Amina ni rafiki mbaya sana,lissa elewa kwamba rafiki mwema niyule anayekusaidia kwa kila jambo ambalo linamafanikio katika maisha yako,achana na amina anakuingiza kwenye moto ambao hautaweza kuhimili ata jasho lake.naomba like zenu
Yaan tunaitaji tujifunze atokee mtu wakuwa na msimamo kati ya Lisa na Suzi ,,ili tujifunze kitu katka jamii ,my friend ngepata nafasi katka hii film bhn ngeongeza kitu ,is the good searis,lkn ongeza muhusika wakushauli juu ya mambo haya mmoja akubal mwingine akatae so cute film
Kwann mlimtoa yule mama lisa wa mwanzo sasa jaman yule ndoo alikuwa anaigizaa vizur woiiiiiiii kwa style hii mnapoteza mashabikii wenu bila nyie kujua mnakosea wapi
Tuko ughaibuni na tuna enjoy sana hii show ! Asante for the entertainment Africa kuna vipaji saana nasikia machozi yananitoka hii series ina worth Milions of usd. YAani tuboreshe sana SANAA inatoa ajira na mafunzo na burudani. Lakini Waafrica wa juu hawajitambui na kutwa kumpigia magoti mzungu. Akupe riziki. bIG UP KWA PRODUCER AND ACTORS. Vipaji vikali....
We LISA ACHANA NA UYO RAFIKI YAKO SIMZURI UTAKOSA RADH YA MAMAHAKO 😢MANA RAFIK AKO ANA KUTUMIA NAKUKUARIBIA JINA ,MM SIJAPENDA IIIH ATUFUNZ MAMBO MEMA ATA WATOTO KUANGALIA 😢SIONZURI ACHEN ATUFURAII WATEJA WENU LUV ACHA IYO TABIA IMETOSHA JAMAN
Nimefurai sana kwa ushauri wa maman Lissa,Nanime lishika kabisa,Nani mwengine a liké hapa
Huyu dada rafiki yake na Lisa nikifurunge kweli kweli mna mkumbuka kwa kipidi ya mtoto wa boss I'm from Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪..like hapa jamani 🎉🎉🎉🎉🎉
Yeah I remember her anakuwaga wa kufuruga,,au sio Suzy huyooooo❤❤❤❤❤
Na kumbuka nywanikera Kila majali
Yes 🎉🎉
Simupedagi amina ata
Kweli uyu amina na jemes siwapendaki ndani ya donta
Suzy hapo umemwangusha litha 😢😢.napenda wimbo wa move hii shida nyumbani,njaa tumboni ridhiki yambwa miguuni mwakeee before I meet you 💔💔daahh ❤❤❤❤🎉🎉
Amina ni rafiki mbaya sana,lissa elewa kwamba rafiki mwema niyule anayekusaidia kwa kila jambo ambalo linamafanikio katika maisha yako,achana na amina anakuingiza kwenye moto ambao hautaweza kuhimili ata jasho lake.naomba like zenu
Akiachana nae muvi itakuwa imeisha , wewe unatakiwa ujifunze kuwa dunia huwa ina watu wa namna hii
K@@allymwashambwa5920kaka unaijua fasihi lengo ni kujifunza na sio mtunz kufanya km tunavyohitaj watazamaji
Afazar umenisaidia sjui wat awaelew nn si hii n muv na wanafundishwa waooo@@allymwashambwa5920
Wow ongera sana kwa kumwambiya ukweli jarufu well done kelvin
Rafiki wa kweli,hawezi kukuficha jambo safi sana kelvin❤❤❤❤❤❤
Lisa achana na suzy sio rafiki wa kweli huyo kesho yako inatengenezwa na hayo mambo mnayoyafanya
❤❤❤❤ kelvin umeanza kua mwanaume sasa😂😂😂 shukran sana kuambia Jarufu ukweli yaani umenifurahisha kweli 🎉🎉🎉 Kenya
Lakini suzy unaaribu lisa wewe mwache lisa na jerufu bana 🎉❤❤❤
Ila Jaman daaaaah uyu Suz ni balaaa aise duuuuuh
Kazi nzuri kutoka kenya 🇦🇪 naomba like jamani ila Amina ni mchonganishi
Sio amina ni suzy
Hii bendera niya kenya kwel
Kazi tamu sana hongera sana kelvin na love n kundi zima mko poa🎉🎉🎉
Kevi kumbe kuimba nako n mkal pongezi xana🎉🎉
Alianza na kuimba 🎉🎉
Msanii huyu ilikuwa 🎉🎉
Lisa mamako aliiona jua mbele yako ya mwizi 40 nayamongo je ngapi 60😂😂😂mtafunzua na ulimwegu ☝️☝️☝️
Anase na mimba kabisa
😅
Wa mwisho kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪 lakini si kupenda kwangu ni bundles nilikosa kupata Kwa wakati, nipeni like Next nitakua wa Kwanza
Haki napenda mnapyo toa hii movie kwa haraka kelv mngeendelea hipo kweli inaeza kua poa, ila lisa mpende jarufu katoto kawatu kanatezeka.😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Huyu amina mbaya sanaa siyo rafiki mzurii akina amina hatukohivyo wewe cjuwii ilikuwajeeeè mhmmm😏😏👌🤣🤣❤️
😂😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅
Lisa nimpumbavu Sana yaan unaendeshwe na Hilo liamina subiri jarufu akukamate mshenzi ww
Kwa kweli asanteni haichelewi lakni mtoto wa boss iko wap plz❤❤❤❤
C jana ilikua
Gai ckuona aki ilikua episode gani plz@@AplA-x9b
N kama hufatilii kazi zao vizuri ndo maana unauliza huko kumoto enda uone
@AishaKadii-j7r apna huwa nafatilia sana ila sai nangoja episode 58 ama ilitoka??
