Pole sana mum acha kujiweka kwa huyo mwaume jipange na mtoto wako hii kukaa kwa mtu ndio unapata mtu anafanyiwa vituko pole sana mungu aponye huyo mtoi
U know wat family ikikukataa..it reaches a point hata mume anaanza kukukataa maana kila ushawishi na ushauri kutoka kwao dhidi yako ni always negative. Experienced.
1. Shetani kazi yake nikiharibu. Devil is a lawyer. Kwa hiyo huwezi amini mambo mapepo yanasema. cha muhimu mtoto amepona. Sasa kina dada, endelea na maombi... 2. We dada, it's not normal uishi kwenye island, wewe na mme eti sababu mmapendana. Friends na ndugu ni muhimu cose huwezi jua shida itatokea wapi. 3. Huyu bwanako nikama amepata mke mwingine. Kwa hiyo u just need to either tafuta binu za ku fight for the mariage (cose unampenda). or jitahidi upunguze upendo na uanze kujipanga. Miaka 38 utamu bado upo... Pole sana mamy
MTU akikubeba wana kwake mbona ushinde kumlamba matakoni?????? "" Mungu ndiye hupeana pumzi na uhai"".Kaa kwako na ukule mrenda mum ..sawaaaaaa,,,,,,,,,,,
Dah! namhurumia huyu mama,ni mvumilivu sana May God be with u and protect u and ur family in Jesus Name ,pray hard God will never forsake u mom
Pole sana mama l feel your pain may God help you
Amen
God ako naye
Pole Sana mummy huyo mume wako amepata mwingine
Pole mama nishida tunakumbana nazo kwenye ndoa jipange na watoto wako
Wewe Gidi Ebu nyamaza mapepo itakutacha Gidi Wa patanisho 😂😁😂😁😆😅💆💆💆💆💆Pepo leshiduwe Katika jina la yesu 👏👏👏
Kabisa
@@bafaello2619 Pepo nikitu yakuogopesha Juu sio kitu mtu anaona
Woiiii my twine sister jipange tu mapema kaa family awakutaki pia bwana ameaza kukutenga jitoe dada utaumia sana
God of Elijah send fire.Mama endelea kwa maombi maana ni huo uchawi wamemfanyia mzee wako
Pole mom 12 yrs na bado watu wa kwao hawakutaki pole sana ng'ang'ana na maisha yako mola atakufungulia njia yakulea watoi wako
Pole sana mum acha kujiweka kwa huyo mwaume jipange na mtoto wako hii kukaa kwa mtu ndio unapata mtu anafanyiwa vituko pole sana mungu aponye huyo mtoi
Pole sana mama amini kwa mungu,aliponya mtoto pia atabadilisha mzee.
Mapepo zishindwe in Jesus name
U know wat family ikikukataa..it reaches a point hata mume anaanza kukukataa maana kila ushawishi na ushauri kutoka kwao dhidi yako ni always negative. Experienced.
1. Shetani kazi yake nikiharibu. Devil is a lawyer. Kwa hiyo huwezi amini mambo mapepo yanasema.
cha muhimu mtoto amepona. Sasa kina dada, endelea na maombi...
2. We dada, it's not normal uishi kwenye island, wewe na mme eti sababu mmapendana. Friends na ndugu ni muhimu cose huwezi jua shida itatokea wapi.
3. Huyu bwanako nikama amepata mke mwingine. Kwa hiyo u just need to either tafuta binu za ku fight for the mariage (cose unampenda). or jitahidi upunguze upendo na uanze kujipanga. Miaka 38 utamu bado upo...
