ZIYARA YA DONGE YA SHEKH: MSELEM BIN ALY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 87

  • @maryamas3973
    @maryamas3973 3 ปีที่แล้ว +3

    Nilifik donge mara ya kwanz kwa mazish ya shekh nasor bachu leo naiona tena mashallah

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 3 ปีที่แล้ว +4

    Shehe wetu Mselem bn Aly saut ya zahabu furaha ya wa Zanzibar 💞💞💞💞

  • @mohamedseif2468
    @mohamedseif2468 3 ปีที่แล้ว +1

    ALLAH ampe afya njema sheikh wetu na umri mrefu atupe elimu kama kale.

  • @abuuaisha4738
    @abuuaisha4738 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah allah azikubal dua zote zilizoombwa na akuzidishieni kheir wote mliozuru makaburi na wagonjwa nasisi watizamaji pia allah atulipe kheir na barka ktk maisha aaamin

  • @qurankareem2275
    @qurankareem2275 2 ปีที่แล้ว

    Ametakasika Mwenyezi Mungu Alieumba mbingu 7 bila YA NGUZO

  • @maryamas3973
    @maryamas3973 3 ปีที่แล้ว +3

    Shekh wang amerud darsa zitaendelea na znzbr itangara tena kwa bahr ya elimu inshallah, allah akup umri mrefu wenye khatma njema aaamin, tunakupend sana wallah allah nishahid

  • @ahmedkhamis1167
    @ahmedkhamis1167 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah M.Mungu akubarik wewe na cc Ziara kuwafariji kwa dua walio hai na walio tangulia ni kitu kuzuri sana

  • @samirahassan3212
    @samirahassan3212 3 ปีที่แล้ว +1

    kweli nnasikiamsemo watu wanaambizana mkaidi kama watuwakasikasini leo naamini 👅👍

  • @asiakhamisi469
    @asiakhamisi469 3 ปีที่แล้ว

    Mw.mungu azipkee duwa hizi amiin yarab

  • @omarypanga4064
    @omarypanga4064 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah shekhe wangu

  • @fadhilikawambwa5159
    @fadhilikawambwa5159 3 ปีที่แล้ว +1

    alhamdullilah uislam raha sana.

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 3 ปีที่แล้ว

    Dah zanzibar kuzur nataman kuja

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 3 ปีที่แล้ว

    Naomba Namba ya shkh Mselem

  • @seifali3342
    @seifali3342 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah alhamdulillah

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 ปีที่แล้ว

    sheikh uko kwenu mashaallah .

  • @safiaalimohd7222
    @safiaalimohd7222 3 ปีที่แล้ว +4

    ALHAMDULILLAH

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Allah azikubali dua ameen ya rabby. huyo Mzee wa mwisho kanifurahisha hajui km cuf haipo 😅

  • @samirahassan3212
    @samirahassan3212 3 ปีที่แล้ว +3

    kilasiku najiuliza nakuumizakichwa huyumselem nimtu wawapi? alaa kumbe mdonge ndio( maaaaaaana)

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 3 ปีที่แล้ว +3

    Mmungu akupe umry mrefu sheikh wetu tunakupenda tunataka no yako ya simu tuandikie

  • @asriyaaljabry27
    @asriyaaljabry27 3 ปีที่แล้ว +1

    Sote waislaam Qur'an na sunna ndio madheheb yetu msitukanane hakika munamuudhi Allah

  • @salamakhamis8092
    @salamakhamis8092 3 ปีที่แล้ว

    Shekh yuko nyumbani rahaaa

  • @salamakhamis8092
    @salamakhamis8092 3 ปีที่แล้ว

    Mungeweka Nasheed

  • @rashidhamad6782
    @rashidhamad6782 3 ปีที่แล้ว

    Machozi yananitoka kwa furahaat the same time kwamaumivu ya dhulumaeti magaidi, Allah wewe ndie unaejuahukumu kwa aliyewadhulumu

  • @hamidomar7474
    @hamidomar7474 3 ปีที่แล้ว

    Kabuto lashes GANI ILI jamani

  • @abashajji9568
    @abashajji9568 3 ปีที่แล้ว

    Mi nauliza,Sufi ndo dhehebu gani?

  • @kanaanrajab1102
    @kanaanrajab1102 3 ปีที่แล้ว

    A,aleikum home sweet home home from muembe mgae

  • @alisharif5541
    @alisharif5541 3 ปีที่แล้ว

    Kupeana mikono na wwke ..ujinga tuuu

    • @ismailally3170
      @ismailally3170 3 ปีที่แล้ว

      Ww hushikani nagi na mkeo fala ww

    • @omarissamashaallahpresiden2920
      @omarissamashaallahpresiden2920 3 ปีที่แล้ว

      Dada yako huwezi jumps mkono kasome

    • @ismailally3170
      @ismailally3170 3 ปีที่แล้ว

      @@omarissamashaallahpresiden2920s mama yako hawezi jump mkono kasome ww umesoma umefika wapi wap ww mkundu tu ww

    • @swahibually1723
      @swahibually1723 3 ปีที่แล้ว

      Ali Sharif wewe ni MBWEHA mwingine,na suala la dini ujue linahitaji elimu ya kutosha,wewe huna kimo cha kumkosoa sheikh musellemu,kwa hiyo akili yako ya KIIBILISI,nikuulize swali MBWEHA WEWE; MTUME s.a.w.alizikwa ktk chumba cha Bibi Aaisha r.a.Pamoja na Sayyidinaa Abuu Bakari na Sayyidinaa Omari r.a.Sawali langu;Je baada ya kuwa ndani ya chumba chake Bibi Aaisha kuna Makaburi 3,aliswalia wapi?Swali lingine;Leo hii Makaburi hayo la Mtume,Abuu Bakari na Omari,yamo ndani kabisaaaaaa mwa msikiti wa Mtume,hapo Madina, kwahiyo anaeswali mbele kwenye eneo yalipo Makaburi,ni sawa Makaburi yanakua nyuma yake,na anaeswali nyuma yake Makaburi yanakua mbele yake na anaeswali kulia Makaburi yanakua kushotoni kwake na anaeswali kushotoni Makaburi yanakua kuliani kwake,je kwa wale wote wanaoswalia mule ni washirikina na hawajui?Au ni kusema swala zao haziswihi,?Nipe jibu kisomi/kielimu.

    • @omarissamashaallahpresiden2920
      @omarissamashaallahpresiden2920 3 ปีที่แล้ว

      @@ismailally3170 matusi hayafai mtume hakutangaza simi kwa matusi

  • @alisharif5541
    @alisharif5541 3 ปีที่แล้ว

    Makabur na msikit tena kabur limejengewa....

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 3 ปีที่แล้ว

    Hapa ndipo unakamilika utafit wangu kuwa huyu Mselem ni mtu wa Kisufi.
    عباد القبور،اللهم اهدنا