Wanatoa baad ya siku mbili make kati ya kesho ah juma tatu@@Lover-m2k
Walwanza leo kutoka kenya..wapi likes❤️❤️
Hongera Kelvin Kwa kuongea ukwelii🎉🎉🎉❤❤❤
Hebu Jarufe mfumanie loveness namr. D haraka iwezekanavyo
Mau kw mama lisa kw kuwapa ushauri wengi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 hongera mama ❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bora leo kelvin umefunguka 😂😂😂 kwa jarufu
Wewe Suzy hufai kua rafiki kabisaa,
Sikio la kufa kweli halisikii sawa
Suzy aki ni mbaya,, movie ya binti masikini na kijana wa boss alikua hivi hivi tu, kuvuruga kabisa,
Rafiki km huyu hapana,,
🎉🎉🎉
Yaan tunaitaji tujifunze atokee mtu wakuwa na msimamo kati ya Lisa na Suzi ,,ili tujifunze kitu katka jamii ,my friend ngepata nafasi katka hii film bhn ngeongeza kitu ,is the good searis,lkn ongeza muhusika wakushauli juu ya mambo haya mmoja akubal mwingine akatae so cute film
Alaf nyie naona mnazunguka tu palepale Kila episode ,eb badilisheni wazo atleast kuwepo nakufamaniana,naona mko hapo hapo tu Kila episode
Kwann mlimtoa yule mama lisa wa mwanzo sasa jaman yule ndoo alikuwa anaigizaa vizur woiiiiiiii kwa style hii mnapoteza mashabikii wenu bila nyie kujua mnakosea wapi
Wewe suzi nirafiki mbaya tenasana kwanini hunampoteza mwenzako
Kazi nzuri sana🇹🇿
Lissa akili za kuambiwa changanya na zako
Loveness unaweza sana🔥 umenifrahisha sana ulipokuwa kitandan na Mr D, sehem hiyo umecheza vizur mnooooooo, maua yako pokea loveness🌹🌹🌹💞.
Nampenda sna Jarufuu🎉🎉
Tunao Mpenda Jarufu Tujuanee❤❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂
@@RizikiZiki 🤣🤣🤣🤣💕💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞Maua yKo Jarufu
Kwann unahangaika na baba ake
Mwenzako kala Hela ya Mr d anataka ukalipe love nilikuwa nakuamin sana lkn kwenye hili umeniangusha
Wewe Lisa acha upumbavu sikiza moyo wako na.mamayako usisikilize uyo mpotevu anazidi kukutumbukiza kwenye shimo
Waaah jipu limetoboka leo 🎉🎉🎉🎉❤❤
Lisa jarufu ushamkosa kwa kunganganiya ushauri wa shoga na shoga mwenyewe analiwa na mr D piya
Suzi kivuruge yaani tangu, "mtoto wa boss" hadi hii tamthlia sijampenda huyu Suzi a.k.a Amina.
Mawaidha mazuri sana mama ❤❤❤❤❤❤ 🎉🎉🎉🎉🎉 lisa skiza mama kabsa
Panaenda kuchangamka sasa
Story inazunguka pale pale tumechoka kama umechoka like hapa
Kevi nakukubali San my brother
Riziki ya mbwa miguuni mwake❤kazi nzuri sana kelvin ...nawapenda sana❤❤❤
Uwiii Lisa kimeuman
Kwa kweli Lissa huna maamuzi yako binafsi Suzy ndoo anaamua maamuzi yako kweli❤❤
Husi.mtafute jarufu humkome
Huyø mamaake Lisa sijampenda kwakweli
Mbna hvyo tena
😅😅😅😅kwann
Me naona anafaa kulik yule
@IRENEKOMANYA 🤣
Amina na kelvin mmebeba funzo kubwa,wenye macho wanaona na wanajifunza mengi kupitia kwenu❤
W Lissa n mpuzi unaxhindwa kufanya uamuz wk.binafsi na unaendexhwa Kwa kigezo Cha kuongopa kuvunja urafiki
Maneno mazuri sana mama❤
Musicheleweshe jamanii palipoishia patam sana❤❤❤
Hii c iko kila cku😂😂😂😂
Uyu amina sio mtu wa maana roho ya ukorofi yote imehamia kwake amina
Kazi yenu iko vizuri sana
Tuko ughaibuni na tuna enjoy sana hii show ! Asante for the entertainment Africa kuna vipaji saana nasikia machozi yananitoka hii series ina worth Milions of usd. YAani tuboreshe sana SANAA inatoa ajira na mafunzo na burudani. Lakini Waafrica wa juu hawajitambui na kutwa kumpigia magoti mzungu. Akupe riziki. bIG UP KWA PRODUCER AND ACTORS. Vipaji vikali....
