Kwaya ya Lesiangiki kutoka Moita Bwawani,Hii kwaya ni hatari haishikiki

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 50

  • @nchokosamuel2818
    @nchokosamuel2818 ปีที่แล้ว +2

    How many time do I watch to have enough of this?
    I guess countless ❤️❤️

  • @bernardjohn8788
    @bernardjohn8788 2 ปีที่แล้ว +5

    Wimbo, mzuri saana, tafuteni wataalamu wa muziki wa kikatoliki wawarekebishe kwenye baadhi ya maeneo hasa pale sauti zinapopanda juu saana
    Mmevaa Mavazi mazuri Sana ya asili na mmefanana wote na Mavazi yanaonekana ni ya garama Sana
    Ushauri wangu mnatakiwa kwenda studio nzuri kuurekodi wimbo huu halafu apatikane mtaalamu mzuri wa video awatengenezee hii itatikisa dunia

    • @maadigitalpro
      @maadigitalpro ปีที่แล้ว

      Chukueni Ushauri huu Kwaya ya Moita @Sanare Mollel

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 หลายเดือนก่อน

    Bila wamasai tusingalikuwa na utamaduni Tz.Tuwaheshimu sana🎉🎉

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 หลายเดือนก่อน

    Ndugu zangu Wamasai mbarikiwe🎉🎉❤❤

  • @allenmwinuka8795
    @allenmwinuka8795 ปีที่แล้ว +2

    moja ya makabila tanzania pamoja na africa yaliyotunza na kuhifahdi utamaduni wa asili,imba yao inadhilisha wazi kwamba wana furaha na aman kwa kuendeleza asili yao na MUNGU wa mbinguni awabariki

  • @ameedamilja7992
    @ameedamilja7992 ปีที่แล้ว

    Nice.... i love it. Kweli waTZ siku hizi hawataki kubaki Nyumba. Mpaka wamasai wamejitoa namna hii!

  • @melejisekeyan9492
    @melejisekeyan9492 2 ปีที่แล้ว +3

    Kesidai oleng', barikiweni sana

  • @Kipelian
    @Kipelian 7 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri Sana. pongezini wote

  • @pendolaizer7591
    @pendolaizer7591 2 ปีที่แล้ว +2

    Longido hongereni lakn ,hii kwaya ni balaaa sanaaa

  • @kuyattomark3736
    @kuyattomark3736 ปีที่แล้ว

    Fire GOSPEL clip, njoo emayian ntae Olaitoriani

  • @umojainvestmentsltd6849
    @umojainvestmentsltd6849 ปีที่แล้ว

    So much intresting
    metamaiyiana intae ENKAI Enkajang' nanyorr

  • @AnnaLawrence-s6c
    @AnnaLawrence-s6c 2 หลายเดือนก่อน

    Nimekubali mnaimba mbarikiwe

  • @milkawaithaka1953
    @milkawaithaka1953 2 ปีที่แล้ว +2

    this is so interesting
    I really love this choir 👌👌

  • @johnsangida5158
    @johnsangida5158 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awainue zaidi engajanga Nanyor💓💖💖

  • @dorothymbuere5832
    @dorothymbuere5832 2 ปีที่แล้ว +2

    SAFI KABISA WAIMBAJI ENDELEENI KUIMBA WAMAMA OYEE:

  • @youngprofessorjuly5154
    @youngprofessorjuly5154 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda, ujuzi wa Hali ya juu mno,

  • @gezachewsheguta7058
    @gezachewsheguta7058 2 ปีที่แล้ว +1

    Good sing thank good bless

  • @MooMoiro
    @MooMoiro 8 หลายเดือนก่อน

    Very nice 🎉🎉❤

  • @melejisekeyan9492
    @melejisekeyan9492 2 ปีที่แล้ว +2

    Kama sikosei, usukani kashikilia Mwalimu Lorpusi na wenzake, nawependa sana nyie jamaa, Mungu awape hatua zaidi.

  • @benedictalex6838
    @benedictalex6838 ปีที่แล้ว

    this is very amazing

  • @ritamutoka7768
    @ritamutoka7768 ปีที่แล้ว

    Safi sana ❤

  • @joycemosha1898
    @joycemosha1898 ปีที่แล้ว

    Safe sana natamani nijiunge nanyi nimependa

  • @mushermusher7720
    @mushermusher7720 ปีที่แล้ว

    Very beautiful. Greetings from Hungarian guy.

  • @lothasengua4669
    @lothasengua4669 2 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sanaa...be blessed Maasai channel 💪💪💪

  • @bacwasamuel-ze9yd
    @bacwasamuel-ze9yd ปีที่แล้ว

    It's amazing song

  • @JumaKamasa-kl6pz
    @JumaKamasa-kl6pz หลายเดือนก่อน

    Nyie Masai nadumisha MLA hongereni

  • @balozisiptei4037
    @balozisiptei4037 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice one

  • @mimutiengungatimollel3794
    @mimutiengungatimollel3794 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice song

  • @barakaamanimollel7540
    @barakaamanimollel7540 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli ni moto wa kuotea mbali

  • @ultimatelongishu3320
    @ultimatelongishu3320 6 หลายเดือนก่อน

    The energy is too high

  • @jeymolempesa
    @jeymolempesa ปีที่แล้ว +1

    Kwaya Bora

  • @mussalandare5254
    @mussalandare5254 ปีที่แล้ว

    Metamayana indae engai olosholai lemaa tendaraki osilongolio sidai lengisisa enye

  • @jackjacob9264
    @jackjacob9264 ปีที่แล้ว

    nnje kimayani Ngai

  • @lembriskivuyo9178
    @lembriskivuyo9178 ปีที่แล้ว

    Endasupai naleng

  • @eatlawe
    @eatlawe ปีที่แล้ว

    Ashe tukul!

  • @lembrisoleporuo6123
    @lembrisoleporuo6123 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakik mmeimb sn

  • @PeterOleRomo
    @PeterOleRomo 2 หลายเดือนก่อน

    Fabulas

  • @meroymollel9156
    @meroymollel9156 2 ปีที่แล้ว +2

    Tuombe radhi hii ni kwaya ya Upendo Moita na sii ya simanjiro.

  • @joelmollel8320
    @joelmollel8320 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakika wameimba

  • @elibarikimartin3052
    @elibarikimartin3052 ปีที่แล้ว

    Sidai tukulu

  • @judithpetro3883
    @judithpetro3883 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii kwaya ni ya wapi

  • @danielnoah696
    @danielnoah696 2 ปีที่แล้ว

    Kwaya ya nani??