BOSCO TONES AFUNGUKA KUJIONDOA THE MAFIK! | "NILIKUWA GIZANI! SIKUWA NA MKATABA!"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @P4Principle
    @P4Principle 3 วันที่ผ่านมา +6

    Misimamo kaka kila siku ndio inakufanya imara katika harakati zako. Barikiwa sana bro 💪

  • @MichaelJohn-lb6uu
    @MichaelJohn-lb6uu 2 วันที่ผ่านมา +4

    Bosco nimependa ulivyokuwa came na humble kwenye interview yako lakni nimetoe ushauri kwa the mafik kuwa brand kubwa inahtaji kuwa na mwendlezo mzuri na wasanii

  • @edsonmbega5031
    @edsonmbega5031 2 วันที่ผ่านมา +4

    U will be big than you think ma bro u have a talent trust me and tz know that bro i trust inyou

  • @dezideliusandrew2139
    @dezideliusandrew2139 2 วันที่ผ่านมา +1

    All the best bradhaa,
    Hope utafika mbali sana.

  • @rii001-b3j
    @rii001-b3j 2 วันที่ผ่านมา +3

    siri ep n🔥🔥🔥

  • @Inframe24
    @Inframe24 3 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu akutanguliye Bosco tones safari ndefu kaka

  • @Meeknego
    @Meeknego 2 วันที่ผ่านมา +3

    Hakuna watu waliowahi kuvaa jina la watu wengine na likawatosha. Haijalishi watu hao watakuwa bora au chini ya wale watangulizi wao.
    The Mafik, Yamoto Band, na makundi mengine yote ambayo watu walibadilishwa kuvaa jina, hakuna sehemu wamewahi kwenda. Hata hii The Mafik haitafika popote, ila hawa wangekuja na jina jingine, watu wangewasikiliza kwa ukubwa na nafasi yao.

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 3 วันที่ผ่านมา +2

    Nilikuwa namuulizia jmn blessed sana

  • @MusaMasika-g2o
    @MusaMasika-g2o 3 วันที่ผ่านมา +6

    Dogo nmemsikiliza vema, wengi hawatamuelewa lkn mikataba ndio kila kitu jamani lasivo utajikuta mnatelekezwa na hakuna cha kusaidiwa, utaratibu ndio kila kitu. Kijana anakipaji mnoo mpen mkataba anaweza

  • @MagamboIbrahim-f1k
    @MagamboIbrahim-f1k 2 วันที่ผ่านมา

    Uko sahihi kaka Bosco 🎉🎉🎉

  • @mgayamgaya
    @mgayamgaya วันที่ผ่านมา +2

    Bosco anajua kuimba sio anajiona, kama hajathaminiwa wacha akapambane, tangu covers ni mtu na nusu

  • @davidjoseph1143
    @davidjoseph1143 3 วันที่ผ่านมา +4

    Nimemwelewa km alichosem n kweli yuko sahihi

  • @Grey_kiss
    @Grey_kiss วันที่ผ่านมา

    Am your frienf Greykiss here

  • @JadaRingo-x4k
    @JadaRingo-x4k วันที่ผ่านมา

    🙏🙏🙏

  • @RAZAKIMMALINDA
    @RAZAKIMMALINDA 4 วันที่ผ่านมา +2

    Mmmmh 😢

  • @kaziyabure
    @kaziyabure 4 วันที่ผ่านมา +1

    Wanu wana Vosoma wan Cheka 😂😂😂😂😂😂😂

  • @RAFIKIOnline9660
    @RAFIKIOnline9660 3 วันที่ผ่านมา +1

    Bosco nenda kwa farma tz dodoma ukapige live na mwamba una kitu mzee

  • @ShadeeMzawa-e4r
    @ShadeeMzawa-e4r วันที่ผ่านมา

    Pambana b unaweza

  • @smaylonner6858
    @smaylonner6858 3 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤

  • @Az__2012
    @Az__2012 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    dogo unajua sisi tutakusapoti,,, achana na makundi yakishoga shoga