Mama love nes 🎉🎉🎉umeongeya vyema mama wakusikiya akusikiye
Mbona Liza huezi kua na msimano wako unacontriliwa na Susy ayiiii sijapenda vile unachezea huyo kijana
atimaye ulimwambia jarufu ukweli duuuuuu patam apo 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Woow!leo kelvin kafunguka kumwambia jarufu ukweli 🎉🎉❤
Jamani nampenda mayasa mimi😢😢😢 mrembo mwenye kamwanya mwenye kipini rangi nzuri
Hongera mama mwashe lingine amekudanganya SIKU nyingi
Lisa j anakupenda pamoja na madhaif yako ni wanaume wachache achana na suzy❤
Suzy wew nimubayaasana Acha unafiki
Safi Sana Kelvin kumueka wazi jarufu
Waaaaaoooohhh jaman utamu ndo u na zidiiii sasa,.😊
Kawaida ya Amina nkivuruge uwa kilasiku😂😂😂😂😂 love all team Kelvin fromKenya🎉❤❤
Yan hilo li suzi nalichukiaaa sanaa mno
Nakukubar sana kervin jaman unajua sana na love nesi napenda move zenu ila ntuletee mtoto wa boss mnatuchereweshea sana
Jaman nataman bomu lilipuk kwa suzy na mr d pamoja na jarufu mtoto mdogo umalay unamsumbufa juu ya tamaa za pesaaa utakufa wewe umesimama lisaaaa
From kenya watching I love you donta plus my likes here 🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera xana jarufu kwa kumxhutua liza ila chunga xana unaibiwa jaman jaruf naomben likee zang❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mama kaongea kwa hisia
Hapo Lisa ndo unaponikera kujilazimisha kumpenda Mr.D kwa sababu ya kumckiliza Suzy, atakuponza.
Pokeya mafunzo apa kwetu🎉🎉🎉❤
Amina n rafiki mbaya kwa lisa wachane na hiyo urafiki wao lisa ahane na Amina kapisa 🎉🎉🎉
Amina siorafiki mzuri kabisa
Halbadiri ya m.bayana
We LISA ACHANA NA UYO RAFIKI YAKO SIMZURI UTAKOSA RADH YA MAMAHAKO 😢MANA RAFIK AKO ANA KUTUMIA NAKUKUARIBIA JINA ,MM SIJAPENDA IIIH ATUFUNZ MAMBO MEMA ATA WATOTO KUANGALIA 😢SIONZURI ACHEN ATUFURAII WATEJA WENU LUV ACHA IYO TABIA IMETOSHA JAMAN
Huyu mama mlie mubadlisha anamnyosha sana Lisa hahah naipenda hii😂😂
Jarufu jamani badili hata Hilo shati Acha uchafuuuuuuuu😂😂 kila inayotoka upo nalo 🙌
😂😂😂😂😂atar
😂😂tizameni move yangine hayatuusu😂😂
Hongere kwa kazi nzenu tunawapenda❤❤❤❤
Ila Mama ake n Lila amenichekesha eti Lisa amechoka 😂😂😂 suziii n yeye n king’Ang’a kweli ana lazima Lisa atembee n Mr D ili apate pesa yeye nyokoo 😒
Love nes bakiya na 1 jarufu anakutosha ukiendeleya kudanga mwisho m.baya
Asantesan juili
Mambo haya yapo kweli jamani tuacheni haya n mapito
Asante kelvin hatimae leo umefanikiwa kumfumbua macho Jarufu
Huyu rafik yake lissa kifurug san...sirafik mzur🎉🎉
huyu amina lafiki mbaya sana hafai
Kelvin umetisha
Huyu ndo mama anatakiwa kuelimisha jamii ❤❤❤
Asante sanaa tunajifunza vingi kupitia kwenu tunawapenda sanaa🎉🎉❤❤❤❤
Nawapenda sana ila sijapenda mnavyo.lala onyesha kulala navitaulo.sisi tunaangaa nawatoto
Jarufu ni mwanamme duni. Anaendeshwa na hisia za ki utoto na sio akili
Mashaallah eeh bomu liko njian jarufu
jaman huyu mama mbona kam anafanana na suzy😮😮
Kwa ukweli Suzi ni rafiki mubaya lavu acana naye nawapenda sana kutoka rwanda
I love this movie watching from united Arab Emirates
Kelvin🎉🎉🎉 umefanya jambo la maana sana kumweleza jarufu ukweli❤❤❤
Mama saf sana mfungie Lisa asiende kwa suzy
We suzi😮huna mzazi mana yako ni noma we lisa😮nakuona kiboya kabosa😮hisia zako zaendeshwa na suzi