JINSI YA KUPIKA MIKATE YA ENSAIMADA MILAINI SANA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- Mahitaji
Unga wa vikombe 4 ( grams 500)
Hamira vijiko 2 ¼ vya chai ( 7gms)
Sukari robo kikombe 1/4
Vijiko 2 vikubwa vya Mafuta ya hali zeti
Kijiko 1 cha chai chumvi
Maziwa ya vugu vugu kikombe 1
Siagi/Crisco/kimbo vijiko 4 mpka 6 vikubwa
Jam ya aina yoyote
Aroma of Zanzibar social media
/ fathiya.ismail
/ aromaofzanzibar
Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas www.youtube.co...
Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
www.instagram....
Music courtesy / contemplative-middle-e...
This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world
IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH PLEASE FOLLOW THIS LINK th-cam.com/video/O-NGbjOXLxk/w-d-xo.html
Thank you so much for the recipes,kindly can we get the pineapple jam recipe
@@elganitepetter561 most welcome, it was a last minute quick thing that I just made no accurate measurements. I will try and make a video when I get a chance
Be blessed i pray you get a chance for it
habari yko dada mbona mm vidio zako mpya sizipati leo ndio nimeona vidio yko kwnn .
@@khadijamasoud4825 sijui kwanini labda huja subscribe
MAsh allah leo ndio nimeiyona hii nzury sana
Allah akupe uzima na afya amin utufundishe zaid na zaid iwe sadaka jaria juu yako dear
Alhamdulilah
MashaAllah mummy shukran sn japo nimechelewa but nimefanya leo hii
Masha Allah my dear mungu akubariki kwa kuweza kutufunza nimeapenda
Alhmdulilha, shukran
hongera sana mama yng kipenzi.....
Mummy sikuwa na phone napitwa huku kuna mambo MashaAllah
Nimetafuta hii recipe hadi nimepata. In shaa Allah ftari ya kesho.❤
Alhamdulilah
asante sana,na Mungu akubariki,ntajaribu leo kupika inshallah.
Amin
Mashallah tutajaribu In shaa Allah
Mashaallah jamani Allah akuengezee maujix utufundishe na cc dear
Shukran, Amin kwetu sote
New subscriber ,Asante sana mpendwa nimetengeneza leo imetoka vizuri sana nilaini ,nitumia strawberry jam .
Hongera 😍
Asante
Hongera sana. So yummy.
Masha Allah! Nitajaribu InshaAllah 😋
Mashallah mkate mzury shkran bi arom jazzy Allah khery
Masha llah habibty I must try it
MAA SHAA ALLAH NA MUNGU AKUHIFADHI AAMIIYN
AMIN
Thanks for sharing..it's really a gifted hands💖💖
So nice of you
You inspire me with your cooking skills. I tried saga noti yesterday, the outcome was sumptuous
Thanks dear but saga noti is from another wonderful chef Shuna's kitchen not me
Oooh..... Thought it was from ur page. But I have tried most of your recipes and they have never disappointed me
MashaAllah. Nzuri saaana. Allah bless your hands habibty 👏🏼🙌🏽🤩
amin
😍 ahsante sana. Wafiliplno wanaita empainzda.
Zile ni tofauti ni kama zile tunaita meat roll
WOW MASHAALLAH ASANTE SANA KWA PISHI ZURI
Man ssf ha Allah dadaya karibu tena
Asslamu alaykum shukraan sannah ALLAH akulipe kwa jitihada zako kwetu aamin
Amin kwetu sote. Shukran
Yumm
Ahsante dada mikate nimitamu sana
Mikate mitamu sana
MashaAllah ajab.
Maa shaa Allaah
Mashalah uko vizur ila naomba pishi l pembe 3
iNSHALLAH NITAJITAHIDI
Mungu akulipe kila l kher inshalah
MashaAllah tabarakah rahman
Mashallah wikiend inshallah inanihus
Mashaallah Allah akulipe
Amin
Delicious
Thanks for sharing
most welcome
Mashallah mashallah habibty Allah barik
Amin
Yummy yummy 😍 😍 😍
Thx🙏
Mashaallah Allah akubarik
Amin, shukran
Afwan habibty 😘
Shukran habibty ,mbona shuna hatumuoni siku hizi au anaumwa
Shuna hajambo alhamdulilah ameshunghulika na darasa kidogo , atarudi inshallah
V.nice MASHALLAH
Thanks dear
Unaonekana mtamu huo😋😋😋👌
Mtamu sana na mwepesi
@@aromaofzanzibar unaonekana tu, na mimi nitajaribu maana nimeupenda.... Asante kwa recipe nzuri😘
Mashallah
Alhamdulilah
MashaAllah
maa shaa Allah
Alhamdulilah
Masha Allah shukran
Afwan
Ukhty Sakina A shikamoo😁
@@faizasaid8262 Marhaba kilembwe changu
Ukhty Sakina A 😁😁
@@faizasaid8262 😂😂 mbona umefurahi kilembwekeza changu
Umesahau kueka Mayai katika description box dear🙏😘
Ahsante, I will update it.
Very good I hope translation to English
Theres a link of english version right on the top comment th-cam.com/video/O-NGbjOXLxk/w-d-xo.html
Jee unaweza kumfundisha mtu naka utamfundisha kwa pesa ngapi nauko wapi
Mimi nimehamia Oman sasa sifundishi watu binafsi ni hapa tu TH-cam tu
Mungu mkubwa leo nimekuwa mapemaaaaa kabla sijaingia kulalaa hebu niangalie .
Utaamka na njaa ya kula mkate lol, ahsante kipenzi
naweza tumia prestige mbadala wa kimbo dear
Mimi sijawahi kutumia prestige kwa hivyo siwezi kukuadvice ni kitu ujaribu uone vipi itakua
Hata asali pia unaeza ukaweka ktu chochote kitamu ryt
Asali ni nyepesi sidhani kama ita hold lakini jaribu
❤️
Uliweka sukari nfani nitumia kwa
sijafaham swali lako
MashaAllah shukran