  • @Mrromantic-n4c
    @Mrromantic-n4c 3 วันที่ผ่านมา

    sema huyu bosco simuelew saiv anh mmh sijui anazimua saiv anh kachange kinoma

  • @kaziyabure
    @kaziyabure 4 วันที่ผ่านมา

    Yani

  • @joshuaurasa670
    @joshuaurasa670 2 วันที่ผ่านมา

    Honestly speaking alichoongea dogo n sawa kbsa .. lazma muwe na makubaliano.. lazma ujue kipi n haki yako na kipi n msaada

  • @kaziyabure
    @kaziyabure 4 วันที่ผ่านมา

    Bora usepe

  • @msasetv8296
    @msasetv8296 3 วันที่ผ่านมา

    Mdogo wangu huyu namfahhamu vizuri sana. Ana utata sana

  • @kaziyabure
    @kaziyabure 4 วันที่ผ่านมา

    Mtu moja Tu Mimi

  • @kaziyabure
    @kaziyabure 4 วันที่ผ่านมา

    Mikisoma hi komenti

  • @kaziyabure
    @kaziyabure 4 วันที่ผ่านมา

    Haaa

  • @kaziyabure
    @kaziyabure 4 วันที่ผ่านมา

    Eti nilaki

  • @kaziyabure
    @kaziyabure 4 วันที่ผ่านมา

    Siwezi

  • @kaziyabure
    @kaziyabure 4 วันที่ผ่านมา

    Haki ya mungu 😂

  • @voisaclassic1866
    @voisaclassic1866 3 วันที่ผ่านมา +1

    dogo hajui kuongea yani kiufupi haeleweki very unproffesional

    • @gastomwizarubi781
      @gastomwizarubi781 วันที่ผ่านมา

      Yes..exactly Kuna point anajaribu Kuisema ila namna ya kuongea anashindwa...pia anatakiwa atafte mtu kumfundisha namna ya kujieleza kwenye media

  • @kaziyabure
    @kaziyabure 4 วันที่ผ่านมา

    Mmmmh

  • @OdetteRukundo-n3u
    @OdetteRukundo-n3u 3 วันที่ผ่านมา

    Bro Acha kuvuta bangi inakualibu sana

  • @kaziyabure
    @kaziyabure 4 วันที่ผ่านมา

    Eti Ka lski

  • @RaymondKanyama-y5b
    @RaymondKanyama-y5b 3 วันที่ผ่านมา

    bosco tone

  • @kaziyabure
    @kaziyabure 4 วันที่ผ่านมา

    19

  • @kaziyabure
    @kaziyabure 4 วันที่ผ่านมา

    Miwakwanza

  • @giztony2009
    @giztony2009 4 วันที่ผ่านมา +11

    Ni kawaida watu wa kigoma kuwa na ubinafsi kuna mifano mingi kuanzia kwa akina zitto na ishu ya chadema, Mwijaku kwa clouds, huyu na The mafik na wengine wengi kwa hiyo watu wa kigoma cyo wa kuwaamini wana tamaa na ni wabinafsi sana lakini pia hawana msimamo

    • @BisuraJacob
      @BisuraJacob 4 วันที่ผ่านมา

      Sio kweli

    • @giztony2009
      @giztony2009 4 วันที่ผ่านมา

      @BisuraJacob braza ungekuja kwa hoja mm nimekupa mifano halisi

    • @rashtz2785
      @rashtz2785 3 วันที่ผ่านมา +1

      Siyo kweli, mwijaku kwani Clouds alitoka kwa ubaya?

    • @kajanksimon7432
      @kajanksimon7432 3 วันที่ผ่านมา +1

      sio ukweli watu wakigoma niwaelewa sana na hawapendi kuyumbishwa kwaiyo wanapoona mambo hayaendi kama jinsi mlivyokubaliana wanakuwa na maamuzi ya haraka

    • @Mrromantic-n4c
      @Mrromantic-n4c 3 วันที่ผ่านมา +1

      kazi n makaratasi mzee kma huna mkataba hz faida utazipata wap

  • @Jpmedia_tv
    @Jpmedia_tv 2 วันที่ผ่านมา

    𝐍𝐚𝐤𝐛𝐚𝐫 𝐱𝐧𝐚 𝐡𝐨𝐦𝐞 𝐛𝐨𝐲✌️💋