Ee mwenyezi mungu naomba unifungulie njia zangu zote za utaftaji nami niweze kuwa miongoni mwa walio weza kutajirika Kwa nguvu zako ee we mwenyezi mungu niwekee wepesi
See mwenyez mungu naomb unisaidie mpk mfungo huu tukiumaliza niwe nimepat mume mweny kukujua wew, nilipe maden, nipate dad wa kazi, nikujue wew na watot wangu niwalipie ada kirahis, nikue kiuchumi, niongezeke kimtaji na nipate wateja wengi na adui zangu wagombane wao kwa wao
Good blessing me na hapa nilipo pachafu nifungue mungu wangu aminaaa
Ijalie familia yangu iwe na afya njema mjalie mke wangu biashara zake ziweze kuendelea vizuri baba katika jina lako amina
Naomba maombi haa nisiasahau kwenye maisha yangu naomba mungu mpenz wangu anitafute
Mungu ponya familia yangu,futa kesi zote nyanyua uchumi wetu Amina
Naomba mungu unpe mtjii wabiqshra nawaujezii mweziuuu
Baba naomba yeyote ninaemdai anilipe kiwesi katika jina la yesu
Mungu naomba nizidiwe na wateja saaaan
Mungu wa mwaposa nkusukuruu ķwa kunionesha
Kilakilchoo ndani yah nyumba kila kilchobakii kanionesheeeeeee
Mungu nipe macho yakuona matatizo Amina
Mungu zd kuntendea aaamin
Ee Mwenyezi Mungu, Naio.bea FMilia yangu IIwe na Afya njema Rizi, na waache pombe. Wapende kazi zao,
😢najiungamanimsha na maombi haya ya siku 21 ewe MUNGU wangu nikapokee muujiza ktk maisha yangu
Naomba mungu mwaka huu sitaki kupanga un8pe kibari Cha kiwanjwa Kwa njia rahis
Mungu baba achilia upako kwenye biashara yangu
Ee mwenyezi mungu naomba unifungulie njia zangu zote za utaftaji nami niweze kuwa miongoni mwa walio weza kutajirika Kwa nguvu zako ee we mwenyezi mungu niwekee wepesi
Mungu nipe roho ya uamusho
E mwenyez mungu naiombea family yangu kuanzia Sasa iweze kuwa na uelewa dalasan na kukutukuza ebwana
Ndani ya mwaka huu nitendee jambo na mm yehova hire
Mungu nisaidie
Mungu nisaidie na mm
Eee mungu Wangu iniponye namiye kwa
Mungu ninaomba kibali cha kazina ndoa
Mungu baba achilia upako ili nipate pesa nijenge kilahisi
Baba msaidie mwanangu kwenye masomo yake awe imala na mnyenyekevu amtukuze mungu mda wote
Baba mlinde Handarson wangu mlinde na confort pamoja na mama zao
ameen
See mwenyez mungu naomb unisaidie mpk mfungo huu tukiumaliza niwe nimepat mume mweny kukujua wew, nilipe maden, nipate dad wa kazi, nikujue wew na watot wangu niwalipie ada kirahis, nikue kiuchumi, niongezeke kimtaji na nipate wateja wengi na adui zangu wagombane wao kwa wao
Jose arudi kabla ya wiki ili kesi imekwisha
Nipate mtu sahihi
Jonia naomba nizidiwe na wateja
Amen
Naomba uwaguse Familia ya Biyangusa, walipe Deni la Babayao la miaka 11 sasa
Na mm naomba unitendee mtume
Eee Mungu naomba nipate visa naninapopata visa unikutanishe na watu sahihi
Upako wa Leo mfanyakazi wangu apone ungonjwa aliokuwa nao
Upako waleo naomba ndoa staking kufanya zinaa
Baba naomba unisaidie nipate kazi nipate hela nimlipe madeni nione kama nitafanikiwa na mimi
Baba nijalie nikija kuamka kesho niwe nimeishapigiwa simu ya kazi nipate kazi inilipe vizuri na isiwe ngumu
Eee mung npe roho ya uwamisho
Roho ya uamcho wakati wa sala.
Ninaomba kibali cha kazi na ndoa
Nadai sh 644,000 miaka 11 sasaMunfu nakuomba uwagusa sasa wanilipe. Naamini Mao.bi haya. Napokea
Ndani ya mwaka huu nitendee jambo na mm yehova hire