbo zako zote nimeukos namba jina lake bro
Haujatoka bado
Haujatoka bado
@@NimeryFaqihTheMixMaster mzur san
nice work
DARASA LETU TANZANIA niliyonayo inazingua kidogo ntakufanyia mpango
ok
Bloo naitaji kujifunza lakini sina kompyuta
Mi najaribu kui download mbona haitaki?
Fresh sana my bro. But bro mm huwa narecord sana vocal cubase 5 but sound inakuwa chini Sanaaa why bro??
Hakikisha unapata plugins za waves na nyinginezo
Uko vizuri Sana'a my bro , but nilipoteza number yako how can I get you my bro
+255 712 447 006
@@NimeryFaqihTheMixMaster hiii
tapataje fab filter bro i need them
www.fabfilter.com/
Teacher naweza kupata no. yako ya whatsapp tafadhar
+255 712 447 006
Thanks
shukran pia
NAKUBALI SANA MKUU SOMO LAKO NIMELIELEWA KUPITA KIASI
karib sana.. uskose kufuatilia zaid
@@NimeryFaqihTheMixMaster brother kama utojali ningependa tuwasiliane whatsap 0755528807
@@fadybeatz aksante sanaa bro
@@NimeryFaqihTheMixMaster usijali mkuu
P1sana mwalimu Ila ninashida nahizo plugins nazipataje kiongoz
+255 712 447 006
Unapatika wapi
Dar +255 712 447 006
mi niko Dodoma
Nimeielewa San hii broo lakn kuna kitu umeniach njia panda ulipoziduplcate vocal na kuzipan uligusa kipengele kip mpk zikabadilika sauti na kua kama back vocals ?
Daz Ner kama utakua makini mwanzoni.. nina track mbili tu za vocals.. main lead vocal pamoja na hiyo back vocal..
nimezidublicate na kuwa 3 kila moja..
Main lead vocal kulia na kushoto nimeshusha sana sauti zisiwe kama back vocal nilitaka kupanua vocals..
hope back vocals unazisikia kulia na kushoto ambazo nimejazia na nimebadilika uimbaji kidogo kupishana na sauti ya main vocal..
lakini sio kila wimbo ufanye hivyo.. tumia sikio
hope umeelewa
Fresh mkuu naomba uniadd kwenye group la whatsup no.0788292051
Thx bro
pamoja pamoja
Ni add kwa group lako bro 0754730573
Nina shida na namba yako ya wasap
Sikupingi nimejifunza vizur somo lako broo nichekii 0783173699