Pole sana mamy
Dalili ya mvua ni mawingu, likes za no one
It shall be well with you mum.... endelea kuita jina la bwana
Hii extended family imejaa uchawi, so Sad that watu wanaingilia boma za wengine
Nimeotoka number 11 woyii Gidi Wewe ndio unafanya nipate iyo number Juu munachelewa kuleta Patanisho sana nagoja adi nachelewa🙆🙆🙆
🤣🤣
@@agneswanjihia1383 haki kuchelewa
@@maurinekhasila3326 poa dear, najuwa ulikuwa una make gahwa😂🤣👊👊ma saa
@@agneswanjihia1383 Hahaha aki unaelewa hii mambo gahawa kama kawa
@@maurinekhasila3326 aki
Kwa ground mambo ni different,pole dada Mungu akufungulie iliyofiche ujue cha kufanya.
Kabisa mungu tu
@@maurinekhasila3326 yeah
@@aggycherry9400 kabisa dear
Waaaaah hii ni noma sana
Noma sn iyo aki mama apo jipange too 😄😄😄😄
Uuuuiiiii pepo ishidwe sana
number 3
Nyinyi munaaribu nyumba zenu naufubafu kutokuelewa na NENO la MUNGU
Mtupe patanisho yote kutoka Monday hadi leo muache kutukazia bahna
Pole waaah
MTU akikubeba wana kwake mbona ushinde kumlamba matakoni?????? "" Mungu ndiye hupeana pumzi na uhai"".Kaa kwako na ukule mrenda mum ..sawaaaaaa,,,,,,,,,,,
Wakwanza leo
Mambo dear........ like zote nizako👍👍
Hahaha wewe ndo unajua utamu patanisho
@@RoroRoserororo nakwambia 😍😍👊👊
@@carosmwongela2823 thanks dear miss you
@@agneswanjihia1383 me too
Huwezi tupee mashauri yaa wanaichi
Iyo yamapepo kuongea mbona vipo sanaaaa tu yaaani kawaida
Pole dada,,,but gidi tupe patanisho everyday
Swrthrt sasa
Endelea kwenda maombi dada
😂😂😂Manyuru
Mama sijui unangojea nn I feel your pain
Hii n ya jana m2me ya leo
Pole mummy wewe ndio uko na Pepo ya ujinga,if you still believe in such idiocy 😢😢
Yenyewe dalili ya mvua Ni clounds
Cna say na hapo
Zaman nilikuwa nasikia sauti ya gidi nilikuwa nadhan ni munono, video ilifanya vizuri nione ni medium 😁😁
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kumbe sio mimi tu 😅😅😅
Nilijua Gidi ndio Gost alafu Gost ni Gidi 🤣🤣🤣Hata Instagram sikuwa naamini
😂😂me too
Lakini nikama ame watch weight photo za kitambi ni mnono lakini amepungua anakuja kukuja.....
Ambia huyo mama atafute mwingine
Bukathukia itu gidi
Micii ni ndogo
Mi naeza kukwambia tu tafuta fare uende mwenye, penye anaishi uthibitishe ikiwa ameoa
Hendelea na maombi maybe iyo boma sio poa
Pole Sana Mum kwa Yale Unayoyapitia
Mumelogwa nyote
Kweli mapepo yanaongea sasa hapo ww madam jipange
Hii story iko kwa boma yenye siz wangu alioleka pole mum
It's happened my sister
Nimewai kusikia 💔💔
@@morinemcute6875 give us gossip
@@doreennasike6298 kusikia nn
I don't believe on mapepo, she is depressed, how can that happen, Ile ujinga iko hii Kenya ni mwingi sana
wacha niachane na hamam nisikilize hii patanisho
uwa yafanya nachelewa job asubuhi 😅😅😅
@@oliviaatieno9809 kwa nini
@martin karanja juu ya kicheko , always make my day😅😅
Kama uko naea ndani kwa ndani na mumeo mjulea palea utampapasa atakwabia
Na hutu jimmy Gait na kipara wats wrong with him??
Iraq tunapimiwa network kama ndawa
Ata nashangaa na hii Iraq
Poleni.......vita imeisha uko
@@carosmwongela2823 eee nahawajarundisa network yote fb hakuna whastpp huwezi ongeya
@@RoroRoserororo nikuvumiriya tu hatuna lakufanya
@@annaj7157 poa tuliwaombea sana